Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

Lisu ni wakupuuzwa,hayuko sawa ye kila mara anaropoka "au mnataka kunipiga risasi? Nipigeni" sasa inahusu nini.
 
Hela imekata wakati kila siku tunamchangia???

Mwenye hali mbaya ni huyo mzee wakobaliechanganyikiwa leo Zanzibar baada ya kuona watu wanaondoka akiwa anahutubia hadi kuropoka anataka kuoa mke wa pili wa kizanzibar
Nyie changeni mbowe anakula.
 
Lisu ni wakupuuzwa,hayuko sawa ye kila mara anaropoka "au mnataka kunipiga risasi? Nipigeni" sasa inahusu nini.
Anayeropoka ni huyu aliye sema leo ataoa mke wa pili Zanzibar’s!! Sijui a nadhani shida za wazanzibar ni wanawake zao kuolewa kama wake wa pili???
 
Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Taifa yabainisha uongo wa Tundu Lissu na kueleza yafuatayo:
1. Siyo NEC iliyompa adhabu kama anavyotangaza bali amepewa na Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ambayo wajumbe wake ni vyama vyote 15 ikiwemo Chadema na 11 ya wajumbe hao wameona Tundu Lissu ana atia
2. Tundu Lissu alipokea barua na alijitetea mbele ya Kamati kupitia mawakili wake wawili na kuomba Kamati impunguzie adhabu. Hii maana yake ni kuwa walikiri ana makosa
3. Sheria inataka taarifa ipewe vyama siyo mgombea binafsi na utaratibu kama huo ulishawahi kutumika Tundu Lissu alipopewa madai na TADEA na alijibu madai hayo yaliyowasilishwa kupitia CHADEMA kama ilivyo utaratibu.
Mengine sikiziza mwenyewe. Hakika Tundu Lissu ni mwongo na anadhamira mbaya na nchi yetu ili kuwafurahisha mabeberu wake. Chukua hatua na akili kichwani. Achana na Tundu Lissu.

Mbona malalamiko ya Lissu hayaja sikilizwa au hata tu kusema wamepokea malalamiko mara tatu hawasemi!. Tanzania bado sana masikini nchi yangu sijui lini tutapata uhuru wetu na usawa
 
Ukiona mtu anatetea ushoga jambo ambalo hata mnyama hawezi kulifanya tambua huyo ni zaidi ya shetani.
 
Anayeropoka ni huyu aliye sema leo ataoa mke wa pili Zanzibar’s!! Sijui a nadhani shida za wazanzibar ni wanawake zao kuolewa kama wake wa pili???
We chizi kweli, alianza kutania Mwinyi ana wake wawili ndipo akatania na hilo

Basi ikiwa imekukera peleka malalamiko kamati ya maadili NEC
 
Mbona malalamiko ya Lissu hayaja sikilizwa au hata tu kusema wamepokea malalamiko mara tatu hawasemi!. Tanzania bado sana masikini nchi yangu sijui lini tutapata uhuru wetu na usawa

Uhuru gani mnautaka wakati sisi tuna uhuru toka 1961. Kama mnataka uhuru wa kupumuliana kisogoni kama sera zenu mtasubiri sana au hamieni huko huko kwa watetezi wenu
 
We chizi kweli, alianza kutania Mwinyi ana wake wawili ndipo akatania na hilo

Basi ikiwa imekukera peleka malalamiko kamati ya maadili NEC
Hapana , hajanikera ila nimefurahi tu wazanzibar walivyokuwa wanaondoka uwanjani wakati anahutubia
 
Mechi imekuwa ngumu mno. Huyu mchezaji anasumbua hakuna mfano. Anachanbua defence haijapata kutokea.View attachment 1589303
Hamna kitu hapo hiyo ni chenga twawala lakini hakuna kulenga goli wala kufunga huamini tulutane sanduku la kura. Toka lini ubwabwa ukawa mboga ya ubwabwa.
 
Hapana , hajanikera ila nimefurahi tu wazanzibar walivyokuwa wanaondoka uwanjani wakati anahutubia

Jifariji nabisubiri sanduku likimiminika kura za kijani. Mtaisoma tu namba mapema sana
 
Sheria inasemaje??? Tuanzie hapo kwanza!!!

Malalamiko anapelekewa mgombea au Chama??? Yeye ni mahakama hadi atafsiri sheria??? Kama sheria inasema malalamiko apelekewe mgombea inabidi apelekewe mgombea na wala si Chama!!!

Pili mara ya kwanza alisema Walipeleka malalamiko kwa katibu akawajibu wampelekee mgombea, Kwa nini hawakufanya???

Tatu wanasema kamati ya maadili sio tume alafu video yao inaaanza na Nembo ya Tume ya uchaguzi!! Mbona wanajichanganya????
Mbona majukwaani anatafsiri sana tu?
 
Wana hangaika nini tena na yeye !?.Si walisha mlima Ban sasa mbona kelele zinazidi.Tume mna jukumu Kisheria kutoa Elimu kwa mpiga kura ,lakini nyie kutwa kuchwa kuhangaika na Lissu tu na kuyaacha Majukumu yenu ya Msingi.

Wewe huoni hilo domo lake linatema uchochezi na kuhamasisha utekaji na kuchoma ofisi za chama chao. Domo lake linahamasisha ugaidi kisha lenyewe likimbilie kwa mabwana zake
 
Back
Top Bottom