Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Mi nafuat uislamu sio waarabu ! Unachokosea ndo maana tunagombana kitu anfany mwarabu unaingiza uislamu.
Chief hatugombani bali tunapishana falsafa..pia tunajaribu kuziweka katika mzani.

Huwezi utenganisha uslamu na tamaduni za waarabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi huwa nawachana live nikiona anasemwa vibaya mwarabu,, kwao mwarabu ni mbaya ila mzungu kwao ni bora.
Wewe utakua warabu koko wa pemba...mana wao hujiona ni waarabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huu ujinga mwingine wa nyinyi watu. Nikikuuliza ushawahi kuthibitisha ukweli wa hili jambo ?

Nani alikwambia kama binadamu tuna zaidi ya miaka laki 2 unaweza kuthibitisha hili ?

Hiyo dini ya kwanza yenye miaka 7000 muanzilishi wake ni nani ? Ifikie hatua muwe mnaandika mambo kielimu.
 
unahitaji kujitoa sana akili kutetea kitu ambacho ni obvious.

Muhammad alikuwa na watumwa wakike kwa wakiume.


Kama unabisha nije na aya + hadithi hapa inayothibitisha hicho.
 
Mimi huwa nawachana live nikiona anasemwa vibaya mwarabu,, kwao mwarabu ni mbaya ila mzungu kwao ni bora.
Jf kuna watu wajinga sijapata kuona. Yaani unakuta vijana hawajui dini wanapayuka payuka tu. Hivi kuna bora kuzidi Uislamu ? Tukasema haya mambo tuyajadili kwa ukweli na insafu ? Dini imekuja kuwatoa watu katika unyama, leo anakuja mjinga anadai dini ni kansa ?
 
Huwa wanakuja na reinterpretation zao
 
Kuna unyama zaidi ya kuchinja watu kwa jina la Mungu ?
 
Leo umeanza kuongea sense..kiufupi hizi imani nitamaduni za watu..shida sisi waafrika tulizibeba kama zilivyo bila kujua hizo ni tamaduni zao.
Dini siyo utamaduni kijana, hili ondoa katika akili. Dini ingekuwa tamaduni soma historia, dini imezikataa sana tamaduni za watu ambao dini imekuwa kwao, na kuzikemea. Sasa haya mambo yanataka elimu na uadilifu, siyo kisa unaweza kuandika ukaandika tu.

Dini ingekuwa utamaduni, kusingekuwa na kukemea maovu wala utaratibu wa kuabudu na kulinda akilo za watu, nasaba, mali na mfano wa hayo.

Ukute wewe unashindwa hata kutofaufisha kati ya ada, mila, desturi na tamaduni.
 
Nakuja kukkujibu in full details coz naona hata shule zero kutafsiri hujui jinsi ya kuninterprent maandiko pole sana Tena sana nakuja kwa Aya zate kujitafsiri nikutoe ujinga
 
Kuna unyama zaidi ya kuchinja watu kwa jina la Mungu ?
Kwanza tujadili jambo hili kielimu, kisha ujibu maswali nitakayo kuuliza.

1.Unyama kwako wewe unaupima vipi ?

2. Huko kuchinjwa kwa mtu ni katika hali gani ? Fafanua hili kwana kisha tujadili.
 
unahitaji kujitoa sana akili kutetea kitu ambacho ni obvious.

Muhammad alikuwa na watumwa wakike kwa wakiume.


Kama unabisha nije na aya + hadithi hapa inayothibitisha hicho.
Nakuja kukuelimisha kama ulidrop shule huelwi context ya Aya husika
 
Soma Hadithi vizuri, nyinyi kwanini huwa mnapindisha maana ? Biblia imewaathiri sana na wale wakubwa zenu, hii laana naona inawatafuna sana. laana ya kubadili maneno na maana zake.
 
Punguza hasira..wewe unayeijua hiyo dini mbona upo nasi humu jf kwa sisi ambao hatuijui hiyo dini..punguza ulimbukeni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwenye Swala La malipo Wazungu wako Vizuri akikwambia Kesho Saa Mbili ni lazima iwe kweli wanaheshimu kazi Vizuri Njoo Kwa waarabu mnazungushana wewe ila mm kwenye pesaYangu nakuua
Ushaua wangapi?
 
Umenikumbusha mbali sana. Tulivyokuwa wadogo walikuwa wanakuja waarabu sijui walikuwa wanaeneza dini au la. Wanakaa msikitini hadi mwezi etc. Wale jamaa ustaarabu ziro kabisa, unafika jikoni unawakuta wanapika chapati zao bila hata mwenyeji kuwepo. Na ukisoma kwenye Quran kuna aya moja inasema usiingie nyumbani kwa mtu bila ruhusa. Sijui walikuwa wanafuata mafundisho gani
 
Kwanza tujadili jambo hili kielimu, kisha ujibu maswali nitakayo kuuliza.

1.Unyama kwako wewe unaupima vipi ?

2. Huko kuchinjwa kwa mtu ni katika hali gani ? Fafanua hili kwana kisha tujadili.
1. Mfano wa Unyama ni kumuua mwanadamu mwenzako kwa vile hamuabudu Mungu wako.

2. Kuna uhalali wowote wa kumuua mwenzako kisa hamuabudu mungu wako ?
 
Innailaihi wainnalilah rajiun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…