konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Wewe nawe huna hata hoja. Sasa kuna ubaya gani wa hii thread?
Huu UHURU wa kila mtu kujiandikia kila anachojisikia bila ya admins kufanyia censorship threads za aina hii, soon Jukwaa hili La JamiiForums linaenda kuwa moja ya Jukwaa linalochochea kwa Kasi watu kupata magonjwa ya akili ya Aina ya contents zinazoachiwa Ku trend na hazina msingi wowote katika kujenga Jamii iliyo Bora.
Uongozi wa JF huu UHURU Jaribuni kuupunguza tafadhalini Sana.
Cc. JamiiForums , Maxence Melo