Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hao wanataka kutuchonganisha tu ...wanajifanya vitendo vya kikatiliLazima tu watakuwa jamii ya kina adriz na Accumen Mo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanataka kutuchonganisha tu ...wanajifanya vitendo vya kikatiliLazima tu watakuwa jamii ya kina adriz na Accumen Mo
Hata mimi hilo nimegundua,Kama awamu ya nne wale uwamshoHizi chokochoko huwa zinatokea kila tunapokuwa na rais mwislamu, sijajua sababu
Kwani kuna Binadamu ambao wao wataishi milele?Wahusika watakufa wote ni muda tu.
Mbona povu kama Mama mjane aliyedhulumiwa mali za urithi wa marehemu mumewe?Iwekwe wazi bila kufichwafichwa kwa hofu ya uchochezi.
Hao wahalifu si wakristo, mkristo hawawezi kuingia kanisa lolote na kuharibu vilivyomo humo.
Pia hao si wapani, hao wahalifu itakuwa ni wale masheitwaan maana wao huwa hawana hofu kuingia nyumba za ibada za wengine na kufanya uharibifu
Huyo padri yupo mkoa gani na parokia ipi?Usikute ni mapadre walipageuza kuwa uwanja wa masumbwi.
Mi siwaamini kabisa mapadre wa kikatoliki. Wamekuwa walevi, wazinzi na wanyang'anyi.
Kuna paroko mmoja anafanya biashara ya pombe ni mlevi mbwa na anatembea na wake za watu.
Wale walioua mapadri ni wakina nani? Jitazameni vizuri humo ndaniItakua siasa kali za ki al shabab.
Unadhani hata wasingehusika na hilo tukio wangebaki hai?Wahusika watakufa wote ni muda tu.
Kama unajua kua muda ndio utasema,kitu gani kilikuwasha na kuanza kutuhumu imani zingine? Tumia akili japo kidogo tu na uache kukurupuka hovyo kama chafya.Muda utasema.
Kweli RC wapole, ndiomaana mapadri wanakutwa wamekufa kwenye matenki ya majiWatu walioenda shule wana reasoning kabla ya kufanya maamuzi.
Ni rahisi kudhania ni wapole.
Kaka kuna padri alikutwa amekufa kwenye tanki la maji kanisani unajua imeishaje? Na yule wa kule mbeya je?Iwekwe wazi bila kufichwafichwa kwa hofu ya uchochezi.
Hao wahalifu si wakristo, mkristo hawawezi kuingia kanisa lolote na kuharibu vilivyomo humo.
Pia hao si wapani, hao wahalifu itakuwa ni wale masheitwaan maana wao huwa hawana hofu kuingia nyumba za ibada za wengine na kufanya uharibifu
Logic inasema waliofanya hayo ni waislam.Ngoja tusubiri uchunguzi yatathibitika na nitakukumbusha
Kemeeni hizi mbambamba si sawa kabisa.Kila mtu awe huru kuabudu anachotaka.Unawashwa?
hili nalo linawezekana asilimia mia moja. Wale watumishi hawana maadili kama wanavyotuaminisha tuamini ni watumishi wa Mungu.Usikute ni mapadre walipageuza kuwa uwanja wa masumbwi.
Mi siwaamini kabisa mapadre wa kikatoliki. Wamekuwa walevi, wazinzi na wanyang'anyi.
Kuna paroko mmoja anafanya biashara ya pombe ni mlevi mbwa na anatembea na wake za watu.
Wewe mpuuzi kwani hilo tukio umelichunguza lini mpaka kujua watuhumiwa ni watu wa aina gani? Hivi akili mmeziweka kwenye mfuko wa shati?Kemeeni hizi mbambamba si sawa kabisa.Kila mtu awe huru kuabudu anachotaka.
Wote ni ubaya anafanyiwa binadamu na mali zakeMnaibiwa viatu si kuvunjiwa maspika na mimbali na majeneza
Jifunze kuvumilia dhana na maoni ya wenzio.Tofauti na hapo tusi linadhihirisha kitu ndani yenu ambacho ni asili yenu na wewe unakipinga kwa maneno matamu.Wewe mpuuzi kwani hilo tukio umelichunguza lini mpaka kujua watuhumiwa ni watu wa aina gani? Hivi akili mmeziweka kwenye mfuko wa shati?