Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

Wewe nawe huna hata hoja. Sasa kuna ubaya gani wa hii thread?
Huu UHURU wa kila mtu kujiandikia kila anachojisikia bila ya admins kufanyia censorship threads za aina hii, soon Jukwaa hili La JamiiForums linaenda kuwa moja ya Jukwaa linalochochea kwa Kasi watu kupata magonjwa ya akili ya Aina ya contents zinazoachiwa Ku trend na hazina msingi wowote katika kujenga Jamii iliyo Bora.

Uongozi wa JF huu UHURU Jaribuni kuupunguza tafadhalini Sana.

Cc. JamiiForums , Maxence Melo
 
Bado akili huna akili Yako tayari IPO limited unadhani kujenga ndio kufanikiwa kupata 50k ndio utajiri
Kwani mafanikio ni nini bro mbona ww sasa ndio unakuwa mpumbavu. Nyie ndio wale wasomi mnaotukanwa na dotto magari. Unapozugumzia mafanikio ni nini kaka
 
Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.

Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.

HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk

Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.

Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi

Hapa nazungumzia local participants
Una ushauri mzuri tu ila Umetumia lugha Kali sana kuwasilisha hoja yako
Haya yote ameyazungumza sana Robert kiyosaki kwamba watu wengi wanatumia muda mwingi kufanya kazi kwa bidii badala ya kutumia muda mwingi kujifunza
Masomo ya utajiri yapo kwenye vitabu vya dini biblia na vitabu vingine lakini watu hawana muda wa kusoma
 
Hahahaha unajua maana ya mafanikio??? Maisha Yako kula mpaka uende barabarani.
Bado sana
Kwani umeleta huu uzi kwa mabillionea au unakejeli watu mkuu.. kila mtu Ana hatua zake na hayo ndio mafanikio
 
Tunatofautiana tunapotafsiri nini ni mafanikio kwakua kila mtu ana maana yake.

Mfugaji mafanikio ni kua na mifugo mingi hata kama haimuingizii pesa. Wakati mimi mafanikio ni kua na kabinti kenye chura wa kwenda
 
Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.

Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.

HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk

Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.

Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi

Hapa nazungumzia local participants
Uvuvi ????
 
Huo ni mtazamo wako wa hovyo.
Mkuu uzi kama huu ukiutoa useme pia wewe ni nani na unamiliki biashara gani kwa tanzania na umeajiri watanzania wangapi, ili kuepusha kuchukua ushauri wa kitajiri kwa maskini kama sisi.

Huwezi kukomaa na ajira yako ya TGS C huku ukiwa kijijini unawatumikia wananchi halafu uwe Tajiri.

Mtoa mada yuko SAHIHI

#YNWA
#YANGA BINGWA
 
Ingawa maisha hayana formula lakini mtoa mada Yuko sawa kabisa... Mfano mwalimu kumiliki bilioni 100 possibility ni 0.000920088754111133642172417772
 
Kuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
Mbona huku Tanga kuna wavuvi wenye maisha mazuri na wameweza kuwekeza sana hasa Wapemba
 
Shida ya matajiri wa JF ni kujisifu tu ila hamkunjui hizo fursa 🤣 mtu atakuja hapa anaeleza anavyopiga faida za Million 2 kwa siku mara ana UTT million 60 mwingine anawananga kazi za wengine za kimaskini ila hasemi ! Ooho nilitengeneza Mill 19 ndani ya week mbili wakifatwa inbox wanazamia !

Saa zingine tunawaza ni maskini wenzetu wako wanarelease stress kama tunavyojadili hapa Vita ya Ukraine na Russia mpaka tunakua na makundi ila mwisho wa siku hatuna impact yeyote kwenye hiyo vita yaan maoni yenu yanajaza tu server za JF zinakua hadi za moto ila tumo tu 🤣🤣

Tena mimi nawaonaga kina Kelvin kibenje na kina Nanauka na aina zake wanajitahidi kuliko matajiri wa JF huenda sio matajiri huenda hawana hela ila angalau wanashare maarifa anakwambia njoo nikuuzie kitabu cha machimbo ya kariakoo wewe utakaa ujifikirie uanze na nini hata ukiharibu mara ya kwanza mara ya kumi utakua umepata uzoefu wa nini cha kufanya.

Mwanaume wa Kweli njoo hapa toa miongozo oya wahuni iangalieni hii fursa hapa chezeni nayo elekeza mitaji ,elekeza kuanza kwake , changamoto zake , watu waulize maswali atakayeelewa mchezo anajitosa kuna siku ataandika uzi kukushukuru au atakufata binafsi , hizo ndo sadaka

Sasa matajiri wa JF mna vichambo 🤣🤣 manina zenu.
 
Huu UHURU wa kila mtu kujiandikia kila anachojisikia bila ya admins kufanyia censorship threads za aina hii, soon Jukwaa hili La JamiiForums linaenda kuwa moja ya Jukwaa linalochochea kwa Kasi watu kupata magonjwa ya akili ya Aina ya contents zinazoachiwa Ku trend na hazina msingi wowote katika kujenga Jamii iliyo Bora.

Uongozi wa JF huu UHURU Jaribuni kuupunguza tafadhalini Sana.

Cc. JamiiForums , Maxence Melo
Fikra zako haziko sahihi kila muda
Usitake unachoamini wewe muda wotee kikawe sahihi.

Nikiwa nimefanya kazi private miaka 3
Na serikalini miaka 13.

MTOA MADA YAKO SAHIHI
NA hao uliowa tag wampe zawadi.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Tunatofautiana tunapotafsiri nini ni mafanikio kwakua kila mtu ana maana yake.

Mfugaji mafanikio ni kua na mifugo mingi hata kama haimuingizii pesa. Wakati mimi mafanikio ni kua na kabinti kenye chura wa kwenda
🤣🤣 Wanataka wote tuingie kwenye list ya mabilionea ! Haiwezekani hata Mungu ashuke hapa !
Kila mtu ana tafsiri yake kuhusu kufanikiwa
 
Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.

Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.

HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk

Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.

Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi

Hapa nazungumzia local participants
We inaonekana bd ni mtoto, polisi ni matajiri dogo. Walimu wapo wenye Maisha mazuri we pambana acha kuwaza watu. Kufanikiwa ni juhudi na maarifa ya mhusika.
 
Back
Top Bottom