Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

hiyo live iko wapi ? chadema kwa usanii hamjambo
 
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi inakombolewa .

Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Mgombea wa Chadema anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais wa Tanzania Mh Lissu atakuwepo Viwanja vya Ruanda Nzovwe , ambapo atazindua kampeni za kanda hiyo , lakini kubwa zaidi ni kuwataja hadharani viongozi wote wanaohujumu uchaguzi huu na ahadi walizopewa na hata hela walizolipwa .

View attachment 1559139

UPDATES
========

View attachment 1559436

Video : Mapokezi yake mazito yasababisha barabara kuanza kupata nyufa , jionee mwenyeweView attachment 1559596View attachment 1559597View attachment 1559598View attachment 1559599View attachment 1559600
mkuu, huyo mtu wenu mnayemwita Tumaini Makene ni hovyoo kabisa.
yaani bado nusu saa mkutano kufika mwisho watu tuna hamu kumsikiliza na kumtazama Lissu akihutubia lakini hakuna livestream link yoyote kweli? kweli? this is serious sana aisee!!
 
nakala CHADEMA
 
Back
Top Bottom