PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sawa sawa. Wacha tuendelee kuwaelimisha. Wakikataa kuelimika shauri yao! 🙏🙏🙏🙏
 
Kuna document(s) umetoa huo mtiririko au ni maoni yako? Kama ni maoni yako, basi nitayaheshimu bila kujali kama uko sawa ama la!
 
Kwani TEC imeanza jana dogo? Matamko yake ni zaidi ya milioni. Lipi liliishawahi kuitikisa Serikali? Nipe Moja tu!
Hatuwezi kubeza nguvu ya matamko kutoka taasisi kama hizo kwa nchi kama zetu zinazoishi kwa nguvu ya wahisani.

Hauwezi jua litapokelewaje huko kwa wale tunaowaambia tumeifungua nchi.
 
Hatuwezi kubeza nguvu ya matamko kutoka taasisi kama hizo kwa nchi kama zetu zinazoishi kwa nguvu ya wahisani.

Hauwezi jua litapokelewaje huko kwa wale tunaowaambia tumeifungua nchi.
Duh! Kiukweli kabisa, wewe sitakiwi kukujibu.
 
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Vipi kila Kanisa lina TEC yake?
 
Tulia kijana jila jambo Lina wakati CCM ni Cham kama TLP na CUF na Chauma mambo ya kuganda vyombo vya ulinzi na Usalama Kuna kipindi vitachoka
 

Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Hata mimi nina shaka na tume ya uchaguzi yaani unachaguliwa kiongozi

Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende ama jamii ya Bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unawza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Jamii ambayo ukiiambia unaweza kununua ibora na mpox wakakuamini na kukushangilia
 
Tulia kijana CCM ni chama kama vilivyo vyama vingine Kama TLP na NCCR mageuzi Chauma ACT na vingine siku vyombo vya Ulinzi na Usalama vikipata Viongozi wanaojitambua wakajua kwamba hii nchi ilikuepo kabla ya CCM na itaendelea kuepo hata CCM hisipokuepo ndo utakua mwisho wa CCM
 
Samia kachangia kujenga kanisa imekuaje Tena....😂
Hata kama kachanga amechanga kwa mapenzi yake hakulazimishwa na hilo halimzuii kupigwa spanner kama alitoa akidhani watanyamaza na kumsifia aende akachange kwenye makanisa ya mabati huko ndiko mbulula hushangilia kila kitu bila kufikiria.
 
Upeo wako ni mdogo sana? Usiweke vitu usivyoelewa vinafanyikaje?
 
Afrika kusini alikuwa akihoji ni Desmond Tutu alikufa kwa alibu akiwa mzima aligundulika kuwa alikuwa kazaa nje na pia kuwa alikuwa shoga

Alijiuzulu vyeo vya uaskofu

Alikufa kifo cha aibu
Lakini dhambi au mapungufu yake haya zui kukemea mapungufu ya katiba na ya sirikali.
 
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Au ulimaanisha Catholic ya kina chief prophet
 
Narudia. Hakuna Jimbo la Kanisa Katoliki linawajibika kwa Jimbo jengine. Na hakuna Askofu wa Jimbo la Katoliki anawajibika kwa Askofu mwingine zaidi ya Vatican.
Nasubiri challenge.
Unachojaribu hapa kuweka mfano ni RC wa sehemu moja dhidi ya RC mwingine.

Kuna baadhi ya mambo huwa chini ya askofu wa jimbo husika, lkn bado kuna baraza la maasko chini ya chombo chake TEC. Hapa ndipo hutolewa msimamo mzima. Pia sio kila jambo linaamuliwa chini ya askofu wa jimbo.
 
Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…