Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Ishu sio kutojua. Suala la kupika zile basic skills mbona wengi tu tunajua. Ishu ni kubanwa na ratiba na ile kuona suala la kupika sio muhimu kiasi cha kukupotezea mudaHahaha. Kwamba unakua unaweza kupiga ugali Ila mboga huwezi mkuu? Katakata tu hizo nyanya pia. Chakula hakijuagi jinsia ya anayekipika.
Acha kukulupuka kijana ugali umetolewa mfano tu, na suala la kununua msosi siku hizi kuna delivery sio lazima utoke kwenda mwenyewe kama zamani. Wewe kaa kwenye kibao cha mbuzi kuna nazi zako uunge mboga. Chakula kikiiva mwite mkeo aje kula. Sisi wengine malezi tuliyopewa jikoni sio sehemu ya mwanaume kuonekanaSio kila mtu au kila mwanaume anakula ugali.
Pia ni ujinga na uswahili unapika ugali halafu jitu zima na ndevu zako unatembea na vibobo vya mboga barabarani eti umetoka kununua maharage ya nazi kwa mwanahamisi.
Mimi sio muumini wa usawa wa kijinsia, naamini patriarchy ndio msingi wa ustawi bora wa familia na jamii kwa ujumlaAre you in support?
We si una advocate usawa?
Na raha ya kupika mpishi avae kanga au dela. Vipi wakati wa kupika wewe unavaaga nini?mm nikiwa mmoja wao napenda sana kupika chapati,mandaz kupk mnaogopa nini masela
Hapo sawa.Ishu sio kutojua. Suala la kupika zile basic skills mbona wengi tu tunajua. Ishu ni kubanwa na ratiba na ile kuona suala la kupika sio muhimu kiasi cha kukupotezea muda
mm hujifunga kangaNa raha ya kupika mpishi avae kanga au dela. Vipi wakati wa kupika wewe unavaaga nini?
Ulikuwa unataka tu comments. Haya umezipata sasa sijui zitakusaidia niniKama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.
Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.
Nina mashaka na we maana huu si uzi wa mzeeee ngoja ulishe usivyopenda ndio akili itakuja sawa kuaguame mzee anayejitambua
Umeua anajiona wa maana na akati atakufa na kuacha yote inabidi asome Muhubiri kwanza kuwa watu wamekula maisha zaidi yake wakaona ni ubatiliWe jamaa ni nadra uandike jambo la msingi kwa jamii
Mada inasemaje?We jamaa ni nadra uandike jambo la msingi kwa jamii
Mada inasemaje?Umeua anajiona wa maana na akati atakufa na kuacha yote inabidi asome Muhubiri kwanza kuwa watu wamekula maisha zaidi yake wakaona ni ubatili
Hawa ni watu waliokulia nyumba zenye uhakika. Yani ukulie nyumba hohehahe, huna dada wa kazi ama madada wa kuwahangaisha kukupikia halafu usijue kupika NEVERNa alivo na njaa za kutetemeka, ni vizuri kujifunza kupika hata vitu vidogo vidogo sababu sio muda wote utakuwa na access na sehemu za kula/mpishi.
๐น๐น๐น Niulizie hiyo pochi bei gani nimeipenda min.. Sio mbaya ukiuliza na kiatu pia..!!
Unakoelekea utaokotewa mawe ๐น๐นMwanaume ameumbwa kufanya kazi ngumu, hii kujipikilisha hii imepelekea mporomoko wa kimaadili kwa baadhi ya me.
Uko sahihi, Kupika ni basic skill/survival skill kila mtu anapaswa kujua.Hawa ni watu waliokulia nyumba zenye uhakika. Yani ukulie nyumba hohehahe, huna dada wa kazi ama madada wa kuwahangaisha kukupikia halafu usijue kupika NEVER
Kwenye group la wanaojua kupika sipo na sio mpenzi wa kupika ila kupika cha kula mwenyewe. Sio issue