Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Tupe tupe mambo kamanda, usisahau kutupa picha hasa hasa za mabakuli, machalii wa Chuga wakiwa wanaibiwa mchana kweupe 🀣
 
Picha zinakuja kutoka wapi bwashee?!
 
Tatizo mnaleta thread kwa mbwembwe baadaye. Mnaumbuka kwa muitikio hafifu..
Atleast ungesapoti uzi wako kwa hao watu wanapenda kwenye huo uwanja
Fuatilia nyuzi zinazotoka Arusha leo hapahapa kuna chama kinaTUMIWA UJUMBE
 
Kama kuna Tamasha limeandaliwa hii hujuma kwa CCM maana wamewakusanya watu ili LISSU akifika iwe rahisi kwao kukimnilia kwenye tukio.

Waliofanya hivi wachunguzwe.
 
Nyuzi za kujifariji tushazizowea,ila ukweli wa.mambo watanzania tunaujua.
 
Kama kuna Tamasha limeandaliwa hii hujuma kwa CCM maana wamewakusanya watu ili LISSU akifika iwe rahisi kwao kukimnilia kwenye tukio.

Waliofanya hivi wachunguzwe.
Ukishaingia uwanjani amna kutoka
 
Unamaanisha kamanda Lissu kapanda ndege πŸ™„πŸ™„πŸ™„ ????
Si anatuambia ndege za JPM na miundombinu haina msaada, iwaje tena awe wa kwanza kuitumia ?🀣
Kamanda tuma picha Lissu akiwa ndani ya bombardier ya JPM.🀣
 
Chadema wanadhani mkusanyiko ndio Kura haya mpk sasa mnakura ngapi?
 
Unamaanisha kamanda Lissu kapanda ndege πŸ™„πŸ™„πŸ™„ ????
Si anatuambia ndege za JPM na miundombinu haina msaada, iwaje tena awe wa kwanza kuitumia ?🀣
Kamanda tuma picha Lissu akiwa ndani ya bombardier ya JPM.🀣
Chopa
 
Mpaka muwakusanye wakae pamoja kisha mrushe?
Onyesha hata hao kidogo wanao miminika?
 
Tutashukuru ukitupia picha humu kuhusu mapokezi ya 'mpendwa' wetu na 'mkombozi' wetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…