Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Haya makanisa makubwa ya ulaya na amerika kama yanafungisha ndoa za mashoga yasiburuze makanisa ya afrika kufanya uchafu huo. Bora makanisa ya afrika yajitenge nao, yabaki na msimamo wa biblia kuhusu ulawiti/ufiraji kama ilivyoandikwa
Roman Catholic, Lutheran, Anglican ni makanisa ya ulaya magharibi Afrika hawana haki yoyote zaidi ya kufuata tu order toka makao makuu.

Kama hawataki order warudi kwenye dini zao za kale au waanzishe mafundisho yao.
 
Ndio maana kanisa Anglikan Uganda limeamua kujitenga na kanisa kuu la Canterbury la uingereza kwa ajili ya mambo kama haya
Nini maana ya kanisa la Anglican?

Isije ikawa wanaji danganya wenyewe.
 
Unalenga kusema nini mkuu!?..mi nimefikisha tu habari
Wewe jamaa habari ndio huwa zinafikishwa namna hiyo.

Tukuaminije, mtu umeshiba zako ukaja kuandika humu, leta uthibitisho(reference) wa habari yako
 
Siaa habari ndio huwa zinafikishwa namna hiyo.

Tukuaminije, mtu umeshiba zako ukaja kuandika humu, leta uthibitisho(reference) wa habari yako
Si nimeweka hapo DW mzee
 
Wala hata usingetumia muda wako kumjibu.
Ungemuacha aendelee kujadili anachokipenda
 
Haya makanisa makubwa ya ulaya na amerika kama yanafungisha ndoa za mashoga yasiburuze makanisa ya afrika kufanya uchafu huo. Bora makanisa ya afrika yajitenge nao, yabaki na msimamo wa biblia kuhusu ulawiti/ufiraji kama ilivyoandikwa
Yaan Africa wawe na msimamo wa dini kuliko wenye dini yao??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Roman Catholic inapigwa vita na wayahudi,walokole,kkkt,wasabato,waislam,nk lakini bado kanisa lipo imara !.kweli nguvu ya Mungu ipo Roman Catholic.
Alafu wao hawana muda wa kuanza kupiga vita dini zingine.

Kama wanavyo itwa "waovu na mashetani" hao wakatoliki ingekuwa kauli hiyo ni kweli basi nilitegemea waweke nguvu kubwa sana kuwapinga hao watu wa Mungu(walokole, wasabato, waislamu n.k) lakini saivi wakatoliki hawana shida na mtu zaidi ya kutaka upendo na kupatana na kila mtu.
 
Hapo ndipo panaposhangaza anayeitwa shetani ukiangalia matendo yake ni mema kuliko anayemuita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…