We mpuuzi jibu hoja hiyo, acha vitisho uchwaraHawa wako na Agenda ya kuvuluga amani hivyo si vibaya kujibiwa kwa hoja au waingizwe kwenye mtego wakiingia kwenye mfumo ni mwendo wa kula vichwa.
Rita inaweza kuwa chambo ili huko mbeleni akili ziwakae vyema. Wanaacha kuzishibisha nyoyo za waumini imani na kudandia uwanja usio wahusu.
CCM hawa watu wa dini kitendo cha kuwasomba kwenye kila vikao kwa minajili ya kuleta mshikamano kinawapa jeuri hivyo tunaweza achana na huo mfumo ili wajikite na msingi wa usajili wa taasisi zao. Tuwatumie wahusika kwa kila kikao au tukio.
TUNAPENDA KUONA NCHI INAPIGA HATUA LAKINI SI KWA UVAMIZI HUU KWA KOFIA ZA DINI.
Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Mola gani anasikiliza mtu anayempuuza kwa kufanyia ULAGHAI, wa wazi wazi wengine? Acheni dhihaka, tunataka mifumo huru ya uchaguzi ili kura zetu ziwe na thamani.Mama Samia tulia na omba sana kwa Mola wako, wamekupania kweli kweli hao jamaa. Uliwahi kusikia swali kama hilo likihojiwa na hao jamaa wakati wa JPM au Mkapa?!!!! Jibu lipo wazi......
Tume ya uchaguzi wakati wa Magufuli muundo na upatikanaji wake ulikuwa mbaya kuliko sasa mbona hawakusema hayo maneno? Pengo kila mara ilikuwa ni kumsifu Magu, hao ni wabaguzi, ni wadini, wana roho za kishetani walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda. Km wanaona siasa inalipa wavue majoho waingie ulingoni. Majinga tu hayo. Kila Rais akiwa muislam wanakuwaga walalamishi, wapotoshaji, wachokonozi, washindwe na walegee hao wapuuzi
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
We pimbi hapa siyo Rwanda walikosababisha mauaji ya halaiki, hawafanikiwa mission zao hao wapuuzi wako. Wao ni kina nani mpk uwadunishe KKKT? Acha ushabiki wa kipumbavu we mfuasi wa Roma. Hakuna kitu wanaweza kufanya hao wanafki wabaguzi.Hilo sio KKKT. Get your facts right. Msidhani watu wote wataendelea kufumbia macho chaguzi za kipuuzi ili ccm wakae madarakani kwa shuruti.
Huna ht haya kuitolea DRC mfano? RC hawajawahi kufanya la maana zaidi ya kugawa wananchi na kuiharibu nchi. Mashetani tu hao, DRC imegawanyika ndio msaada waliotoa?Kama ilivyokuwa DRC Viongozi wa Dini wawe mstari wa mbele kupigania mfumo wa HAKI wa Uchaguzi, huu mfumo wa sasa ni wa Zuluma tupu.
Huu mfumo kautengeneze nyumbani kwako Tume yetu ni huru. Kwenu nyie nyumbu uhuru wa tume huoneshwa na nyie kushinda?Mola gani anasikiliza mtu anayempuuza kwa kufanyia ULAGHAI, wa wazi wazi wengine? Acheni dhihaka, tunataka mifumo huru ya uchaguzi ili kura zetu ziwe na thamani.
Haki ndo msingi mkuu wa Amani, viongozi wa dini walishike hili wakati wote
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Mpuuzi mamako we mbwa koko, hilo li mchaga lilihamishaga chuo cha ualimu kutoka Mbulu na kuipeleka kwao Kibosho akiwa askofu wa jimbo katoliki Mbulu. Hakuna binadamu mbaguzi km huyo mkibosho aitwaye Ruwaichi. Huyo mpumbavu atakufa na huo ubaguzi wake na roho mbaya bila kufanikisha ushetani wake huo. Kinachomwasha Samia kuwa Rais. Anajikweza sana hajawahi kuhudhuria mkutano wa Rais hapo Dsm kwa chuki zake za kidini. Samia Rais mpaka 2030, huyo nyau ni level ya RC
Miaka yote kanisa halikuona kuwa Tume inachaguliwa na Raisi?Mungu libariki kanisa Katoliki
Mpango huyu atakuwa sio Yule mwenyewe, huyu atakuwa mpango wa sisiemu sio Dr wa Uchumi
Kwa hiyo unataka kusema kupata viongozi bila kufuata Haki ndio ungependa iwe hivyo , ukiachana na hayo maneno ya Kanisa au huyo AskofuHuyo Askofu anaongelea demokrasia yeye hapo alipo kafika hicho cheo alikipata kidemokrasia? Aachie waliofikia hivyo vyeo kidemokrasia waingee
Hayo mambo ya kanuni ya imani bakini nayo huko makanisani kwenu
Muwaambie kabisa hao maaskofu wenu kama mchakato wa wao kufika walipo kuwa maaskifu haukuwa wa kidemokrasia waache ufarisayo kujifanya wao ni walimu wa demokrasia ?
Kila Askofu kabla kutoa ajitathimini yeye hapo alipo ni zao la demokrasia?
Alichaguliwa kidemokrasia? Kabla ya kujipa mandate ya kuongelea demokrasia
Vinginevyo ni ufarisayo mtupu
Mpuuzi mamako we mbwa koko, hilo li mchaga lilihamishaga chuo cha ualimu kutoka Mbulu na kuipeleka kwao Kibosho akiwa askofu wa jimbo katoliki Mbulu. Hakuna binadamu mbaguzi km huyo mkibosho aitwaye Ruwaichi. Huyo mpumbavu atakufa na huo ubaguzi wake na roho mbaya bila kufanikisha ushetani wake huo. Kinachomwasha Samia kuwa Rais. Anajikweza sana hajawahi kuhudhuria mkutano wa Rais hapo Dsm kwa chuki zake za kidini. Samia Rais mpaka 2030, huyo nyau ni level ya RC
Kukubali ushenzi kufanyika kwenye chaguzi na kukaa kimya ndio kutengeneza umoja?Huna ht haya kuitolea DRC mfano? RC hawajawahi kufanya la maana zaidi ya kugawa wananchi na kuiharibu nchi. Mashetani tu hao, DRC imegawanyika ndio msaada waliotoa?
Imesilimu kwani ilikuwa mkristo?Tume hii ni ileile isipokuwa imesilimu na kujiita tume huru! Ni ile iliyopewa sharti la kutomtangaza wa upinzani kuwa mshindi na amri ile haijaondolewa.
Itangazwe tu kwamba Mufti ni adui wa haki nchini.
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Mimi ni Mkatoliki.Siyo sahihi kusema kila jimbo linajitegemea kimaamuzi.Maamuzi mazito ya kanisa huamriwa na mamlaka zilizoko Vatican,makao makuu ya kanisa kutangazwa na Papa.Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?