Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Hawamwogopi ila wacheza game ya cat and mouseWanamwogopa.
Rejea mada yangu ya ‘Tundu Frankestein Lissu’
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawamwogopi ila wacheza game ya cat and mouseWanamwogopa.
Rejea mada yangu ya ‘Tundu Frankestein Lissu’
Hao si tumeongea na wamevunja sheria ambazo wao wenyewe walizitunga bungeni? Kama zilikuwa hazifai miaka 15 ya Mbowe alipokuwa Bungeni kwa nini hakuzipinga? Hawa ni wasanii tu.Aliyeshikiliwa anayezungumziwa katika uzi huu ni nani?
Whatever.Hawamwogopi ila wacheza game ya cat and mouse
Wamevunja sheria gani?Hao si tumeongea na wamevunja sheria ambazo wao wenyewe walizitunga bungeni? Kama zilikuwa hazifai miaka 15 ya Mbowe alipokuwa Bungeni kwa nini hakuzipinga? Hawa ni wasanii tu.
Wanashikiliwa kwa kosa gani? Kwa ushahidi gani? Unajuaje kwamba hawashikiliwi kisiasa?Ndio ni wanasiasa.
Ila sikubaliani na wewe kwamba polisi kwa walichokieleza leo wametumika kuwadhibiti kisiasa...
Kuandaa maandamano bila kuomba kibali.Wamevunja sheria gani?
Kuandaa maandamano ni kosa kwa mujibu wa sheria ipi?Kuandaa maandamano bila kuomba kibali.
Ipo clip hapo juu video sikiliza usiwe mvivu.Kuandaa maandamano ni kosa kwa mujibu wa sheria ipi?
Niwekee hapa hiyo sheria niisome na mimi...
Niwekee sheria inayopiga marufuku kuandaa maandamano bila kibali.Ipo clip hapo juu video sikiliza usiwe mvivu.
Mambosasa ameeleza.Wanashikiliwa kwa kosa gani? Kwa ushahidi gani? Unajuaje kwamba hawashikiliwi kisiasa?
Mkuu sina hiyo sheria kwa sasa lakini hiyo sheria ipo hata wewe unaweza kuitafuta. Hizo sheria zipo nchi zote duniani zinatumika.Niwekee sheria inayopiga marufuku kuandaa maandamano bila kibali.
Usiniambie mambo ya video. Sijakuomba video mimi.
Nawewe muda si mrefu utakuwa mikononi mwa policeHii ndio Taarifa mpya kwa sasa .
Taarifa zaidi zitaendelea kutiririka .....
Achana naye, leo anajifanya hajui kuna sheria inayotaka aombe kibali polisi masaa 48 kabla. Uzuri kutokujua sheria siyo kingaMkuu sina hiyo sheria kwa sasa lakini hiyo sheria ipo hata wewe unaweza kuitafuta. Hizo sheria zipo nchi zote duniani zinatumika.
SheriaNiwekee sheria inayopiga marufuku kuandaa maandamano bila kibali.
Usiniambie mambo ya video. Sijakuomba video mimi.
Hivi utani wako huu utaisha lini,Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu
Sasa mkuu, Mambosasa si ameeleza sababu za kukamatwa kwa Mbowe na wenziwe?
Kwa mfano hata huko uliko, polisi si huweza hata kubomoa mlango wako kisa tu mtu fulani kawapa tip kuhusu mtu huyo na shughuli zake zisizoeleweka?
Anti terror police na polisi wa kawaida wana uwezo huo walopewa na sheria.
Hivyo hata Tanzania polisi wake wana intel na wana uwezo wa kukukamata endapo washukiwa au kuhisiwa kuwa wapanga kufanya uhalifu.
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa .
Taarifa zaidi zitaendelea kutiririka .....
Ni tuhuma au ni kweli? wanawashikilia kwa tuhuma au wanawashikilia kwamba ni kweli wana njama za kupanga hayo yasemwayo... hiyo kesi ya Mambo sasa imeharibika tayari hata kabla haijafika mahakamani ya nini kukimbilia kwemye media? hii huitwa trial by media na wataachiwa huru tu.. usumbufu mwingine usio wa maanaKamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA...
Nimecheka sana. Lakini mfano wako unamaana kazi ya Polisi si kuzuia kosa lisitendeke bali wasubiri kosa litendeke ndio waingie kazini. Ni sawa na kusubiri watu wajenge kando ya mto ndio uende kubomoa nyumba zao, badala yaa kuweka ulinzi kabla ili waharifu wasifanye huo uharifu. X😂😂Hicho wanchofanya ni more dangerous zaidi, Bora wangewakamata wakati wa maandamano.
Inanikumbusha story moja " Kuna baunsa mmoja alikua ananyanyasa wanakijiji. Siku moja akatokea kijana mdogo tu akamwambia kesho saa Saba mchana nitazibinya pumbu zako mpaka ulie" Sasa Yule baunsa akaanza kumkimbiza Yule kijana...