Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Apo ukifika unatafutiwa libasha la kukutuliza lazima utanuliwe marinda
 
Mkuu M4 unaingiaje marekani? Labda ungesema hata UAE apo sawa
 
Endela kudanganywa na 4m yako

Utasubiri meli airport

Hizo 4m sijui utatumua kwenye nn

Yaan ufike airport umwonyeshe CBSA $1,700 ni kicheko
Watu wanachukulia safari kaa kitu simpo sana ..eti m4 tu uende USA Australia au Canada 🀣🀣🀣🀣
Labda wanazungumzia zile njia za kwenda na miguu adi brazil afu colombia uko sijui panama ndio utoboe westπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa boy wa tandale yule ni msanii mzee, iyo m4 mtu anafikaje usa ama Canada? Em towa maelezo yaliyonyooka.
 
Daaah jirani zetu wakenya mtu akishapata immigrant visa pamoja na nauli ya kuja US wanampokea kwa $500 tu, na akishaanza kufanya kazi ndio wanamtoza hela ya kumhost.

Lakini wewe unasema minimum $25,000 kwa nini wabongo tunakatishana tamaa hivi
Ungewaambia $5000 ingekua sawa.

Je wewe gharama ulioitumia kupata visa ni hiyo $25,000???
 
Tafuta nchi zingine zenye gharama ya chini uanzie huko..kufika USA au Canada ni lazima uwe umejipanga mzee πŸ˜€πŸ˜€
Tena iyo gharama za chini siyo chini ya m5.
 
Mkuu apo kwenye immigrant visa unatushika, uyo mkenya anatumia vigezo gani kupata iyo visa? Kuhusu usd 25k inaweza kuwa nyingi maana mwenye hoja ake anatumia student visa. Sasa iyo I.V kwa apo Kenya inatolewaje? Labda kama unazungumzia mkenya aliyepata kazi moja moja USA na siyo mtu tu anayeenda eti kuomba visa alafu apewe moja kwa moja Immigrant visa
 
Wanapata kupitia ndoa ikiwa watapata majimama au mabwana us citizen kwenye dating sites, vile vile kupitia green card lottery inayofanyika kila mwaka.
 
Wanapata kupitia ndoa ikiwa watapata majimama au mabwana us citizen kwenye dating sites, vile vile kupitia green card lottery inayofanyika kila mwaka.
Kama ni green card lottery iyo ni mtu yeyote ila wakenya mara nyingi wanashinda maana wanacheza wengi kuliko sisi wabongo tumelala sana na kuhusu kupata wazungu piya ina apply pote pote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…