Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Nimepishana na msafala wake maeneo ya Mwanjelwa, huyu jamaa amepata mapokezi makubwa sana. Ingekuwa mikoa yote wameamka kama hawa Mbeya, kwa maoni yangu kusingekuwa na chama kinaitwa CCM madarakani.
asante kwa ushuhuda
 
Naomba link ya kuangalia mkutano live.
 
Asimame atubu kwanza kwa madhambi yote aliyofanya kwa waTz na nchi yao na MUNGU wetu muumba.
 
Mbeya mjini inawapiga kura zaidi ya laki moja, hapo kuna wastani Wa watu 15 elfu. Ingawa sijaona picha ya drone.

Wapo wapiga kura laki moja siwaoni hapo. Ngoja tusubiri Tulia naye tutathimini
 
Mbeya mjini inawapiga kura zaidi ya laki moja, hapo kuna wastani Wa watu 15 elfu. Ingawa sijaona picha ya drone.

Wapo wapiga kura laki moja siwaoni hapo. Ngoja tusubiri Tulia naye tutathimini
Kwani ni wakati wa kupiga kura?
 
Mbeya mjini inawapiga kura zaidi ya laki moja, hapo kuna wastani Wa watu 15 elfu. Ingawa sijaona picha ya drone.

Wapo wapiga kura laki moja siwaoni hapo. Ngoja tusubiri Tulia naye tutathimini
Huwezi kulaumiwa, matumaini yanaongeza maisha!! Hapo ukizingatia na dawa, mwaka utaumaliza na mchakato wa transition of power utauona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…