Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

Nimependa sana hii Harpazo

Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.
 
Mkuu Ahsante. Umeniongozea kitu katika imani yangu kwa Yesu Kristo. 🙏🙏
 

Hakuna mahali popote Qu'ran inamtaja Mariamu katika dhana ya utatu mtakatifu huu wa Wakiristo, bali inatambua kuna Wakiristo katika nyakati fulanifulani wamewahi kumuevaluate Mariam kama Mungu. Ukweli huu unaweza kuupata katika article hii ya kisomi.

Soma hii article.


Kwa hiyo Qur'an iko sahihi inapozungumzia Wakiristo waliokuwa wanamuona Maria kama Mungu Japo kiukweli Maria siyo Mungu.
 
Ngoja nivute kiti nikae nicheke hapa. Kinawaka sasa hivi
 
Waislamu,zama hizi za teknolojia dini yenu itawekwa uchi

Mkipotea mmejitakia
 
Biblia asilimia 80 ni stori za wanywa kahawa
 
Ubongo wako ukisha kuwa na mikanganyiko kila kitu utaona hakiko sawa broo
 
Pamoja sana
 
Hukuwa muislam kamili ulikuwa mnafki ndio maana ukarudi katika dini yako.
😂😂 Mbona una hasira ?

Mimi nimezaliwa kwenye uislamu,nilipojua ukweli sikuangalia cha baba wala mama ,nikawaambia nawaachia uislamu wenu

Binafs hata ningezaliwa Afghanistan,naimani ningebadili tu dini

Uislamu upo wazi sana ,ukiamua kuusoma utagundua mengi ya ajabu

Yesu akuongoze umpokee kabla hujafa
 
Mungu wenu kasulubiwa msalabani na kichupi na viumbe alie waumba mwenye ili awasamehe zambi zenu, kuliku kuna haja gani mungu kujidhalilisha si ange wasahemehe tu.
 
Mungu wenu kasulubiwa msalabani na kichupi na viumbe alie waumba mwenye ili awasamehe zambi zenu, kuliku kuna haja gani mungu kujidhalilisha si ange wasahemehe tu.
Tuliza munkari kijana

Taratibu utampokea Yesu ,alimpokea binamu yake Muhammad,itakuwa wewe
 
Mungu wenu kasulubiwa msalabani na kichupi na viumbe alie waumba mwenye ili awasamehe zambi zenu, kuliku kuna haja gani mungu kujidhalilisha si ange wasahemehe tu.
Unajua ni kwa nini mwamedi alizikwa chumbani kwa Aisha?
 
Mimi sio mnafki
 
Tuliza munkari kijana

Taratibu utampokea Yesu ,alimpokea binamu yake Muhammad,itakuwa wewe
Waislam hatumtambui Yesu alie sulubiwa, twa mtambua Issa bin Maryam ambae haja sulubiwa na hakuwahi kuwa mungu

Mtume Muhammad amempokea Issa sio Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…