Tuliambiwa msafara unaenda kuitikisa gogo l mboto jana lakini mpaka sasa hatujaona hata picha ya kutikisa hata buatulia bwashee wenzako wanatapatapa na katamasha kao kuna Sunami inatokea KIA inakuja KUFAGIA
stay tuned hapahapa
Umeanza lini hii imani yako mpya?Tutashukuru ukitupia picha humu kuhusu mapokezi ya 'mpendwa' wetu na 'mkombozi' wetu...
wenzako wapo hapa na kitamasha uchwara wanatukusanya watu kwenda kumwona MKOMBOZITuliambiwa msafara unaenda kuitikisa gogo l mboto jana lakini mpaka sasa hatujaona hata picha ya kutikisa hata bua
Uvccm acheni maigizo bavichaHiyo ndo Arusha watu wanamiminika kama sisimizi katika viwanja vya NMC Relini na wengine wameenda kumlaki Mkombozi Mwanasheria Nguli Barani Afrika TL huko KIA
lile tamasha uchwara watu wamelipuuza wanasema ni mambo ya kitoto kwanini waliandae leo? Wanasema hawana shida ya kuwatazama wasanii shida yao ni matatizo ya maisha yanayowakabili kama uchumi, ajira nk
Picha zinakuja stay tuned hapahapa
Karibu sana MkuuNipo hapa, ninamuunga mkono Tundu A Lissu.
Tutashukuru ukitupia picha humu kuhusu mapokezi ya 'mpendwa' wetu na 'mkombozi' wetu...
Wenye wivu wajinyonge.Tundu Lissu ndiyo habari ya mjini
Sins uhakika kama CCM wanao washauri wa agenda za Wananchi, muziki kweli?Jinsi maisha yalivyokuwa magumu mnatuletea wasanii?Ila haishangazi maana inaonekana hata CCM Mpya ni ya kisanii sanii zaidi kulikoni uhalisia wa maisha ya watu.Hiyo ndo Arusha watu wanamiminika kama sisimizi katika viwanja vya NMC Relini na wengine wameenda kumlaki Mkombozi Mwanasheria Nguli Barani Afrika TL huko KIA
lile tamasha uchwara watu wamelipuuza wanasema ni mambo ya kitoto kwanini waliandae leo? Wanasema hawana shida ya kuwatazama wasanii shida yao ni matatizo ya maisha yanayowakabili kama uchumi, ajira nk
Picha zinakuja stay tuned hapahapa
Tuliambiwa msafara unaenda kuitikisa gogo l mboto jana lakini mpaka sasa hatujaona hata picha ya kutikisa hata bua
Bombardier ndo ndege ya kwanza kuwepo Tz? Kwani kabla ya Bombardier hakukua na ndege?"Mpendwa na mkombozi wetu" amepanda bombardier halafu akifika NMC kwenye mkutano ataropoka hataki maendeleo ya miundombinu, yeye anataka watu wale pesa tu kwa warsha, mikutano na safari za nje zisizo na umuhimu.
PR wa CDM mmezubaa sana, tupieni picha basi za "Rais" wetu Lissu[emoji1787]
Sisi hatubebi watu kwenye mafuso ,ma bus,wala hatufanyi matamasha ya wasanii mtu anatembea kwa mguu wake analipa nauli yake kiroho safi kwenda kusikiliza sera kama wakina diamond tunawaona kila siku wajinga ndio waliwaoooTatizo mnaleta thread kwa mbwembwe baadaye. Mnaumbuka kwa muitikio hafifu..
Atleast ungesapoti uzi wako kwa hao watu wanapenda kwenye huo uwanja
Shukrani sana Mkuu kunawatu wanakitamasha uchwara hapa WANATUKUSANYIA WATU mafuriko ya TL yanakwenda kuwasombaMkuu agiza mchemsho nakuja kulipa
Hata kanisani mabakuli yanapitishwa. Wapitishe tu tutachangaMwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?
unatoroka kibanda chako cha mpesa halafu mwisho wa mwezi unaanza kulia lia kwa TRA.Leo nitakuwepo mapema tu, nishatoroka kazini muda
Sisi hatubebi watu kwenye mafuso ,ma bus,wala hatufanyi matamasha ya wasanii mtu anatembea kwa mguu wake analipa nauli yake kiroho safi kwenda kusikiliza sera kama wakina diamond tunawaona kila siku wajinga ndio waliwaooo
swaa dakta MKUUSisi hatubebi watu kwenye mafuso ,ma bus,wala hatufanyi matamasha ya wasanii mtu anatembea kwa mguu wake analipa nauli yake kiroho safi kwenda kusikiliza sera kama wakina diamond tunawaona kila siku wajinga ndio waliwaooo
Huyo crechebado ananuka maziwa ya mama
mgombea wa upande wa pili ndio mgonjwa wa vinena vya akina Angel na Jorka wa Kisarawe.....mnajitekenya wenyewe!hamna hata kapicha tutajuaje labda uko juu ya kinena