Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.

Mpaka sasa dalili zinanionyesha kuwa Kamati Kuu imelamba vichwa vya wasaliti wote.

Alafu Ili kuthibitisha kuwa CHADEMA hawahusiki na huo uteuzi wa hao wasaliti, moja ya maamuzi ya kikao iwe ni kulitaka Jeshi la Polisi, tena kwa kuwaandikia barua rasimi, wachunguze sakata hili(makosa ya kugushi na mengineyo) bila kujali Polisi watachukua hatua au laa na CHADEMA waahidi ushirikiano alafu tuone kama kunakitachofanyika.
Labda police wa Malawi ndo wanaweza
 
Chama cha MBOWE kimejaa utapeli wa kila namna!

Hii saccos inapaswa kufutiwa usajili!
Mkifuta usajili watu wataenda kwa Rungwe...ilianza NCCR ikaja CUF Chadema na sasa Rungwee sipunda
 
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM hata kufikiri NECCCM hawawezi kughushi ni unyumbu kwani NECCCM siyo malaika hao
Hahahahaha! Umepaniki mzee! Kwa hiyo CCM wakighushi wakawateua wajumbe wa halmashauri kuu ya Chadema wawe wabunge, nyumbu wakimbilie kwa vile wameitwa? Tena nyumbu wote walioitwa asiwepo hata mmoja wa kugoma? Halafu manyumbu mengine yaambiwe, imbeni kughushi, basi wao ni kuimba tu kughushiii, kughushiii (kwa sauti ya ndama wa nyumbu)

Dadeki. Nyumbu ni nyumbu tu!
 
Chama cha MBOWE kimejaa utapeli wa kila namna!

Hii saccos inapaswa kufutiwa usajili!


Nitamshangaa sana msajili kama ataendea kukivumilia hiki cha kinachofanya kila hila kuhujumu nchi na kuvunja Katiba ya nchi inayowatakupeleka wabunge wa viti maalumu.

Hicho Chama kifutwe haraka sana mana kipo kwa ajili ya maslahi ya viongozi wasiozidi watano.

Tunamuomba msajili akifute haraka kwani kimekua ni kichochoro cha wasaliti wa nchi na wahujumu maendeleo ya watu.
 
Back
Top Bottom