Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Hahahahahaha Asante, naona pointi imezama kabisa kunako.😁😁 sasa mjinga kama wewe nikujibu nini?
Huo u RC wenyewe hata ungeroga ukoo na kijiji chenu chote huwezi pata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha Asante, naona pointi imezama kabisa kunako.😁😁 sasa mjinga kama wewe nikujibu nini?
Huo u RC wenyewe hata ungeroga ukoo na kijiji chenu chote huwezi pata
Zebra crossing hawasimami, red light hawasimami, kuchomekea hovyo hovyo. Ni kero tu hao.Bajaji wamejitakia haya wenyewe jamaa sio wastaarabu kabisa hawazingatii alama za barabarani wanalenga kabisa wapita kwa miguu hawawapishi.
Tabia mbaya sana hiyo.
Hahahaaaa mi nipo Kasulu mkuu huku hamna marufuku.Ingia ndo utajua mipaka[emoji1787][emoji1787]
Vipi machinga?Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.