Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibao aliuawa na katibu wa tawi gani la CCM?Wametuulia sheikh wetu kibao Mohamed
Sana mkuu...kunywa soda uliko mkuu.Watanzania tungekuwa kma wamozambiq., tungeheshimiana sana. Kungekuwa hakuna machawa na tungekuwa mbali sana kimaendeleo
Kule nako PolisiFrelimo wapoAman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu
Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana
Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?
Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine
Asante
Wewe unadhani ukiweka Polisi ccm na vyombo vyake ccm itapata kura hata 2M?Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu
Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana
Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?
Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine
Asante
Labda walienda maporini, kuchimba dawa bila kutumwa na serikaloAman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu
Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana
Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?
Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine
Asante
Na wasingeuza gesi yetu wala madini kwa hasara kubwa.Watanzania tungekuwa kma wamozambiq., tungeheshimiana sana. Kungekuwa hakuna machawa na tungekuwa mbali sana kimaendeleo
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu
Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana
Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?
Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine
Asante
Nchini Msumbiji mkoloni Mreno aliondolewa madarakani kwa mtutu wa bunduki ndio maana unaona kwamba Wananchi wa Msumbiji wanajitambua na wanazijua haki zaoJamaa mwamko wao wa kufanya maandamano hata mimi umenishangaza ..naamini hata sisi hapa Tanganyika TUTAAMKA soon
Kenya piaNchini Msumbiji mkoloni Mreno aliondolewa madarakani kwa mtutu wa bunduki ndio maana unaona kwamba Wananchi wa Msumbiji wanajitambua na wanazijua haki zao
Uzoefu unaonyesha kwamba Nchi karibia zote kabisa ambazo Uhuru wake ulipatikana kwa njia ya Vita, Wananchi wake wamekuwa na mwamko wa kisiasa wa kuwa na uthubutu au ujasiri wa kudai na/au kupigajia haki zao bila woga.
Makachero woote ni wanachama wa Frelimo na wanajua Wananchi wanawamwagia ugali.kwa hatua ya maandano yalipofikia ilitakiwa jeshi liwe upande wa wananchi kwa kuwasaidia kuwafukuza FRELIMO kwenye utawala...ila hili bara giza wakuu wa jeshi mara nyingi wanakula mema ya nchi na hao watawala hivyo hawajali maswahibu wanayopata wananchi
Waliopiga kura wapo wapi kutetea chaguo lao , na hili pia unahitaj elimu?unafahamu idadi ya waliopiga kura na je hao walioandamana hapo wapo miloni ngapi
kisha ndiyo uje utuambie hayo madai yako
mbona wanachi hawawezi kuMakachero woote ni wanachama wa Frelimo na wanajua Wananchi wanawamwagia ugali.
Hivyo vyama bila jeshi havuwezi kukaa madarakani hata miaka miwili. Wanakula pamoja.
Kwahiyo ni drama ?Kibao aliuawa na katibu wa tawi gani la CCM?
Frelimo kama CCM,viongozi wanalazimishwa kupendwa ili wagawane rasilimali za nchiAman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu
Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana
Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?
Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine
Asante
Wewe umesema CCM walimuua kibao,nimekuuliza mwana CCM toka tawi gani?Kwahiyo ni drama ?
watetee nini wakati mgombea waliompigia kura ameshinda kazii ya kutuliza vuruguWaliopiga kura wapo wapi kutetea chaguo lao , na hili pia unahitaj elimu?
Kwani mosambique wametuzidi kimaendeleo?. Ndg usiombe mambo ya msumbiji yaje Tz. Ila jambo moja tu watawala wa Tz wanatakiwa kujua ni kwamba nchi ipo mikononi mwao ila nchi siyo mali yao. Ni nchi ya watanzania. Dhuluma zikizidi hofu ya kifo huondoka na watu hudai haki zao kwa njia yoyote ile.Watanzania tungekuwa kma wamozambiq., tungeheshimiana sana. Kungekuwa hakuna machawa na tungekuwa mbali sana kimaendeleo