Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Rwanda nzovwe ndio pale Edward Lowasa memorial stadium?
 
Subiri. Weka kwanza Corona pembeni. Tunataka kieleweke kwanza halafu tutapambana na Korona baadaye.
 
Tulia anahitajika Mbeya na nani ?
Jiwe mwenyewe hahitajiki ije kuwa huyo Tulia aliyeingizwa bungeni kwa mlango wa nyuma. Asisahau kuwataja wazee wa goli la mkono waliopitisha ubunge wa viti maalum bila kupingwa ili waende Zanzibar kusaidia kuiba kura kama walivyofanya 2015 kwenye chumba chao masaki .
 
Lissu hali ya hewa inamwendea vizuri sana.
 
Anauliza ana dhambi gani?? Hazijui?
 
ASNTE KWA TAARIFA MURUA. endelea kutuhabarisha safari za Rais TAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…