Aisee nilikuambia matusi hayana nafasi hapa ni Hoja TU mpaka ukimbie.Sikiliza ulivyokuwa mjinga na fala sio unajua zipo hadihi sahili na masimulizi ya ovyo Kama unayoleta nitajie wale waimam wakuu then uje na huo ujinga wako
FalaNi sawa na Mimi niseme Yesu alikuwa na Mikono minne...uniulizie ushahidi, nikuambie kasome biblia.
Uniulizie ukasome biblia kitabu kipi au page Gani.
Nikuambie ..kaisome biblia yote.
Acha kuruka ruka mzee...umesema mtume alipinga utumwa...weka ushahidi..Hiyo Bukhari nimeanza kuisoma kabla hujazaliwa
Lete hoja anaangalia ya kwanza katafute icho kitabuAisee nilikuambia matusi hayana nafasi hapa ni Hoja TU mpaka ukimbie.
Unaanza kuleta stori za maimam Tena hapa? Maimam waliozaliwa juzi TU na kukuta stori zote za uislam zimeandikwa na watu kama kina Bukhari,Al Tabari,Ibn Ishaq??
Embu kwanza kasome hiyo Al Tabari ndo urudi hapa.
Hicho kitabu ninacho hardcopy yake kabisa...sasa niambie wapi kwenye hicho kitabu mtume amezuia biashara ya utumwa.Nimekupa kitabu Hapo juu umeenda kufuata au
Eti hujazaliwa hata wajinga Wanazeeka kama mjinga usisemwe ukubwa wako huko kwa unao walisha sio mmNi sawa na Mimi niseme Yesu alikuwa na Mikono minne...uniulizie ushahidi, nikuambie kasome biblia.
Uniulizie ukasome biblia kitabu kipi au page Gani.
Nikuambie ..kaisome biblia yote.
Acha kuruka ruka mzee...umesema mtume alipinga utumwa...weka ushahidi..Hiyo Bukhari nimeanza kuisoma kabla hujazaliwa
😅😅😅Jamani moja ya mafundisho yake sio hayo alisema sasa we unataka upewe nn tena na umeona Kuna alama ya funga na fungua semi kwa maneno yake au shule hukwenda?Hicho kitabu ninacho hardcopy yake kabisa...sasa niambie wapi kwenye hicho kitabu mtume amezuia biashara ya utumwa.
Maana hikohiko kitabu kinaonesha mtume alishiriki hii biashara.
Sasa wewe naomba unitajie hicho kitabu ni page ipi au chapter ipi inapinga utumwa??
Mbona mtihani niliokupa ni mrahisi sana??
Ama kweli njia ya muongo Huwa fupi sana.
Hicho kitabu ninacho hardcopy yake kabisa...sasa niambie wapi kwenye hicho kitabu mtume amezuia biashara ya utumwa.
Maana hikohiko kitabu kinaonesha mtume alishiriki hii biashara.
Sasa wewe naomba unitajie hicho kitabu ni page ipi au chapter ipi inapinga utumwa??
Mbona mtihani niliokupa ni mrahisi sana??
Ama kweli njia ya muongo Huwa fupi sana.
Kuna wahindi na waarabu Huwa wananishangaza sana wapo tayar kufuturusha watu kujionyesha kwenye jamii...Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu.
Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu ni kweli huwa mara moja moja nakula kitimoto.
Sipendi unafiki sababu namjua mzee hali kitimoto ila huwa naye ana issues zake. Anawakamua sana mabinti. Hanywi pombe lakini mtu ambaye akikusomea mistari flani unaweza ondoka hivi hivi. Mtu wa Dini sana.
Mimi nimefanikiwa kufanya kazi na Wazungu wawili tofauti na waarabu rafiki zake Mzee kama watatu na Mhindi mmoja. Kiukweli ktik hao wote wazungu makafir ndiyo ambao walikuwa wananiheshimu na wanalipa vizuri.
Wale waarabu wangu sababu ya mzee tu walikuwa wananionea aibu lakini kwa wafanyakazi wengine walikuwa wananyanyaswa sana. Hasa ambao si Waislamu. Walinyanyasika sana. Na hawa waliajiriwa tu kwa kuwa hakukuwa na wenzetu wenye uwezo wao.
Mmoja huyu alikuwa wa Dubai angalau alikuwa na madhaifu yake lakini anajali somehow ukilinganisha na wenzie. Jamaa hawa ni wakatili muda pekee unaweza enjoy ni kipindi cha Ramadhan. Hapo walikuwa angalau wanatupa na tende tukale sabab zilikuwa zinaletwa nyingi sana.
Wazungu si malaika ila katika kazi walituheshimu sisi waswahili na kutulipa kwa wakati na likizo tuliambiwa ni lazima huku tukilipwa bila tatizo. Mhindi yeye ndo alikuwa anachukia sana likizo. Sana. Ingawa alikuwa ni swala tano. Alitunyanyasa kwenye malipo na kututafutia sababu ya kutuka mshahara.
Ila naye tunashukuru wakati wa mfungo alitupa tende,mchele na sukari. Ila mfungo ukiisha alikuwa na matusi kama kawaida mpaka siku nlipofungiana naye ndani. Nlifunga mlango ofisini nikamwambia sasa anieleze vizuri mama yangu alikuwa anafanya kazi katika kitengo gani pale kazini. Baada ya kuwa amemtaja kwa dhihaka.
Aliomba msamaha maana nlikuwa nmefunga mlango na nimemkaba nataka mtoa roho mbwa yule.akanilipa mishahara mitatu akasema asinione tena kwake. Na kwa kuwa mtakaba ulikuwa umeisha nikasema poa tu maana tungepeana kesi.
Mimi mkija hapa na imani za wenzenu (maana wazungu na waarabu ndo wana imani ninyi ni watumwa tu au mateka) nitawababua kishenzi mi huwa nazisoma Dini zote sasa leteni wazimu wenu muone
Akikujibu nshtue MkuuZanzibar,Mombasa na Lamu wamejaa watu gani?
Jamaa swala la upinde wa mvua ni ww peke yako umelikazania tena unawaambia watu wanaojaribu kuaddress hoja zao bila kuingilia utu wako,km unapush agenda weka namba yako watakaopendezwa na kinyeo chako wakitumieIla haihusiani na uilsamu kwa nn unahusianisha na uislamu mo ni binadamu ana tapeli ana dhulumu ila uislamu haufundishi ivyo !!! umenielewa we jamaa wa upinde wa mvua
We jamaa wa upinde wa mvuaJamaa swala la upinde wa mvua ni ww peke yako umelikazania tena unawaambia watu wanaojaribu kuaddress hoja zao bila kuingilia utu wako,km unapush agenda weka namba yako watakaopendezwa na kinyeo chako wakitumie
Nimefatilia conversation zako asee i can confirm wewe ni mpumbavu na haustahili kujibiwa na yeyote mwny hoja za maanaEti hujazaliwa hata wajinga Wanazeeka kama mjinga usisemwe ukubwa wako huko kwa unao walisha sio mm
Very sorry for you,ushamba umekuanza uzeeniWe jamaa wa upinde wa mvua
UnaeLewa kilichoandikwa au unatafsiri tu juu mfano mtumwa iliyotumika kama vile tunavyosema sisi ni servants wa mungu yaani mtumishi ndo ivyo anavyosema labda mchunganji ni kondoo wangu hana maana ya wanyama
Nakuja katika kuipa "ranson" nilikuja nikutolea mfano unamlipia mtumwa kutoka kwa mmiliki wake then unamwachi uhuru rejea kwa bilal
Kama mama ako alivyo mpumbavuNimefatilia conversation zako asee i can confirm wewe ni mpumbavu na haustahili kujibiwa na yeyote mwny hoja za maana
Mi sio mzee siwezi bishana na mtu anasapot ushogaVery sorry for you,ushamba umekuanza uzeeni
KwahyoUnaeLewa kilichoandikwa au unatafsiri tu juu mfano mtumwa iliyotumika kama vile tunavyosema sisi ni servants wa mungu yaani mtumishi ndo ivyo anavyosema labda mchunganji ni kondoo wangu hana maana ya wanyama
Nakuja katika kuipa "ranson" nilikuja nikutolea mfano unamlipia mtumwa kutoka kwa mmiliki wake then unamwachi uhuru rejea kwa bilal
Kingime izo biashara alizikuta na wengi wa watumwa walikuwa ni "captive" yaani mateka ya vita ilikuwa sio rahisi kabisa kuwaachia bila ya kulipa kitu kwa wamiliki ,
Rudia ukasome vizuri usiseme Aya za kutafuta
Katika biblia mungu kaitwa mpumbavu
Ukishuka utaona biblia imesapat utumwa
Rejea" Wakati mmiliki wa mtumwa anawapiga mtumwa au mwanamke mwenye fimbo na mtumwa hufa mara moja, mmiliki ataadhibiwa. Lakini ikiwa mtumwa anaishi siku moja au mbili, hakuna adhabu; kwa mtumwa ni mali ya mmiliki. ( Kutoka 21: 20-21). kama mmiliki atampiga mtumwa na hatokufa ndani ya siku mbili basi ni halali yeye kummiliki
Kwahyo hapa Hawa jamaa walikuwa wanataka wakabake Hawa watumwa..ila wakawa wanabishana maana walikuwa wanataka wakiwa wanabaka wasiwamwagie Kwa ndani ili wasiwape Mimba (coitus interruptus ni kuchomoa ukitaka kupiz) Maana ni ngumu kumuuza mtumwa mwenye mimba.UnaeLewa kilichoandikwa au unatafsiri tu juu mfano mtumwa iliyotumika kama vile tunavyosema sisi ni servants wa mungu yaani mtumishi ndo ivyo anavyosema labda mchunganji ni kondoo wangu hana maana ya wanyama
Nakuja katika kuipa "ranson" nilikuja nikutolea mfano unamlipia mtumwa kutoka kwa mmiliki wake then unamwachi uhuru rejea kwa bilal
Kingime izo biashara alizikuta na wengi wa watumwa walikuwa ni "captive" yaani mateka ya vita ilikuwa sio rahisi kabisa kuwaachia bila ya kulipa kitu kwa wamiliki ,
Rudia ukasome vizuri usiseme Aya za kutafuta
Katika biblia mungu kaitwa mpumbavu
Ukishuka utaona biblia imesapat utumwa
Rejea" Wakati mmiliki wa mtumwa anawapiga mtumwa au mwanamke mwenye fimbo na mtumwa hufa mara moja, mmiliki ataadhibiwa. Lakini ikiwa mtumwa anaishi siku moja au mbili, hakuna adhabu; kwa mtumwa ni mali ya mmiliki. ( Kutoka 21: 20-21). kama mmiliki atampiga mtumwa na hatokufa ndani ya siku mbili basi ni halali yeye kummiliki
Hakuna chochote kitakachotokea, ila kuhasi si vizuri sanaKwani ukiasi dini Nini kinatokea?? (Assuming haupo nchi za kiislam ambapo utauliwa)
Kwanini si vizuri?Hakuna chochote kitakachotokea, ila kuhasi si vizuri sana
Huyu dogo mtihani sana.Uliponiambia tu unakula kiti moto nimeishia hapo.
Huwa nawaona hamna akili watu nyinyi. Kwanini nasema haya ? Sababu mnafikiria kama wanyama au watoto wadogo.I wish hii siku ije..dini ni upuuzi kama upuuzi mingine tena kwa miafrika ndio imekuwa ujinga na uchizi ulopitiliza.
#MaendeleoHayanaChama