Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

Lisu ni wakupuuzwa,hayuko sawa ye kila mara anaropoka "au mnataka kunipiga risasi? Nipigeni" sasa inahusu nini.
 
Hela imekata wakati kila siku tunamchangia???

Mwenye hali mbaya ni huyo mzee wakobaliechanganyikiwa leo Zanzibar baada ya kuona watu wanaondoka akiwa anahutubia hadi kuropoka anataka kuoa mke wa pili wa kizanzibar
Nyie changeni mbowe anakula.
 
Lisu ni wakupuuzwa,hayuko sawa ye kila mara anaropoka "au mnataka kunipiga risasi? Nipigeni" sasa inahusu nini.
Anayeropoka ni huyu aliye sema leo ataoa mke wa pili Zanzibar’s!! Sijui a nadhani shida za wazanzibar ni wanawake zao kuolewa kama wake wa pili???
 
Mbona malalamiko ya Lissu hayaja sikilizwa au hata tu kusema wamepokea malalamiko mara tatu hawasemi!. Tanzania bado sana masikini nchi yangu sijui lini tutapata uhuru wetu na usawa
 
Ukiona mtu anatetea ushoga jambo ambalo hata mnyama hawezi kulifanya tambua huyo ni zaidi ya shetani.
 
Anayeropoka ni huyu aliye sema leo ataoa mke wa pili Zanzibar’s!! Sijui a nadhani shida za wazanzibar ni wanawake zao kuolewa kama wake wa pili???
We chizi kweli, alianza kutania Mwinyi ana wake wawili ndipo akatania na hilo

Basi ikiwa imekukera peleka malalamiko kamati ya maadili NEC
 
Mbona malalamiko ya Lissu hayaja sikilizwa au hata tu kusema wamepokea malalamiko mara tatu hawasemi!. Tanzania bado sana masikini nchi yangu sijui lini tutapata uhuru wetu na usawa

Uhuru gani mnautaka wakati sisi tuna uhuru toka 1961. Kama mnataka uhuru wa kupumuliana kisogoni kama sera zenu mtasubiri sana au hamieni huko huko kwa watetezi wenu
 
We chizi kweli, alianza kutania Mwinyi ana wake wawili ndipo akatania na hilo

Basi ikiwa imekukera peleka malalamiko kamati ya maadili NEC
Hapana , hajanikera ila nimefurahi tu wazanzibar walivyokuwa wanaondoka uwanjani wakati anahutubia
 
Mechi imekuwa ngumu mno. Huyu mchezaji anasumbua hakuna mfano. Anachanbua defence haijapata kutokea.View attachment 1589303
Hamna kitu hapo hiyo ni chenga twawala lakini hakuna kulenga goli wala kufunga huamini tulutane sanduku la kura. Toka lini ubwabwa ukawa mboga ya ubwabwa.
 
Hapana , hajanikera ila nimefurahi tu wazanzibar walivyokuwa wanaondoka uwanjani wakati anahutubia

Jifariji nabisubiri sanduku likimiminika kura za kijani. Mtaisoma tu namba mapema sana
 
Mbona majukwaani anatafsiri sana tu?
 
Wana hangaika nini tena na yeye !?.Si walisha mlima Ban sasa mbona kelele zinazidi.Tume mna jukumu Kisheria kutoa Elimu kwa mpiga kura ,lakini nyie kutwa kuchwa kuhangaika na Lissu tu na kuyaacha Majukumu yenu ya Msingi.

Wewe huoni hilo domo lake linatema uchochezi na kuhamasisha utekaji na kuchoma ofisi za chama chao. Domo lake linahamasisha ugaidi kisha lenyewe likimbilie kwa mabwana zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…