Abuu Ibraahiym Sibomana
Senior Member
- Jun 1, 2025
- 130
- 143
Wewe mbona hujatekwa?! Au ndio umepotelea huku jamii forums ndugu zako wanakutafuta hawajui kuwa umepotelea jf na kuandika utumbo?!Mgogoro tayari upo ndo maana ya hizi reactions.
Jamii yenye watu wanaotekwa na kupotea kama sindano ipoteavyo kwenye majani, ni jamii iliyo kati mgogoro wa hatari.
Hii ni passive resistance, ni nzuri sana, shime kwa madhehebu mengine yafuate njia hii.
Ili taasisi ya kidini ifanye shughuli zake nchi yoyote lazima iwe imesajiliwa na serikali.Walipofungia makanisa ya Gwajiboy haukuona kama walikuwa wanatengeneza mgogoro wa kidini? Are you so blind that you couldn't see that?
Hivi vitu unavyoona ni repercussions za yafanywayo na dola, unavoidable aftermath.
Huyu kardinali Rugambwa wa Tabora pia kazingua au kazinguliwa?!hawawezi kucheza na fire ila samia alidharau kanisa katoliki yaani kuwapa mabendera masister alizingua sana daah
Je huyu kardinali Rugambwa wa Tabora pia kanunuliwa?!Resistance iongozwe na Nani ikiwa taasisi za kiraia zimenunuliwa?
Vyama vyote vimenunuliwa? Jwtz na TISS +police vimenunuliwa?
Bunge, mahakama vimenunuliwa na mashehe na wachungaji wamenunuliwa?!
Chadema hawawezi kuendesha resistance hata Kongo imeokolewa kutoka kwa muhuni kabila kupitia Catholic.
Hakuna Cha udini kwenye kupigania mabadiliko
Mama Samia ndiye Amiri jeshi mkuu!Na maandamano hamshiriki? Uchaguz hata msiposhiriki haina shida samia atashinda tu
Wakatoliki wengi watashiriki uchaguzi!Kina nani?
Si wengine pia sio wakatoliki na hatutashiriki😃
Kumbuka hiyo warsha mnayoita kongamano imeandaliwa na kanisa katoliki jimbo la DSM na inawahusu wakatoliki wa Dar.Kanisa limefanya la maana, tunaliomba kanisa liwe mlinzi wa haki za raia, maana taasisi zote zilizobaki zinatumika kwa maslahi ya kisiasa ya watu wachache.
Kwahiyo Dr Mpango, Innocent Bashungwa, Amos Makala, Dr Tulia Akson na Paul Makonda sio wakatoliki?!Mkatolic wa wapi anaesupotigi lichama la wauaji aisee .
Mkuu hebu kwa pamoja tuseme kimeumana 🤣🤣
Kwahiyo Dr Mpango, Innocent Bashungwa, Amos Makala, Dr Tulia Akson na Paul Makonda sio wakatoliki?!
Kwahiyo Dr Mpango, Innocent Bashungwa, Amos Makala, Dr Tulia Akson na Paul Makonda nao ni mamluki ?! sio wakatoliki?!Mkatoriki ndio nini? Wewe ni mamluki sio Mkatoliki.
Pia tangazo linasema ni WARSHA sio KONGAMANO!Fake kongamano litakuwa Novemba na wala si Octoba.
Bora tukashiriki ibada ya Mungu kuliko uwendawazimu wa Samia
Tangazo linasema watafanya "WARSHA" na sio "KONGAMANO" Kongamano na warsha ni vitu viwili tafauti sana.Kwenye makongamano huwa kuna maandamano, huo ni mtego maana 29/10 ni uchaguzi alafu pia ni maandamano ya amani kudai haki na utawala bora kwa wote sio familia za viongozi.
Wewe unatumia nini?!Unatumia VPN au?
Korea sio koleaKuna mda naonaga bora kuzaliwa sehemu kama kolea china haya mambo hayapo dini au dhehebu lipo kama genge fulani la watu ambao wapo kwa maslahi yao binafsi
Tangazo linasema watafanya "WARSHA" na sio "KONGAMANO" Kongamano na warsha ni vitu viwili tafauti sana.
Tumsifu Yesu kristo 🤝Wow parokia yangu Mama
Unaandika vitu usivyo jua.Mimi mkatoriki lakin sikubaliana na haya mambo DR silaa alifukuzwa upadre kisa kushiriki mambo ya siasa how now waonwana fanya siasa
ik