Kama wananchi wote wa Msumbiji wanaandamana kupinga matokeo nani aliipigia kura frelimo chama kikuu na kushinda?

Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana

Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji

Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu

Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana

Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?

Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine

Asante
Kule nako PolisiFrelimo wapo
 
Wewe unadhani ukiweka Polisi ccm na vyombo vyake ccm itapata kura hata 2M?
 
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana

Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji

Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu

Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana

Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?

Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine

Asante
Labda walienda maporini, kuchimba dawa bila kutumwa na serikalo
 
Jamaa mwamko wao wa kufanya maandamano hata mimi umenishangaza ..naamini hata sisi hapa Tanganyika TUTAAMKA soon
Nchini Msumbiji mkoloni Mreno aliondolewa madarakani kwa mtutu wa bunduki ndio maana unaona kwamba Wananchi wa Msumbiji wanajitambua na wanazijua haki zao
Uzoefu kutoka katika nchi mbalimbali hapa duniani unaonyesha kwamba Nchi karibia zote kabisa ambazo Uhuru wake ulipatikana kwa njia ya Vita, Wananchi wake wamekuwa na mwamko wa kisiasa wa kuwa na uthubutu au ujasiri wa kudai na/au kupigajia haki zao bila woga.
 
Nchini Msumbiji mkoloni Mreno aliondolewa madarakani kwa mtutu wa bunduki ndio maana unaona kwamba Wananchi wa Msumbiji wanajitambua na wanazijua haki zao
Uzoefu unaonyesha kwamba Nchi karibia zote kabisa ambazo Uhuru wake ulipatikana kwa njia ya Vita, Wananchi wake wamekuwa na mwamko wa kisiasa wa kuwa na uthubutu au ujasiri wa kudai na/au kupigajia haki zao bila woga.
Kenya pia
 
kwa hatua ya maandano yalipofikia ilitakiwa jeshi liwe upande wa wananchi kwa kuwasaidia kuwafukuza FRELIMO kwenye utawala...ila hili bara giza wakuu wa jeshi mara nyingi wanakula mema ya nchi na hao watawala hivyo hawajali maswahibu wanayopata wananchi
 
Makachero woote ni wanachama wa Frelimo na wanajua Wananchi wanawamwagia ugali.

Hivyo vyama bila jeshi havuwezi kukaa madarakani hata miaka miwili. Wanakula pamoja.
 
unafahamu idadi ya waliopiga kura na je hao walioandamana hapo wapo miloni ngapi
kisha ndiyo uje utuambie hayo madai yako
Waliopiga kura wapo wapi kutetea chaguo lao , na hili pia unahitaj elimu?
 
Makachero woote ni wanachama wa Frelimo na wanajua Wananchi wanawamwagia ugali.

Hivyo vyama bila jeshi havuwezi kukaa madarakani hata miaka miwili. Wanakula pamoja.
mbona wanachi hawawezi ku
mwaga ugali wao maana kama ni mishahara,posho na marupurupu yapo kwa mujibu wa sheria na katiba kwani lazima walipwe tu bila kujali chama gani kipo madarakani...labda useme wanapewa rushwa nono iliyo nje ya malipo yao kisheria yaani wale top wenye amri ya mwisho jeshini ni kama wananunuliwa na wanasiasa walio madarakani ili hata wakiharibu basi jeshi lisichukue hatua au lisiwe upande wa wananchi ...kwa afrika hii mm naona majeshi ya ukweli ya wanachi yapo afrika magharibi tu yapo fasta kuchukua hatua wakiona watawala hawatakiwi ila huku mashariki na kusini ni kulindana tu.!
 
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana

Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji

Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu

Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana

Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?

Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine

Asante
Frelimo kama CCM,viongozi wanalazimishwa kupendwa ili wagawane rasilimali za nchi
 
Waliopiga kura wapo wapi kutetea chaguo lao , na hili pia unahitaj elimu?
watetee nini wakati mgombea waliompigia kura ameshinda kazii ya kutuliza vurugu
ni ya vyombo vya dola
 
Watanzania tungekuwa kma wamozambiq., tungeheshimiana sana. Kungekuwa hakuna machawa na tungekuwa mbali sana kimaendeleo
Kwani mosambique wametuzidi kimaendeleo?. Ndg usiombe mambo ya msumbiji yaje Tz. Ila jambo moja tu watawala wa Tz wanatakiwa kujua ni kwamba nchi ipo mikononi mwao ila nchi siyo mali yao. Ni nchi ya watanzania. Dhuluma zikizidi hofu ya kifo huondoka na watu hudai haki zao kwa njia yoyote ile.
 
Back
Top Bottom