Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Ndoa tamu sana ase, I wish kufungua branch mikoani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Mkeo mwenye ngoma huyo 😅😅😅 ambaye nae anaua watu mahali
Weee usinambieIts 9 yrs na bado nitamchagua yeye. Namshukuru Mungu kwa ajili yake and i pray he keeps finding peace, love and confort in me. My sensual healer.
Hahahaha natamani nikuahadithie anavonipenda na ninavompenda 😂😂😂😂😂😂Weee usnambie
Daaaa kidogo nipaliwe kaaaaaNdoa tamu sana ase, I wish kufungua branch mikoani.
Jamani hongera sanaHahahaha natamani nikuahadithie anavonipenda na ninavompenda 😂😂😂😂😂😂
Hakuna ndoa yenye raha duniani, ndoa zote ni matatizo watu wanavumiliana tu.Ndoa ni raha
Uko sahihi na uko matured enough, no one is perfect loh, but case za uzinifu uliokubuhu ni vizuri kila mmoja achukue hamsini zake.Hata mimi 12 years siwezi kumwacha kamwe. Huwa nayatafakari mazuri yake tuu. Sikubali kabisa kupoteza muda eti kufikiria mapungufu yake.... Maana mazuri yake ni mengi mno kuliko mapungufu.
Pili kila nikimwazia pale anaponikosea basi wazo hunijia je mimi namkosea mangapi?? na ananivumiliaaa... Nikiwaza hayo nasamehe haraka tunasonga mbele.. Penye upungufu wake ni wajibu wangu kukamilisha.. Na Penye udhaifu wangu basi yeye ndiye wa kunishika mkono.
Ndoa za wake wengi za waislamu ndio zinaongoza kwa talaka na kuachana hovyo na wanaoa wake wengi na matatizo kedekede tunajionea. Hamna aliye kamili wewe oa hata wake kumi uone ka utakuwa na amani moyoni zaidi ya kufa na pressure, amani na furaha ni tunda la moyoni na sio watu wakukufuraishaNimejibu sema we si kipanga!!!humu asilimia kubwa wanajuta kufunga ndoa hizi za kirumi ambazo ni ndoano kwao!!!!
Warumi wangeleta sheria ya mke zaidi ya mmoja ndoa zingedumu sana na wanawake wivu wa kijinga ungeisha na wanaume tungeishi maisha marefu!vifo vyetu vinachangiwa na kuoa mke mmoja!!!!
Ya kweli haya? Siku moja nitahakikisha wallahi [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji23][emoji23][emoji23]eti kupewa za uso na maonyo, mimi ni mtu peace sana usione humu JF. Nje mkimya sipendagi hata kuongea
Niko peace sana, loh Hadi watu hunishangaaYa kweli haya? Siku moja nitahakikisha wallahi [emoji1734][emoji1734][emoji1734]
Unajua nini? Juzi nilishtuka sana kwenye ule uzi wa Controla uliposema eti nawe kuna njemba humu ilikutapeli ukaiwashia moto mpaka ikakulipa. Nilishangaa kwamba kuna njemba zenye ujasiri mpaka wa kumtapeli mwanamke wa shoka, shujaa na ngangari asiyeogopa kitu kama wewe kweli? Nilishangaa mno na mpaka sasa sijaamini [emoji16][emoji16][emoji16]Niko peace sana, loh Hadi watu hunishangaa
Kanunue tu petrol[emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Usiniibie bwana, niko njiani naelekea Sumbawanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha basi sis! Hivi mbona mnakuwa na roho mbaya wanawake?[emoji23][emoji23]Kanunue tu petrol[emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Anajua akizingua tu, maamuzi magumu lazima yahusike[emoji1787][emoji1787]Kanunue tu petrol[emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Usitusingizie bwana.Acha basi sis! Hivi mbona mnakuwa na roho mbaya wanawake?[emoji23][emoji23]
Inabidi nimfuate anipe maujanja.Unajua nini? Juzi nilishtuka sana kwenye ule uzi wa Controla uliposema eti nawe kuna njemba humu ilikutapeli ukaiwashia moto mpaka ikakulipa. Nilishangaa kwamba kuna njemba zenye ujasiri mpaka wa kumtapeli mwanamke wa shoka, shujaa na ngangari asiyeogopa kitu kama wewe kweli? Nilishangaa mno na mpaka sasa sijaamini [emoji16][emoji16][emoji16]
Furushi gani limekutapeli?Inabidi nimfuate anipe maujanja.