Hautoweza kuwafahamu na hata ukitajiwa hautaweza kusadiki kwakuwa tu hawana fedha ambayo ingewasaidia watambulike.Name one person ambaye you think ana hekima ambaye ni poor
Hekima ni nin tuanzie hapo...Ingekuwa Mungu anawauliza vijana wa leo wachague kati ya Hekima na Fedha unadhani wangechagua kipi?
View attachment 2057925
Mfalme Sulemani akiongoza kikao cha Baraza la Wakeze. Taswira kwa hisani ya google.
Cliff Wyn ameandika hivi:Ni maneno ya kufarijiana ukweli ni kamba pesa ina hitaji discipline ya hali ya juu kama huwezi kua nayo pesa utazisikia kwa majirani
Mada inakuambia chagua moja kati ya pesa na hekima. Sulemani aliambiwa achague moja akachagua hekima ndipo Mungu akamzawadia mali kama motivation.Mimi maombi Yangu kwa Mungu hua Ni mafupi tu.
Mungu endelea kunipatia njia za kupata pesa nifungulie milango Zaid.Nijalie hekima na busara .
Kweli kabisa mkuu,Nyerere hajaleta Uhuru
Kuna mtazamo mitaani kuwa walevi (as general term) e.g. wa madaraka, wa mapenzi, wa pombe, wa ufisadi, watovu wa maadili na wengine wanaofanana na hao ndiyo pesa huwapenda na kuwafuata maana wananukia maovu, lakini mamajusi wenye hekima pesa zinawatoroka kwasababu wananuka utakatifu. Eti hao hao waovu ndiyo watoaji wazuri japo kwa staili ya kutaka kusifiwa. Nini maoni yako?Hekima ni nin tuanzie hapo...
Je ni akil..ufaham wa mambo..IQ
Perhaps hekima ya enz hzo ilimaanisha haya...sio hekima kama hekima
Well..kama hekima ilimaanisha the above..bas hata mim nitachagua hekima
Sabab hata nikipewa 1bilion kama sina the above..itapukutika in two years na ntarud square 1
Kwahiyo akina Nyerere, Mandela, Nkrumah, Kaunda, Machel, Olympio, Sankara, Nasser, Sadaat, Tubman, Netto, Banana, Masire, Obote, Haile Marian, wasingefaa kuwa viongozi leo kwasababu wana hekima bila pesa?Kiukwekeli sina pesa, nina tuhekima kidogo (kwa mujibu wa watu) na ndio huto hunipatia pesa
View attachment 2058326
Pesa zina utamu gani sehemu kama Somalia, Afghanistan, Libya, Syria, Yemen??????????????????Kwa sasa, wenye HEKIMA Hujificha kwa HOFU na kuwaacha wenye FEDHA waamue Mustakabali wa Familia, Ukoo ama TAIFA.
Na je, kitakachokuja kutuliza nchi hizo ni pesa au hekima?Pesa zina utamu gani sehemu kama Somalia, Afghanistan, Libya, Syria, Yemen??????????????????
Hama kama una pesa kweli hakishindikani kitu,Kuna nchi nyingi zenye uhuru na amaniPesa zina utamu gani sehemu kama Somalia, Afghanistan, Libya, Syria, Yemen??????????????????
Sahihi kabisa[emoji2]Suleiman hakuwa majalala! Hilo la kwanza kabisa[emoji28]...
Sikuhizi bila hela utaishia kukoka kuni jikoni na hekima zako!
Hayo ni maandishi tu je kwenye realty unaweza miliki pesa ndefu kwa mda mrefu bila hekima?Cliff Wyn ameandika hivi:
Kwa sasa, wenye HEKIMA Hujificha kwa HOFU na kuwaacha wenye FEDHA waamue Mustakabali wa Familia, Ukoo ama TAIFA
Mkuu,Ni vyema hekima ikaja kwenye umri at least miaka 0 hadi 12 umri unaobakia tengeneza pesa acha longo longo
Donald Trump alitangulia kutengeneza ela kwanza lakini hekima zikagoma kumuijia akiwa na ela.Hela kwanza,
Ukiwa na hela, hekima zinakuna Zenyewe[emoji2]
Mtu kwao lakini ukumbuke!Hama kama una pesa kweli hakishindikani kitu,Kuna nchi nyingi zenye uhuru na amani