Chapati Tatu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2024
- 410
- 868
Keyword TAPELI MUDIUnaongea kirahisi sana ,binafsi nimekuwa muislamu nikaritad,
Uislamu ni dini Haina misingi thabiti ya kujisimamia ,ni dini imejengwa kwa propaganda sana
Biblia ni kitabu cha kale chenye uthibitisho mkubwa wa kihistoria. Kuna zaidi ya manuscript 5,800 za Kigiriki, 10,000 za Kilatini na maelfu mengine kwa lugha za zamani kama Coptic, Syriac, Armenian n.k. Mfano, Codex Sinaiticus ni nakala kamili ya Biblia ya karne ya 4 AD,
Codex Vaticanus ni ya karne ya 4 pia, na Dead Sea Scrolls zina sehemu za Agano la Kale zilizoandikwa kabla ya Kristo kuzaliwa, hadi karne ya 2 K.K.
Hizi zote zinafanana kiuhakika na Biblia tunayosoma leo.
Je, Qur’an ina wapi hata nakala moja ya kale ya karne ya 7 yenye kuthibitisha asili yake? Haipo,
isipokuwa Qur’an ya Uthman aliyeteketeza nakala zote tofauti ili kubaki na moja aliyochagua. ,cha ajabu hata hiyo ya Uthman Leo haipo popote pale ,Je unawezaje kumshawishi mtu kama Mimi awe muislamu?😂😂
Hii ni historia, si chuki.
Halafu iweje tuiamini Qur’an ambayo asilimia kubwa ya simulizi zake zimekopiwa kutoka vitabu vya Apokrifa vya Wayahudi na Wakristo waliokataliwa?
Mfano, hadithi za Yesu kuumba ndege kwa udongo zimo kwenye Injili ya Watoto ya Tomaso si sehemu ya Injili halali.
Hadithi za Abraham na Samawati saba, pia ni hadithi kutoka Talmudi ya Kiyahudi.
Qur’an haikuja na kitu kipya ilikusanya mapokeo yaliyokuwapo na kuyapachika katika mfumo wa Kiarabu.
Kuhusu Utatu, Biblia haifundishi Mungu watatu bali Mungu mmoja aliyejifunua kwa sura tatu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Hii haipingani na umoja wa Mungu. Yesu hakujibuni bali ametabiriwa.
Yeremia alitabiri Agano Jipya (Yeremia 31:31),
Danieli alitabiri muda wa kuja kwa Masihi na kuuawa kwake (Danieli 9:26),
Isaya alisema wazi kuwa Masihi atauawa kwa ajili ya makosa ya watu (Isaya 53),
na Daudi, miaka 1,000 kabla ya Kristo, alisema
“Walinichoma mikono yangu na miguu yangu” (Zaburi 22:16),
na pia alisema
“Hutakia nafsi yangu kuzimu; wala hutamwacha mtakatifu wako aone uharibifu” (Zaburi 16:10)
huu ni unabii wa kufufuka kwake.
UNAWEZAJE KUNISHAWISHI MTU KAMA MIMI NIMUAMINI MUHAMAD NA QURAN ?
Yesu kufa msalabani ni kiini cha injili. Biblia inasema
“Kwa maana alifanywa dhambi kwa ajili yetu yeye asiyejua dhambi, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika yeye” (2 Wakorintho 5:21).
Hii ni neema, si udhaifu. Kama kila mtu atabeba mzigo wake, basi hakuna haja ya rehema wala msamaha lakini kwa Yesu, Mungu mwenyewe alivaa mwili ili kutupatanisha naye.
Sasa ni haki kweli kuyaacha maneno ya manabii waliotabiri kwa karne nyingi kabla ya Yesu, kisha nimwamini mtu mmoja tu TAPELI mudy aliyejitangaza miaka 600 baadaye bila ushahidi wowote ?
Umeuliza kinyonge sana....wewe ni imamu wa msikiti upiSasa mtu atakuwaje binadamu halafu hapohapo awe Mungu
Kwan kitu gan kinamshinda Mungu?Sasa mtu atakuwaje binadamu halafu hapohapo awe Mungu
Jibu kwanza swali halafu ndo nikuambie mimi Marabout wa wapiUmeuliza kinyonge sana....wewe ni imamu wa msikiti upi
Hata mudi hakuwa nayo....alivosepa ndo kimoja hvo hadi leoUchanganya kati ya uungu wa Yesu na ubinadamu wake.
Yesu Kristo ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu (Yohana 1:1,14).
Alikufa kwa mwili, si kwa uungu wake.
Hii ni sawa na taa kuwa na mwanga ukivunja balbu, umeme unabaki.
Hivyo hivyo, mwili wa Yesu ulikufa msalabani, lakini uungu wake haukufa kamwe, maana Mungu hawezi kufa (1 Timotheo 1:17).
Yesu mwenyewe alisema,
👇👇👇👇👇
“Ninautoa uhai wangu ili niutwae tena; hakuna mtu aniondoleaye, bali nautoa mwenyewe...” (Yohana 10:17-18).
Hiyo inaonyesha kuwa alikuwa na mamlaka juu ya mauti, jambo ambalo mwanadamu wa kawaida hana.,labda unitajia mwanadamu gani ana mamlaka ya hivo
Swali ni kwa nini afe wakati Mungu hana sifa ya kufaKwan kitu gan kinamshinda Mungu?
Katika Biblia, Mungu alijifunua mara nyingi kwa sura ya kibinadamu. Kwa mfano
Mwanzo 18:1-3 Mungu alimtokea Ibrahimu akiwa na watu wawili katika umbo la binadamu, akamkaribisha na kuandaa chakula akala nao.
Je, huyu alikuwa ni malaika au Mungu? Andiko lenyewe linasema "Bwana" alimtokea.
Mwanzo 32:24-30 Yakobo alipigana na mtu usiku kucha, kisha akasema: “Nimemwona Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.”
Kutoka 33:11 Musa alinena na Bwana uso kwa uso, kama vile mtu asemavyo na rafiki yake.
Isaya 9:6 Mtoto atazaliwa, naye ataitwa "Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani". Huu ni unabii juu ya Yesu Kristo.
Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani.
Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota inarushwa kama mzinga, jameni nyota ni sayari, sio kitu cha kurusha rusha dhidi ya shetani, kwani yuko wapi hadi arushiwe nyota.
Halafu mnasema uislamu umebuniwa kurekebisha Ukristo au kurekebisha dini ulizokuta. Yaani Mungu asubiri mamia ya miaka aje kuanzisha dini nyingine na kitabu chenye mambo yaliyochanganyikiwa.
Quran 67.5
And We have certainly beautified the nearest heaven with stars and have made [from] them what is thrown at the devils and have prepared for them the punishment of the Blaze.
(Surat Al-Mulk 67:5)“Na kwa hakika Tumepamba mbingu ya dunia kwa taa (nyota), na Tumefanya kuwa ni kurushwa kwa ajili ya mashetani…”
Na: "Na hatukutuma mtume yeyote ila kwa lugha ya watu wake ili awaelezee...” (Qur’an 14:4)"Hakika hii Qur’an inaongoza kwenye njia iliyo sawa..." (Qur'an 17:9)
Ikitambua ni muujiza kwa amri ya Allah, si mfano wa apokrifa."Nakuumba kutokana na udongo mfano wa ndege..." (Qur'an 3:49)
“Sema: Yeye Allah ni Mmoja. Allah Mkusudiwa. Hakuzaa wala hakuzaliwa.” (Qur’an 112
Hii ni haki ya kweli: kila mtu awajibike kwa matendo yake mwenyewe.“Na kwamba mtu hatapata ila alichokitenda...” (Qur’an 53:39)
“Basi waulize watu wa elimu kama nyinyi hamjui.”
Marabout ya wap bhanaaaa wewe ni imamuJibu kwanza swali halafu ndo nikuambie mimi Marabout wa wapi
Sawa jibu nikuambie mimi ni Imam wa wapiMarabout ya wap bhanaaaa wewe ni imamu
Kwamba Mungu alisubiri zaidi ya miaka 500 akamtuma mzee wa miaka 50 aliyekua mchafu wa kudinya hata katoto ka miaka tisa aje kuupinga Ukristo. Hiyo Kurani ili kupinga yote hayo ilitoa wapi mamlaka maana yeyote anaweza akaibuka na kitabu chochote na kupinga kila alichokikuta.
Kuna waislamu wanasema eti kisa mohammad hakujua kusoma na kuandiak na kwamba aiibuka na yote hayobasi hiyo ni ishara tosha ya kuipa kurani mamlaka, ikumbukwe shetani anajua kuandika na ana maarifa mengi na anajua neno hata kutuzidi, hivyo yeye kumtumia mohammad kuanzisha dini ya kuchanganya akili za watu sio ajabu.
Hiyo Kurani yenyewe imejawa na maujuha kama vile kugegeda mabikira 72, mara sijui mohammad kapasua mwezi ukawa vipande viwili, mara shetani anashambuliwa kwa kurushiwa nyota.
Sasa mbna ulikuwa unataka kututapeli hapa mchana mchanaSawa jibu nikuambie mimi ni Imam wa wapi
Acha kukwepesha mada jibu swaliSasa mbna ulikuwa unataka kututapeli hapa mchana mchana
1. Ukiristo ulileta habari za Utatu, Qur'an imekuja kunyoosha mafunzo hayo ya kipotevu na kuweka rekodi sawa kuwa Mungu ni mmoja na kwamba utatu ni imani ya kipotevu.
2. Wakiristu walidai Yesu kafa msalabani na kwa hilo eti ni ondoleo la dhambi, Qur'an inasema Yesu hakufa msalabani, na wala hakuna ondoleo la dhambi kwa mtu kufa kwa ajili ya mwingine bali kila mtu atabeba mzigo wake.
3. Wakiristu wana imani ya dhambi ya asili, Qur'an inasema Adamu alipokosa aliomba msamaha na akasamehewa.
Shda ni kwmb maswali yako yameshajibiwa....mboyoyo miiingi ili usikubali ukweliAcha kukwepesha mada jibu swali
MVINYO ULIO MKALI.....hii bila shaka ilikuwa gongoJE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?
1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?
Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake si za kitume na hazifanani na mitume walio tangulia kbala yake?
Hakika huyu Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu.
Nijibu wewe labda ntakuelewaShda ni kwmb maswali yako yameshajibiwa....mboyoyo miiingi ili usikubali ukweli
Sasa mtu atakuwaje binadamu halafu hapohapo awe Mungu
Majibu ya waja huko juu yanajitosheleza ndugu imamu usinihangaisheNijibu wewe labda ntakuelewa
Masikini kumbe hakuna unalojua kondoo wa bwana wako 😃Majibu ya waja huko juu yanajitosheleza ndugu imamu usinihangaishe
Unaongea kirahisi sana ,binafsi nimekuwa muislamu nikaritad,