Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

Mkuu nimekuwa nikifuatilia mada zako kusema kweli wewe ni kichwa na mada zako ni konk sana, bahati mbaya tu wewe ni muumini wa siasa za mwendazake.
 
Sisi tulienda almost 2 times
Ok, mi kuna ndugu yangu sijaenda kwake miaka 2 sasa nikienda ujue kuna dili maalumu,linalonilazimisha niende,na yeye kwangu hajawahi kuja kabisa, ana vipesa,hivyo anajisikia sana.
Halafu maisha ya sasa upendo umepungua sana sio kama maisha ya zamani.
Saivi kila mtu anapambana na hali yake.kukutana msibani tu.sherehe zenyewe watu wa ignore.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wapo busy wanaitafuta shilingi mzee baba
 
[emoji107]
 
Pole! Ukianza familia yako ujaribu kuwa karibu na ndugu, ukianza na uliyezaliwa naye na wa mwenza wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…