CCM hawakati wagombea wa upinzani. CCM au mtu mwingine ye yote wanaweza tu kumfungulia mapingamizi huko NEC au mahakamani kwa mjibu wa sheria za uchaguzi. Hivyo kuzunguka kwake majimboni hakuwezi kuzuia kuwekewa mapingamizi.Lissu anazunguka mikoani lengo sio kuomba kura ila ni kuondoa hio dhamira mbovu ya kumkata ambayo sisiemu wanafikiria.
Amefanya nini Cha maaana?Lissu ahangaike tu ila hana uwezo wa kuvaa viatu vya magufuli, Nyerere tu ndo anaviweza
Ni kweli, mambo yawe matatu (uchumi bora (inclusive development), uhuru wa kutosha (granted freedom), kazi bora (decent job)), na ni rahisi kukumbuka na kuyataja.Tatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.
Utachoongea ni sawa kabisa. Kuna wanasiasa wengi wa upinzani wanafanya siasa katika maeneo yao wala hitasikia bughudha yoyote.Upinzani imara unaifanya Serikali iliyoko madarakani kutokuwa lege lege ( By Mwalimu Nyerere).
Serikali iliyoko madarakani inafanya jambo jema sana kutokumbughudhi Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini.
Si lazima Tundu Lissu awe Rais wa Inchi ila muhimu ni yeye kuleta Uhai wa Demokrasia bila kuvunja upendo na Amani ya Inchi.
Misahafu Takatifu inasisitiza sana Amani na upendo kuliko utajiri .
Utajiri, madaraka nk. vyote vitapita lakini kiongozi anayedumisha amani na upendo jina lake halitapita kamwe..
Hata watu wako wakiwa maskini lakini wako huru na wana furaha ni bora kuliko kitu chochote.
Yesu Kristo aliweza kugeuza mikate 5 na Samaki wawili kutosha kuwalisha watu 5000 na kubaki vikapu 12.
Yesu Kristo hakuwahi kumiliki nyumba, shamba au mifugo. Hata yule punda aliyempanda wakati anaenda kuteswa hakuwa wa kwake. Sisi waumini tunajua alikoteswa na kuuwawa Yesu Kristo. Sisi waumini tunajua mahali alipozikwa Yesu Kristo.
Hadi Sasa Yesu Kristo anakumbukwa kuliko kitu chochote Duniani bila kujali imani ya mtu.
Tusitangulize sana ustawi wa uchumi ila amani,
upendo na uhuru.
Utachoongea ni sawa kabisa. Kuna wanasiasa wengi wa upinzani wanafanya siasa katika maeneo yao wala hitasikia bughudha yoyote.
Shida inakuja pale mwanasiasa kuamini kuwa kupitia platform ya siasa unaweza kuongea au kufanya lolote na usichukuliwe
Hakuna aliye juu ya sheria. Leo hii ukitaka kufanya maandamano lazima utoe taarifa na utahojiwa naandamano kwa lengo gani. Wanasiasa wa upinzani wanaamini kufuata sheria kwao ni kama utumwa. Wanataka uhuru usio na mipaka ambao matokeo yake ni vurugu.
Siasa za tundulisu zimejaa kauli za chuki na visasi. Katika mazingira hayo inatakiwa kwanza mumuambie yeye kwanza kabla hamjaziambia mamlaka.
Uhuru wa kushiriki uchumi we kilazaTatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.
Kisasi kwa ajili ya Nini? Tusaidie hapo kwanzaUtachoongea ni sawa kabisa. Kuna wanasiasa wengi wa upinzani wanafanya siasa katika maeneo yao wala hitasikia bughudha yoyote.
Shida inakuja pale mwanasiasa kuamini kuwa kupitia platform ya siasa unaweza kuongea au kufanya lolote na usichukuliwe
Hakuna aliye juu ya sheria. Leo hii ukitaka kufanya maandamano lazima utoe taarifa na utahojiwa naandamano kwa lengo gani. Wanasiasa wa upinzani wanaamini kufuata sheria kwao ni kama utumwa. Wanataka uhuru usio na mipaka ambao matokeo yake ni vurugu.
Siasa za tundulisu zimejaa kauli za chuki na visasi. Katika mazingira hayo inatakiwa kwanza mumuambie yeye kwanza kabla hamjaziambia mamlaka.
Kuna sehemu umesema kweli wanasiasa Kama Lyatonga Mrema,John Cheyo na Lipumba wanafanya siasa bila bugudha yoyoteUtachoongea ni sawa kabisa. Kuna wanasiasa wengi wa upinzani wanafanya siasa katika maeneo yao wala hitasikia bughudha yoyote.
Shida inakuja pale mwanasiasa kuamini kuwa kupitia platform ya siasa unaweza kuongea au kufanya lolote na usichukuliwe
Hakuna aliye juu ya sheria. Leo hii ukitaka kufanya maandamano lazima utoe taarifa na utahojiwa naandamano kwa lengo gani. Wanasiasa wa upinzani wanaamini kufuata sheria kwao ni kama utumwa. Wanataka uhuru usio na mipaka ambao matokeo yake ni vurugu.
Siasa za tundulisu zimejaa kauli za chuki na visasi. Katika mazingira hayo inatakiwa kwanza mumuambie yeye kwanza kabla hamjaziambia mamlaka.
Kazunguka kwa miaka mitano aliyokaa madarakani
You nailed mzee, hii comment yako I wish Lissu na chadema waione kwasababu mpaka Sasa lisu anatembelea nyota na si hoja swala la Uhuru kwa mwananchi was kawaida halimgusi hasa ukizingatia uelewa was watanzania wengi, natamani wajipange zaidi ki hoja hope ilani yao itatupa matumaini let's wait n see!!Tatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.
viatu vyake havina sole, hakuna anayevitama kuvivaaHakika Mungu aliyemuokoa na risasi 16 ana sababu kubwa na yeye
Siyo kuigharimu kidogo bali ni gharama kubwa hasa ukizingatia hoja yao ya kwanza ilikuwa gharama za kurusha matangazo,baadaye wakaja na hoja ya watu kufanya kazi na baadaye ili wapinzani wakose jukwaa la kupatia umaarufu.Hizi zote zimegeuka kuwa ni sababu za kubumba maana Mwenyekiti wao anatembea na kipaza sauti chake ambacho kimeunganishwa na tbc na kila anakoenda,anachofanya na anayowaza yote yanaenda Live On TV 24/7 kwa gharama kubwa kuliko Bunge Live,pia walipojibiwa kuwa vituo binafsi vipo tayari kurusha Bunge Live waligoma na baadaye kutunga sheria ya maudhui haraka sana.Kuhusu wapinzani kukosa sehemu ya kusemea na kupata umaarufu,walikosea sana waliposahau kuwa tunaishi katika Dunia ya Technological Error na media huru na Internet kupitia Simu Janja vipo kila mahali hadi kule Vijijini ambako walizoea kufikiri wanaishi wajinga(Kashfa na Matusi kwa Waajir wao) na Watanzania wanapata habari vizuri sana.Hii ya kutoonyesha Bunge mubashara kwa kiasi fulani itaigharimu CCM.
Tulioguswa tumeelewa na wengine watapewa kaliumbiu yao, kauli mbiu siyo msaafu inaweza kubadilika kulingana na mahitaji ya sehemu husikaYou nailed mzee, hii comment yako I wish Lissu na chadema waione kwasababu mpaka Sasa lisu anatembelea nyota na si hoja swala la Uhuru kwa mwananchi was kawaida halimgusi hasa ukizingatia uelewa was watanzania wengi, natamani wajipange zaidi ki hoja hope ilani yao itatupa matumaini let's wait n see!!
Nashukuru umenielewa kiutuuzima, Kama unaweza fikisha haya mawazo kwakua wengi tunataka Upinzani wenye content inayogusa uhalisia wa maisha. Maana sisi wengine ni watu tuna heshima zetu bana.Tulioguswa tumeelewa na wengine watapewa kaliumbiu yao, kauli mbiu siyo msaafu inaweza kubadilika kulingana na mahitaji ya sehemu husika
Hii Hali naifananisha na wakati ule Mfalme Suleiman na bwana mdogo Daudi wa yesse. Walipotoka vitani baada ya daudi kuyasambaratisha majeshi ya wafilisti kwa kumuua kwa kombeo na kumkata kichwa Goliath,Utadhani ni Yesu ameingia Yerusalem.
LosersUhuru na Kazi
usenge mtupu. hata kibaka akishikwa watu wanajaa kumwangaliaNani kama Tundu Lissu, cheki alivyovuta nyoyo za waTanzania kudai uhuru katika kazi zao za ukulima, uvuvi, ufugaji , biashara na haki ya mlipa-kodi kupata Uhuru ndani ya Maendeleo yake ktk kila kona ya nchi
GainersLosers
NADHANI HII NI KARATA AMBAYO INAZIDI KUWAPA USHINDI UPINZANIAHii ya kutoonyesha Bunge mubashara kwa kiasi fulani itaigharimu CCM.