Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

kama ungekuwa na akili basi ulitakiwa usiwe na dini kabisa.
bahati mbaya umebadili gereza kutoka gereza A kwenda gereza B halafu unajipiga kifua kwamba sasa uko huru kwa zile zile hekaya za Mashariki ya kati
 
Una hutaji msaada wa Kiroho na kimwili
 
Waislam hatumtambui Yesu alie sulubiwa, twa mtambua Issa bin Maryam ambae haja sulubiwa na hakuwahi kuwa mungu

Mtume Muhammad amempokea Issa sio Yesu
Isa hajawahi kuwepo ,ni myth
 
Angekuwa hajui anachokifanya ange badili maneno ya Qur’an kama ilivyo fanyika kwenye Bible
Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.
 
Hiz tafir Za ChatGPT zinawakonga saana
 
Biblia yenyewe inamkanganyiko wa kuhusu Yesu kusurubiwa ila hilo hauoni upo kuuliza vitu vipo juu ya ufahamu wako
 
Hivi biblia alipewa nabii gani na nan muandishi wa bible?
 
Mungu wenu aliumba mwanadamu, dhambi na pia akajifanya mwanadum aje kusurubiwa na viumbe wake aje are kwa ajili ya dhambi slip ziumba ili kuwasamehe wanadamu β€œ inahitaji us*****nge wa hali ya juu hii kitu kuingia akilini β€œ
 
Simple question yesu alisurubiwa saa ngapi kutokana na maandiko na joho la rangi gani alivishwa na mtawala kabla ya kusurubiwa
Leta hayo maandiko unayosema yanatofautina kuhusu kusulubiwa na joho

Unauliza maswali ya Sunday school ,maswali ambayo hata kina mazinge walishaacha kuyauliza
 
Kama aliutoa uhai ili autwae tena basi sacrifice yake siyo genuine. Ukitoa sacrifice hupaswi kukitwaa tena ulichokitoa.
 
Kama aliutoa uhai ili autwae tena basi sacrifice yake siyo genuine. Ukitoa sacrifice hupaswi kukitwaa tena ulichokitoa.
Yesu alijitoa kama kondoo mpole asiyejibu maudhi wala kupinga wakati wa mateso yake, akitimiza unabii wa Agano la Kale. Isaya 53:7 yasema

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

"Alionewa, aliteswa, lakini hakufunua kinywa chake; kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, na kama vile kondoo anyamazavyo mbele yao wamkatayo manyoya, Naam, hakufunua kinywa chake."

Mtume Petro pia anathibitisha hili katika 1 Petro 2:23

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

"Alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutishia, bali alijikabidhi kwa yeye ahukumuye kwa haki."

Yesu alijitoa kwa upole na unyenyekevu, si kwa kulazimishwa, bali kwa upendo mkuu ndiyo maana sadaka yake ni ya kipekee.

Kasome kwa utulivu kitabu cha WARAKA WA WAEBRANIA ,kakisome kwa utulivu
 
Kwa imani yenu huyo Isaya si anatabiri hayohayo anayoambiwa na Yesu?, kwa hiyo kumleta Isaya hapa wala hakuongezi uzito wowote ktk hoja yenu.

Hoja ni kuwa Sadaka ya Yesu siyo Genuine, kwanza alichukuua tena baada ya kuitoa ndo maana akautwaa uhai wake tena, pili hakuwa willing kuutoa ndo maana msalabani akalia Mungu wangu Mungu mbona unaniacha?- It seema hapa alisahau kuwa yeye ndo "Mungu" mwenyewe au vipi?. Hahaha

By the way hebu nijibu swali langu.

Je unaamini kuwa Yesu ni Mungu?
 
Mzee kuwa mpole utajibiwa ,wewe nakutumia kama shamba darasa

Maandiko yanaema

πŸ‘‡πŸ‘‡

Hii ndiyo siri kuu ya imani ya Kikristo

Mungu alidhihirika katika mwili 1Timotheo 3:16

si kwa kujivua uungu wake, bali kwa kuchukua ubinadamu ili kukamilisha mpango wa wokovu.

Kuhusu Isaya kumtaja Yesu ,ni kuonesha sadaka ya Yesu haikuwa jambo la ghafla, bali ilipangwa na kutabiriwa karne nyingi kabla, na kutimia kwa ukamilifu.,Ndio maana ni mjinga pekee anayeweza kumuamini Muhammad anayesema Yesu hakufa πŸ˜‚πŸ˜‚

Isaya 53

ni unabii wa Mungu kupitia nabii wake, ulioeleza kwa ufasaha jinsi Masiya atakavyoteseka kwa ajili ya dhambi zetu.

Hii inaongeza uzito kwa sababu ni uthibitisho kuwa kile kilichotokea kwa Yesu si ajali, bali mpango wa Mungu uliotangazwa mapema.

Kuhusu kusema β€œMungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha?”

hiyo siyo dalili ya kukataa au kutojua kuwa ni Mungu, bali ni kutimiza unabii wa Zaburi 22, na pia kuonesha uzito halisi wa mateso aliyoyapitia kwa ubinadamu wake. Daudi anasema haya miaka 1000 kabla ya Yesu ,hili nalo linaonesha ni mjinga pekee anayeweza kumuamini Muhammad anayesema Yesu hakufa πŸ˜‚

Kama Mungu alikuja kwa namna ya mwili, ilimpasa aishi kama mwanadamu wa kweli na katika ile saa ya giza alipobeba dhambi zote, alihisi kutengwa kiroho na Baba, jambo ambalo linaonesha uhalisia wa sadaka yake.
 
Naomba jibu moja tu achana na tantalila

JE UNAAMINI KUWA YESU NI MUNGU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…