Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Ndio maana haya mambo ya bwana awe nanyi niliachana nayo huu mwaka wa 14 nasonga mbele.
 
Yesu utamfahamu vipi kama sio mkiristo?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uarabuni au china ukristo au kusoma BIBLIA ni MARUFUKU bt wapo wanao AMINI ktk YESU, Unadhani walimfahamuje?

Saul hakuwa mkristo bt Alitokewa na YESU mwenyewe na akaongozwa Kwa watumishi.

Mungu ndo Huwa anawatafuta watu hata kabla ya watu kumtafuta Mungu.
 
Uarabuni wapi huko mkuu kwani hakuna waarabu wakristo?

Kama mungu ndio anawatafuta watu kwanini nawewe usiache mungu mwenyewe awatafute hao watu anao wataka
 
Unaongeleaje maneno ya papa kuhusu ushoga?
Papa ni mwanadamu na amezaliwa kwenye kanda ambayo imejaa takataka ya kila uchafu hivyo yeye kuwa na mtazamo wa self defence ya maeneo ya kwao haihalalishi kuwa ule kuwa ule mtazamo wake ni halali kwa watu wa familia ya Mungu(Mwanzo1:26-29)
 
Unaunga mkono sheria ya mzinzi au mwizi, auawe?

Nani ataishi kama tukitaka kufanya hivyo?
 
Tunaenda Ujerumani kote huko wakati hapa kwetu tu Zanzibar yapo ya kutosha. Tunakuwa wanafiki, kwamba tunawashangaa Wajerumani wakati Visiwani wapo weusi wanayafanya na hatushangai
Sema wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hapo bado hayo mambo hayajaruhusiwa; nadhani yakiruhusiwa watu watakuwa wakiyafanya barabarani...sio tena kwenye magari kama yule Jamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jambo gumu ni kwamba still upande dhaifu bado watu wanatengana kabisa.

Unakumbuka Makonda alipopigwa ban kisa hizo ishu baada ya kuanza kufuatilia wanaojihusisha na kusema atadili..Basi hapa bongo wapo walikuwa wanamkandia
Serikali enyewe ilmkanaa wazi wazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozii, badala mpigane kutoka ktk umaskini, ndipo muanze kupinga ushoga,

Ngoja mnyimwe mikopo na misaada ndo akili itawakaa sawaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozii, badala mpigane kutoka ktk umaskini, ndipo muanze kupinga ushoga,

Ngoja mnyimwe mikopo na misaada ndo akili itawakaa sawaa.
Tulia basi mjukuu kha!

Ngoja tuwaone Uganda kwanza. Wakitoboa na sisi tunakiwasha...

Mama kaamua kuusoma mchezo kwanza maana likely kuna tumikopo huko anasubiria...Ingekuwa Mzee Magu angekuwa keshajiripua tayari liwalo na liwe!

Caution is the way to go sometimes. Jambo hili si la kukurupukia tu....hata sasa watu wanapiga makelele mtandaoni humu lakini mashoga si mpo tena openly kabisa hamjifichi. Kama kweli wako serious, si wawakamate?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu usinichekesheee huyu Magu si ndo alimkana makonda wazi wazi??

Mu7 anacheza na akili za wana nchi wake, Africa mashariki hakuna nchi itakayopinga na kukataa ushoga, viongozi wana wanafikia raia wao tyuuh.

Imagine Kagame na umafia wote huu kaufyata kwa suala LA ushoga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msukuma mwenzio Magu hakua na ubavuu wowote na hata angekuwepo asingefanya lolote. Ona hapa chini msimamo wa serikali yake kuhusu ushoga.

Nachekaaa mbavu cnaa.uwiiiiiii
 
Haya bana.

Mashoga tambeni tu bana.

Mmeikamata dunia yote maana ndiyo wenye pesa. Sisi Waafrika na umasikini wetu huu ngoja tuone itakavyokuwa.

Ila jambo moja nikukubalie kuhusu Museveni. Anajua amechokwa na wananchi sana na hii ishu ya ushoga imempa mahali pa kupumulia ili kusaka political legitimacy. Aonekane kuwa ni mzee mwenye nguvu anayepambana kuilinda Uganda kimaadili lakini kiukweli analinda maslahi yake ya kisiasa. Vipi ikiwa vipi ampishe mwanawe kiulaini!

Labda wamwonee huruma wasije wakaigeuza Uganda kuwa Zimbabwe nyingine au wakiona mbwai na iwe mbwai wanaweza hata kum-Gaddafi au kum-Magufuli.
 
Nasi waafrika tunakosa misimamo eti tutanyimwa misaada.

Tukikubali ujinga huo huko mbele nini tutakataa?

Siku ninakosali wakileta hiyo habari sijui tunawakosea LGBTQ sijui nini, najianzishia kanisa la mtu mmoja.

Tuna madhambi ndiyo, lakini hayo mambo hata yakifutwa katika orodha za dhambi bado akili inagoma.

This is too much!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuu nimechekaa hadi tumbo linaumaa, kweli kuweni tyuuh wapoleeee.
 
Ukishajua kuwa MUNGU hana dini pia yeye ni upendo huwezi kujisumbua kuangaika na haya Mambo.

Maana ukizifuatilia hizi dini zote kuanzia viongozi wao kuja kwa waumini wao pamoja na jinsi zinavyo operate utajua kabisa there is something wrong because all system is corrupt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…