Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo
The Bible says: "MPUMBAVU amesema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu."

Yaani anakupa PUMZI Bure na unaitumia kumtukana!!!

Anyway, Wachawi, washirikina, waovu na waabudu sanamu Wana mungu wao aliye na KITI Cha enzi kuzimu.

Ninakuombea USIFE kabla ya kukutana na Mungu Yesu akuokoe.

Amen
 
Hizo ni hadithi tu za kipumbavu zilizoandikwa na watu wa kale ila Mungu hayupo. Usifungwe na ngonjera za kipumbavu zilizoandikwa huko nyuma
 
Hao manabii wa uongo uliowataja hawana tofauti na wale masheikh wanaouza majini ya kuwasaidia watu kupata wateja ktk biashara. Au kuuza dawa za mitishamba kujiagua.

Bt wapo manabii wa Kweli mf ni Mwakasege, nk nk.

Yesu ndiye KRISTO messiah. Ukristo ni mfumo ambao umebadili matakwa ya Yesu alipokuja duniani.

Waliomuua YESU, baada ya kuona hawawezi kuzuia habari zake na INJILI kuenea, wakiamua kuanzisha hizo DINI wakaingiza mambo Yao.

Wameingiza TRINITY ktk dini zao, wakati hakuna kitu kama hicho.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Hizo ni hadithi tu za kipumbavu zilizoandikwa na watu wa kale ila Mungu hayupo. Usifungwe na ngonjera za kipumbavu zilizoandikwa huko nyuma
Mimi Mungu anaishi ndani yangu, naongea naye daily, anaongoza njia yangu, waezaje Sema ni HADITHI?

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Ameen
 
Kwani kutumia dawa za mitishamba ni vibaya mkuu vipi kabla ya hispitali akina yesu na wenzie walikua wanatumia dawa zipi au ni maombi tu?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndio umesema nini kama mungu hajaumba ukristo kwanini utake watu wawe wakristo?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hizi imani za kuja na meli ni za kutiliwa shaka kabisa, wanasahau hata ya sodoma na gomora kweli? Wataifundisha nini jamii kuhusu kilichosababisha Mungu akauadhibu ulimwengu. Natambua uwepo wa Mungu lakini hii RC sasa ni too much wamezidi au ndio biashara wameona upepo wa dunia umegeukia kwenye ushoga wanaona watapoteza nguvu wasiposapoti ushoga?
Sasa kwaresma yanini kama mambo ndio haya? 😬
 
Kwani kutumia dawa za mitishamba ni vibaya mkuu vipi kabla ya hispitali akina yesu na wenzie walikua wanatumia dawa zipi au ni maombi tu?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dawa za miti shamba hazina tatizo.

Tatizo linapokuja Kwa mchimba dawa anapooteshwa au kusikia sauti na kupokea maelekezo ya mashetani na mizimu juu ya aina ya miti au mizizi achimbayo.

Tatizo ni pale mizizi na mitishamba inapoambatishwa na spirits za kichawi na ramli. Ramli zote huambatana na mitishamba na dawa za asili.

Bt dawa km dawa mf mti au majani ya mpera kutumika kutibu tumbo Haina shd.
 
Wait a minute! Hivi Nawale wanaofanya mapenzi na sabuni au mafuta au matango niwapenzi wajinsi moja au wajinsia ngapi.? Mimi huwa nashindwa kuwacategorize...
 
Hehehe napenda namna maustadh mnafuatilia kila hoja inayohusu ushoga, ukizingatia ushoga ulivyoshamiri maeneo yenu ya lani huko na pemba.....
Hata hivyo hii haijazidi tukio la yule mwarabu wenu mnayemuabudu aliyekua anagegeda katoto
 
Waislamu ni wanafiki sana wakimaliza kukemea ushoga humu mitandaoni wanaenda kufir@n@ faraghani!
 
Watu wapo bize wanatetea reputation ya Katoliki badala ya Neno la Mungu.

Tubuni
 
Mods wapuuzi nyie mnaunganisha Uzi wangu ambao ulikuwa umefikia kurasa ya 9 na Uzi Mpya? Hivi mkoje siku hizi nyie?
Saisi napunguza au naacha kabisa kuanzisha Nyuzi naona nawafaidisha Kwa bando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…