Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
TetetetMechi imekuwa ngumu mno. Huyu mchezaji anasumbua hakuna mfano. Anachanbua defence haijapata kutokea.View attachment 1589303
Aliyedanganya njombe kuwa wampe kura atanunua ndege ya mizingo ipeleke maparachichi ulaya, ni sawa?Babati unaona alichofanya Tundu Lissu kudanganya umma ni sawa?. Yaani mgombea wa Urais anasema uongo wa wazi na kudanganya umma huku akijua anachosema ni uongo. Yaani huko amepeleka mawakili wake nguli kumtetea na kuomba apunguziwe adhabu, huku kwenye public anasema hajapokea barua na hajapewa nafasi ya kujitetea. Akili yako kichwani ndugu. Lissu ni sumu
Sheria inasemaje??? Tuanzie hapo kwanza!!!
Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Taifa yabainisha uongo wa Tundu Lissu na kueleza yafuatayo:
1. Siyo NEC iliyompa adhabu kama anavyotangaza bali amepewa na Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ambayo wajumbe wake ni vyama vyote 15 ikiwemo Chadema na 11 ya wajumbe hao wameona Tundu Lissu ana atia
2. Tundu Lissu alipokea barua na alijitetea mbele ya Kamati kupitia mawakili wake wawili na kuomba Kamati impunguzie adhabu. Hii maana yake ni kuwa walikiri ana makosa
3. Sheria inataka taarifa ipewe vyama siyo mgombea binafsi na utaratibu kama huo ulishawahi kutumika Tundu Lissu alipopewa madai na TADEA na alijibu madai hayo yaliyowasilishwa kupitia CHADEMA kama ilivyo utaratibu.
Mengine sikiziza mwenyewe. Hakika Tundu Lissu ni mwongo na anadhamira mbaya na nchi yetu ili kuwafurahisha mabeberu wake. Chukua hatua na akili kichwani. Achana na Tundu Lissu.
Wajumbe wa kamati kuu Chadema wengi Lisu keshawaporomoshea matusi ya nguoni kuanzia katibu mkuu nkLisu ni mzima Ila kiburi kinamfanya ajihisi ana akili kuliko watu wote Hali kamaiyo inamfanya asifikilie sawa sawa, kiburi kinamfanya ashindwe kutafakari vizuri. Mbaya zaidi kwasasa hajui nani wa kumwamini maana jamaa wa kamati kuu wengi hawamwungi mkono.
Msaliti Lissu amekwama tulishasema sheria hajui huyo lakini wanasaccos eti wanasema nj duli wa sheria wakati ni mbumbumbu wa sheria aliyekubuhu. Ona sasa anavyoaibika!!
Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Taifa yabainisha uongo wa Tundu Lissu na kueleza yafuatayo:
1. Siyo NEC iliyompa adhabu kama anavyotangaza bali amepewa na Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ambayo wajumbe wake ni vyama vyote 15 ikiwemo Chadema na 11 ya wajumbe hao wameona Tundu Lissu ana atia
2. Tundu Lissu alipokea barua na alijitetea mbele ya Kamati kupitia mawakili wake wawili na kuomba Kamati impunguzie adhabu. Hii maana yake ni kuwa walikiri ana makosa
3. Sheria inataka taarifa ipewe vyama siyo mgombea binafsi na utaratibu kama huo ulishawahi kutumika Tundu Lissu alipopewa madai na TADEA na alijibu madai hayo yaliyowasilishwa kupitia CHADEMA kama ilivyo utaratibu.
Mengine sikiziza mwenyewe. Hakika Tundu Lissu ni mwongo na anadhamira mbaya na nchi yetu ili kuwafurahisha mabeberu wake. Chukua hatua na akili kichwani. Achana na Tundu Lissu.
Msikilize mwanasheria huyo hapo ametaja vifungu vya sheria vyote kama hujaelewa basi hatuwezi kukusaidia zaidi.Sheria inasemaje??? Tuanzie hapo kwanza!!!
Malalamiko anapelekewa mgombea au Chama??? Yeye ni mahakama hadi atafsiri sheria??? Kama sheria inasema malalamiko apelekewe mgombea inabidi apelekewe mgombea na wala si Chama!!!
Pili mara ya kwanza alisema Walipeleka malalamiko kwa katibu akawajibu wampelekee mgombea, Kwa nini hawakufanya???
Tatu wanasema kamati ya maadili sio tume alafu video yao inaaanza na Nembo ya Tume ya uchaguzi!! Mbona wanajichanganya????
ALIONGEA MBEYAAliyedanganya njombe kuwa wampe kura atanunua ndege ya mizingo ipeleke maparachichi ulaya, ni sawa?
Ni kweli, atajiua kabisa, haswa akiukosa na uenyekiti wa kikundiLissu kuna kitu hakiko sawa, anahitaji wanasaikolojia la sivyo baada ya October anaweza kujidhuru
Ametaja hajavisoma!!Msikilize mwanasheria huyo hapo ametaja vifungu vya sheria vyote kama hujaelewa basi hatuwezi kukusaidia zaidi.
Atakayejiua ni yule aliyekuwa anahutubia huku watu wakiondoka Zanzibar leoNi kweli, atajiua kabisa, haswa akiukosa na uenyekiti wa kikundi
Zile kumi na sita kuna moja ilikata fuse ya control box yake soo mafaili yanapandiliana lissu ninwakumuonea huruma lakini sio huruma ya kumpa kura .Lissu kuna kitu hakiko sawa, anahitaji wanasaikolojia la sivyo baada ya October anaweza kujidhuru
Yaani Lisu ana hali mbaya sana. Inasemekana kwanza hela imekataAtakayejiua ni yule aliyekuwa anahutubia huku watu wakiondoka Zanzibar leo
Kama ni porojo,ongea wewe hizo point.Huyu babu tapeli anaongea nini hapa zaidi ya porojo, sisi tupo na Lissu hahitaji hata kampeni. shame on them
Zile kumi na sita kuna moja ilikata fuse ya control box yake soo mafaili yanapandiliana lissu ninwakumuonea huruma lakini sio huruma ya kumpa kura .
Kalale hukoKama ni porojo,ongea wewe hizo point.
Kwenye hili ata mke wake lissu hawezi kuumpa kura yake.Kura atapewa na robert peke yake [emoji3][emoji3][emoji3]
Hela imekata wakati kila siku tunamchangia???Yaani Lisu ana hali mbaya sana. Inasemekana kwanza hela imekata
na kiburi na kujiona unajua hubabaishwiLisu ni mzima Ila kiburi kinamfanya ajihisi ana akili kuliko watu wote Hali kamaiyo inamfanya asifikilie sawa sawa, kiburi kinamfanya ashindwe kutafakari vizuri. Mbaya zaidi kwasasa hajui nani wa kumwamini maana jamaa wa kamati kuu wengi hawamwungi mkono.