konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Huu UHURU wa kila mtu kujiandikia kila anachojisikia bila ya admins kufanyia censorship threads za aina hii, soon Jukwaa hili La JamiiForums linaenda kuwa moja ya Jukwaa linalochochea kwa Kasi watu kupata magonjwa ya akili ya Aina ya contents zinazoachiwa Ku trend na hazina msingi wowote katika kujenga Jamii iliyo Bora.
Uongozi wa JF huu UHURU Jaribuni kuupunguza tafadhalini Sana.
Cc. JamiiForums , Maxence Melo
Talk is cheap [emoji38]Mimi boda boda kwa siku sikosi 700,000
Kwani mafanikio ni nini bro mbona ww sasa ndio unakuwa mpumbavu. Nyie ndio wale wasomi mnaotukanwa na dotto magari. Unapozugumzia mafanikio ni nini kakaBado akili huna akili Yako tayari IPO limited unadhani kujenga ndio kufanikiwa kupata 50k ndio utajiri
Una ushauri mzuri tu ila Umetumia lugha Kali sana kuwasilisha hoja yakoFanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.
Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.
HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk
Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.
Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi
Hapa nazungumzia local participants
Kwani umeleta huu uzi kwa mabillionea au unakejeli watu mkuu.. kila mtu Ana hatua zake na hayo ndio mafanikioHahahaha unajua maana ya mafanikio??? Maisha Yako kula mpaka uende barabarani.
Bado sana
Mtu anaweza akawa polisi akajibana akapata mtaji akafanya biashara akapiga hela...traffic police wanapiga sana hela barabarani humoUnataka kusema IGP ni masikini??
Mmekalili eeeh
Kwaiyo watu wafanyeje mkuuUna point ila wengi watakubeza
Bahati ni fursa iliyokutana na Maandalizi.BAHATI INAHUSIKA.
Wafanye kazi ambazo zina historia ya kuwaweka watu pazurKwaiyo watu wafanyeje mkuu
Uvuvi ????Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.
Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.
HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk
Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.
Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi
Hapa nazungumzia local participants
Huo ni mtazamo wako wa hovyo.
Mkuu uzi kama huu ukiutoa useme pia wewe ni nani na unamiliki biashara gani kwa tanzania na umeajiri watanzania wangapi, ili kuepusha kuchukua ushauri wa kitajiri kwa maskini kama sisi.
Mbona huku Tanga kuna wavuvi wenye maisha mazuri na wameweza kuwekeza sana hasa WapembaKuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
Fikra zako haziko sahihi kila mudaHuu UHURU wa kila mtu kujiandikia kila anachojisikia bila ya admins kufanyia censorship threads za aina hii, soon Jukwaa hili La JamiiForums linaenda kuwa moja ya Jukwaa linalochochea kwa Kasi watu kupata magonjwa ya akili ya Aina ya contents zinazoachiwa Ku trend na hazina msingi wowote katika kujenga Jamii iliyo Bora.
Uongozi wa JF huu UHURU Jaribuni kuupunguza tafadhalini Sana.
Cc. JamiiForums , Maxence Melo
Dont take it personalAma kweli kipato huleta majivuno, eeh wewe unafanya kazi gani boss
🤣🤣 Wanataka wote tuingie kwenye list ya mabilionea ! Haiwezekani hata Mungu ashuke hapa !Tunatofautiana tunapotafsiri nini ni mafanikio kwakua kila mtu ana maana yake.
Mfugaji mafanikio ni kua na mifugo mingi hata kama haimuingizii pesa. Wakati mimi mafanikio ni kua na kabinti kenye chura wa kwenda
We inaonekana bd ni mtoto, polisi ni matajiri dogo. Walimu wapo wenye Maisha mazuri we pambana acha kuwaza watu. Kufanikiwa ni juhudi na maarifa ya mhusika.Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.
Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.
HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk
Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.
Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi
Hapa nazungumzia local participants