Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

Babati unaona alichofanya Tundu Lissu kudanganya umma ni sawa?. Yaani mgombea wa Urais anasema uongo wa wazi na kudanganya umma huku akijua anachosema ni uongo. Yaani huko amepeleka mawakili wake nguli kumtetea na kuomba apunguziwe adhabu, huku kwenye public anasema hajapokea barua na hajapewa nafasi ya kujitetea. Akili yako kichwani ndugu. Lissu ni sumu
Aliyedanganya njombe kuwa wampe kura atanunua ndege ya mizingo ipeleke maparachichi ulaya, ni sawa?
 
Mimi nikiliona lilivyojazia mashavu nakeleka kweli nahisi kutapika na linavyoongea hadi kinyaa,poor lissu
 
Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Taifa yabainisha uongo wa Tundu Lissu na kueleza yafuatayo:
1. Siyo NEC iliyompa adhabu kama anavyotangaza bali amepewa na Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ambayo wajumbe wake ni vyama vyote 15 ikiwemo Chadema na 11 ya wajumbe hao wameona Tundu Lissu ana atia
2. Tundu Lissu alipokea barua na alijitetea mbele ya Kamati kupitia mawakili wake wawili na kuomba Kamati impunguzie adhabu. Hii maana yake ni kuwa walikiri ana makosa
3. Sheria inataka taarifa ipewe vyama siyo mgombea binafsi na utaratibu kama huo ulishawahi kutumika Tundu Lissu alipopewa madai na TADEA na alijibu madai hayo yaliyowasilishwa kupitia CHADEMA kama ilivyo utaratibu.
Mengine sikiziza mwenyewe. Hakika Tundu Lissu ni mwongo na anadhamira mbaya na nchi yetu ili kuwafurahisha mabeberu wake. Chukua hatua na akili kichwani. Achana na Tundu Lissu.

Sheria inasemaje??? Tuanzie hapo kwanza!!!

Malalamiko anapelekewa mgombea au Chama??? Yeye ni mahakama hadi atafsiri sheria??? Kama sheria inasema malalamiko apelekewe mgombea inabidi apelekewe mgombea na wala si Chama!!!

Pili mara ya kwanza alisema Walipeleka malalamiko kwa katibu akawajibu wampelekee mgombea, Kwa nini hawakufanya???

Tatu wanasema kamati ya maadili sio tume alafu video yao inaaanza na Nembo ya Tume ya uchaguzi!! Mbona wanajichanganya????
 
Lisu ni mzima Ila kiburi kinamfanya ajihisi ana akili kuliko watu wote Hali kamaiyo inamfanya asifikilie sawa sawa, kiburi kinamfanya ashindwe kutafakari vizuri. Mbaya zaidi kwasasa hajui nani wa kumwamini maana jamaa wa kamati kuu wengi hawamwungi mkono.
Wajumbe wa kamati kuu Chadema wengi Lisu keshawaporomoshea matusi ya nguoni kuanzia katibu mkuu nk

kwa ujumla Lisu ni mtu mgumu kufanya naye kazi ndani ya chama na nje ya chama teamwork kwake haipo kabisa!!!
 
Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Taifa yabainisha uongo wa Tundu Lissu na kueleza yafuatayo:
1. Siyo NEC iliyompa adhabu kama anavyotangaza bali amepewa na Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ambayo wajumbe wake ni vyama vyote 15 ikiwemo Chadema na 11 ya wajumbe hao wameona Tundu Lissu ana atia
2. Tundu Lissu alipokea barua na alijitetea mbele ya Kamati kupitia mawakili wake wawili na kuomba Kamati impunguzie adhabu. Hii maana yake ni kuwa walikiri ana makosa
3. Sheria inataka taarifa ipewe vyama siyo mgombea binafsi na utaratibu kama huo ulishawahi kutumika Tundu Lissu alipopewa madai na TADEA na alijibu madai hayo yaliyowasilishwa kupitia CHADEMA kama ilivyo utaratibu.
Mengine sikiziza mwenyewe. Hakika Tundu Lissu ni mwongo na anadhamira mbaya na nchi yetu ili kuwafurahisha mabeberu wake. Chukua hatua na akili kichwani. Achana na Tundu Lissu.

Msaliti Lissu amekwama tulishasema sheria hajui huyo lakini wanasaccos eti wanasema nj duli wa sheria wakati ni mbumbumbu wa sheria aliyekubuhu. Ona sasa anavyoaibika!!
 
Sheria inasemaje??? Tuanzie hapo kwanza!!!

Malalamiko anapelekewa mgombea au Chama??? Yeye ni mahakama hadi atafsiri sheria??? Kama sheria inasema malalamiko apelekewe mgombea inabidi apelekewe mgombea na wala si Chama!!!

Pili mara ya kwanza alisema Walipeleka malalamiko kwa katibu akawajibu wampelekee mgombea, Kwa nini hawakufanya???

Tatu wanasema kamati ya maadili sio tume alafu video yao inaaanza na Nembo ya Tume ya uchaguzi!! Mbona wanajichanganya????
Msikilize mwanasheria huyo hapo ametaja vifungu vya sheria vyote kama hujaelewa basi hatuwezi kukusaidia zaidi.
 
Naona hii kamati imeamua kuingia ktk propaganda.

Chadema waendelee na mambo yao,wasitolewe kwenye reli.
 
Lissu kuna kitu hakiko sawa, anahitaji wanasaikolojia la sivyo baada ya October anaweza kujidhuru
Zile kumi na sita kuna moja ilikata fuse ya control box yake soo mafaili yanapandiliana lissu ninwakumuonea huruma lakini sio huruma ya kumpa kura .
 
Yaani Lisu ana hali mbaya sana. Inasemekana kwanza hela imekata
Hela imekata wakati kila siku tunamchangia???

Mwenye hali mbaya ni huyo mzee wakobaliechanganyikiwa leo Zanzibar baada ya kuona watu wanaondoka akiwa anahutubia hadi kuropoka anataka kuoa mke wa pili wa kizanzibar
 
Lisu ni mzima Ila kiburi kinamfanya ajihisi ana akili kuliko watu wote Hali kamaiyo inamfanya asifikilie sawa sawa, kiburi kinamfanya ashindwe kutafakari vizuri. Mbaya zaidi kwasasa hajui nani wa kumwamini maana jamaa wa kamati kuu wengi hawamwungi mkono.
na kiburi na kujiona unajua hubabaishwi
 
Back
Top Bottom