Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawako makini to keep timeBado haujaanza?
HahahahaAnataka iwe usiku akiwa amelewa Faru John.... hahahahah.
Labda police wa Malawi ndo wanawezaTunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.
Mpaka sasa dalili zinanionyesha kuwa Kamati Kuu imelamba vichwa vya wasaliti wote.
Alafu Ili kuthibitisha kuwa CHADEMA hawahusiki na huo uteuzi wa hao wasaliti, moja ya maamuzi ya kikao iwe ni kulitaka Jeshi la Polisi, tena kwa kuwaandikia barua rasimi, wachunguze sakata hili(makosa ya kugushi na mengineyo) bila kujali Polisi watachukua hatua au laa na CHADEMA waahidi ushirikiano alafu tuone kama kunakitachofanyika.
HahahahUmenikumbusha Polepole alivyosema upinzani ni sawa na corona.
Mkifuta usajili watu wataenda kwa Rungwe...ilianza NCCR ikaja CUF Chadema na sasa Rungwee sipundaChama cha MBOWE kimejaa utapeli wa kila namna!
Hii saccos inapaswa kufutiwa usajili!
mbona una haraka kama unaogea nje mkuuList ya Mbowe ina barua yenye Muhuri halali ya Mdee ina dhamana ya wanawake. Haya tusikilize porojo za Mbowe
Mungu yupi huyo?Mungu ibariki Chadema
Mbona Kama unaliaMungu ibariki Chadema
We takataka tupu kichwaniList ya Mbowe ina barua yenye Muhuri halali ya Mdee ina dhamana ya wanawake. Haya tusikilize porojo za Mbowe
Hahahahaha! Umepaniki mzee! Kwa hiyo CCM wakighushi wakawateua wajumbe wa halmashauri kuu ya Chadema wawe wabunge, nyumbu wakimbilie kwa vile wameitwa? Tena nyumbu wote walioitwa asiwepo hata mmoja wa kugoma? Halafu manyumbu mengine yaambiwe, imbeni kughushi, basi wao ni kuimba tu kughushiii, kughushiii (kwa sauti ya ndama wa nyumbu)Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM hata kufikiri NECCCM hawawezi kughushi ni unyumbu kwani NECCCM siyo malaika hao
Wanajuta kumfuata MboweMbona Kama unalia
Chama cha MBOWE kimejaa utapeli wa kila namna!
Hii saccos inapaswa kufutiwa usajili!