Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Iwekwe wazi bila kufichwafichwa kwa hofu ya uchochezi.

Hao wahalifu si wakristo, mkristo hawawezi kuingia kanisa lolote na kuharibu vilivyomo humo.

Pia hao si wapani, hao wahalifu itakuwa ni wale masheitwaan maana wao huwa hawana hofu kuingia nyumba za ibada za wengine na kufanya uharibifu
Mbona povu kama Mama mjane aliyedhulumiwa mali za urithi wa marehemu mumewe?
 
Usikute ni mapadre walipageuza kuwa uwanja wa masumbwi.

Mi siwaamini kabisa mapadre wa kikatoliki. Wamekuwa walevi, wazinzi na wanyang'anyi.

Kuna paroko mmoja anafanya biashara ya pombe ni mlevi mbwa na anatembea na wake za watu.
Huyo padri yupo mkoa gani na parokia ipi?
 
Iwekwe wazi bila kufichwafichwa kwa hofu ya uchochezi.

Hao wahalifu si wakristo, mkristo hawawezi kuingia kanisa lolote na kuharibu vilivyomo humo.

Pia hao si wapani, hao wahalifu itakuwa ni wale masheitwaan maana wao huwa hawana hofu kuingia nyumba za ibada za wengine na kufanya uharibifu
Kaka kuna padri alikutwa amekufa kwenye tanki la maji kanisani unajua imeishaje? Na yule wa kule mbeya je?
 
Logic inasema waliofanya hayo ni waislam.Ngoja tusubiri uchunguzi yatathibitika na nitakukumbusha

Inawezekana , labda ni wakristo wamesilimu baada ya kupata elimu ya kuwaonyesha ukweli ,walikasirishwa kwa kutapeliwa muda mrefu wakaona njia ya kulipiza ni kulifanyia uhuni kanisa
 
Usikute ni mapadre walipageuza kuwa uwanja wa masumbwi.

Mi siwaamini kabisa mapadre wa kikatoliki. Wamekuwa walevi, wazinzi na wanyang'anyi.

Kuna paroko mmoja anafanya biashara ya pombe ni mlevi mbwa na anatembea na wake za watu.
hili nalo linawezekana asilimia mia moja. Wale watumishi hawana maadili kama wanavyotuaminisha tuamini ni watumishi wa Mungu.

Kuna paroko mmoja ilibidi nimvae mzimamzima baada ya kuanza kunikemea kiholela nilipoazimwa ngazi na mlinzi wa kanisa, wakati ngazi ilikuwa inatumika kwa wapangaji wao wa fremu. Ile nairudisha nikakutana na huyo paroko akaanza kunipakia maneno makali bila kujali kwa wadhifa wake hapaswi kutamka maneno yale kwa mshirika wake au kwa yeyote yule.

Mimi si mkatoliki lakini nilizaliwa kwenye ukatoliki, hivyo naujua ukatoliki vizuri. Ilibidi nimpe somo huyo paroko bila kujali heshima yake. Mpaka sasa huyo paroko ana nidhamu kubwa na mimi na amekuwa rafiki yangu.
 
IMG_20230226_200253.jpg

Hivi hapa ni kichwa kimenyanyuka au imekuwaje hilo sanamu?
 
Back
Top Bottom