Marekani is overrated, South Africa is way better than Usa.Pesa itumikayo kupima thamani ya uchumi duniani ni dollar, na pesa mama itumikayo to convert thamani ya Sarafu duniani ni dollar.
Soko kuu la pesa lipo New York, hata pesa za bongo zinapobadilishwa na kuhamishiwa kwa bank nyingine hupitia financial institute ya New York , Marekani.
Pesa pekee ambayo hupokelea kila nchi duniani ni dollar.
Kwa hoja hizo chache kati ya nyingi ambazo sijazitaja kiuchumi nchi bora duniani ni Marekani.
Kusema mpaka uwe na $25000 ni uongo kwanza hiyo pesa unaenda tena marekani kufata nini?Hiyo dollar 25,000 wengine hapa nchini kama wakina Mpwanyungu Village ndio mafao yao wakistaafu baada ya kufanya kazi kwa miaka 30 serikalini.
Hapa umechemka mkuu.Marekani is overrated, South Africa is way better than Usa.
Kivip mkuuHapa umechemka mkuu.
Huna hata dollar 5000 hapo ulipo.Kusema mpaka uwe na $25000 ni uongo kwanza hiyo pesa unaenda tena marekani kufata nini?
N. B. Nina pesa Mara nyingi zaidi ya hiyo, muwe na adabu
Kinachowavutia wengi kwenda usa high pay rate,low taxes and accommodation is affordableWatanzania ni wachache sana Marekani, wigo ukipanuka hata michongo inapanuka.
Siri ya Jeshi naiweka hapa leo, miaka 20 iliyopitay nilikuwa Uingereza, nilichokiona Kwa wenzetu wanigeria waliadvance miaka mingi iliyopita.
Kuna vyuo London Principal ni Mnigeria na management ni yao, vile vyuo wamevitumia sana kuingiza watu Uingereza Kwa student viza na viza ikiisha wanakuandikia wao document kwa malipo kwamba unaendelea na chuo stage nyingine, ukipeleka immigratuon unaongezewa viza, hawa Wanigeria tuliwatumia sana.
Sasa shida ya Wabongo hapa JF tu mtu analeta ujuwaji wakati hajui lolote na hajawahi kuishi mbele, NTU kama huyo akifika mamtoni usishangae hata akiwaunguza ujanja mnaotumia kupata viza wazungu wakabana.
Unapozungumzia suala la fursa huku ndio zinapopatikana , na kama ipo vizuri unaweza kwenda hata US.Mkuu sisi wenye fani za mikono kama kunyoa hatuna fursa za canada?maana nina bajet nzuri tu yakunifikisha canada ila connections tu ndio sina.
Tudadavulie namna gani 4mil zitatosha, na kwenda nchi gani na kwa visa ipi..? Hii itafumbuwa macho watu wengi kiasi ,pengine hata na kuwatia moyo!Umu ndan kila mtu mjuaji sanaa .uhalisia n kwamba anaetafuta skuzote hakati tamaa.
Chamsingi nauli + pesa ya kujikim ukifika huko wakat unatafuta mishe mishe izo habar za dollar 25000 . Siunafungua kampun kabisa aseee
Tuache kutishana
M nikiwa na m4 nafika na naanza mishe mishe .. nyie wa dollar 25000 endeleen kuzitafuta tuu
Hilo ndio jambo muhimu la kuangalia ,unafanya kwaajili ya familia yako kwa ujumla nasi kwa faida yako tu binafsi..Watu wanaingia na 45, wengi wanaokoa familia zao na umaskin, kizazi chako kitakua na unafuu kuliko hapo
Hapana hupatiwi kazi, bali utajitafutiaGreen card ni fulsa inayotolewa na serikali ya Marekani kwa mtindo wa bahati nasibu na zinatolewa nafasi 50,000 ambapo watu kutoka maeneo mbalimbali duniani wanaruhusiwa kushiriki na nadhani inakuwa mwezi October kila mwaka,ukijaaliwa kupata nafasi hiyo unapata fulsa ya kupelekwa uko wewe na wategemezi wako ambao katika fomu yako uliyoijaza umewaorodhesha na ukifika uko unapatiwa makazi,kazi na wategemezi wako nao wanaendelezwa
Kwanini wasibaki huko huko Canada ili wamsaidie Lema kukuza biashara zake.Kinachowavutia wengi kwenda usa high pay rate,low taxes and accommodation is affordable
Vijana wengi waliosoma IT na medical program Canada wanakimbilia USA
Kwanini wasibaki huko huko Canada ili wamsaidie Lema kukuza biashara zake.
Ni kweli watanzania wana roho mbaya sana fikra zao zimeamini kwenye kurogwa tu, kuna rafiki yangu yupo Ulaya, chakushangaza hataki kabisa rafiki zake wajue kama yupo Ulaya na hataki wenzake waende uko alipo, aliniambia nisiwe nawatangazia watu kama yupo Ulaya sasa nikajiuluza kwanini hataki ata wakijua watamfanyia jambo gani mbaya wakati yeye yupo Ulaya nikaamini watanzania % wengi wana roho mbaya sana hawataki kuambiana mambo ya maendeleo.nimeongelea kidogo hili suala kwenye uzi wangu huko jukwaa la kazi,.hii ni muhimu kutujuza Watanzania wenzio maana hizi fursa zimekuwa za kufichana utadhani mtu akifika kule atafunga ridhiki zako. Naamini haya maisha kila mmoja Mungu humgawia kwa namna yake ni yeye kujibidiisha kupambania anachohitaji. Watanzania linapokuja suala la kwenda nje hawana habari njema wataleta habari za kutishana ilihali, majority ya wanataka kutoka nje ni Vijana wa Kiume,ambapo kwa mtazamo wangu mwanaume ana kila sababu ya kupambania kesho yake iwe njema haijalishi ndani au nje. Mwanaume kiasili ni mlishi hivyo kutafuta ni lazima. Watanzania hata forex walificha lakini wakati ulipofika kila mtu alijua mambo ya forex na wengine imewatoa. Hata sahivi mawakala wa kazi za nje Tanzania wanafanya dili kimya kimya lakini natabiri siku si nyingi zijazo job recruiters wa kazi za nje watakuwa wengi tu mjini hapa kama Nairobi na watu watachagua waende wapi na kwa kazi gani. Watu watiririke tu hapa namba za mawakala na ofisi zao,kila mtu aende kwa wakati wake.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe umekosa hayo macho?Hapa bongo ni rahisi sana kutajirika kuliko huko lakini ni hadi uwe na macho.
kipi cha ajabu wao kuja kufanyabiasha Zanzibar?Kuna jamaa nikikutana naye Zenj akaniambia anatokea Marekani na mke wake anatokea Canada ila wapo Zenj wanafanya maisha wamefungua biashara ya kawaida sana, Sasa nikajiuluza huyo kwao Marekani na mke wake Canada mbona wamekuja Tanzania kutafuta maisha wakati nchini kwao kuna maisha mazuri nikakosa jibu mpaka leo.
Maafisa vipenyo haoKuna jamaa nikikutana naye Zenj akaniambia anatokea Marekani na mke wake anatokea Canada ila wapo Zenj wanafanya maisha wamefungua biashara ya kawaida sana, Sasa nikajiuluza huyo kwao Marekani na mke wake Canada mbona wamekuja Tanzania kutafuta maisha wakati nchini kwao kuna maisha mazuri nikakosa jibu mpaka leo.
Kakuingiza chakaNashukuru sana kwa maelezo mazuri
Hao wamekuja Tanzania kufanya utalii maana kiutafutaji hauwezi kuifananisha Tanzania na mataifa hayo makubwa ya marekani na Canada alaf tena wamekwambia wanafanya biashara ya kawaida kimsingi hayo mataifa katika ngazi ya maendeleo yoyote ya kidunia yapo class A kwaiyo mtu wa mataifa hayo hawezi kuja Africa kutafuta maisha tena kwa biashara ya ujasiliamali hao wamepiga hatua kubwa sana kwenye upande ajira kwa raia wao.Kuna jamaa nikikutana naye Zenj akaniambia anatokea Marekani na mke wake anatokea Canada ila wapo Zenj wanafanya maisha wamefungua biashara ya kawaida sana, Sasa nikajiuluza huyo kwao Marekani na mke wake Canada mbona wamekuja Tanzania kutafuta maisha wakati nchini kwao kuna maisha mazuri nikakosa jibu mpaka leo.
Myahudi mimi hiyo nimeipata kwa miaka karibia 7 ya kufanya kazi$25,000 si wamesema ukiwa nayo huna haja ya kuondoka TZ inakufanya kuwa Mo Dewj au Azam.
Wasichojua ni kuwa $25,000 kwa kupiga kazi unaipata ndani ya miezi 6 wengine miezi 4 tu wakati kwa TZ ni miaka 5
Duuuh haya mawazo big companies zisingekuja Africa kuwekezaKuna jamaa nikikutana naye Zenj akaniambia anatokea Marekani na mke wake anatokea Canada ila wapo Zenj wanafanya maisha wamefungua biashara ya kawaida sana, Sasa nikajiuluza huyo kwao Marekani na mke wake Canada mbona wamekuja Tanzania kutafuta maisha wakati nchini kwao kuna maisha mazuri nikakosa jibu mpaka leo.