Uchaguzi 2020 Kauli mbiu ya Uhuru na Kazi yampaisha Tundu Lissu

Mungu katupa zawadi kwa huyu mtu.

Watanzani zawadi hii jamani.

Yaani wasipomchagua huyo basi ntaamini kweli baadhi ya watanzania wanapenda kutawaliwa pia wameridhika maisha ya manyanyaso.
 
Haswaaaa,Kura ni zako Mwaka huuu.
 
freedomu izi comii tumoroo 😀
Uhuru na kazi😀
hadi 'kile chama' kitaomba poo🤣
 
Kwa kweli "Hapa Kazi Tu" ni umanamba-slavery.
 
LISSU ndio mteteze wa kweli wa watz
 
Kwa kweli hata mimi nahitaji uhuru , mtu anayenizuia hata kumwombea mtu aliyepigwa risasi 16 nitampaje kura yangu? Heri nilale njaa ila niwe huru.Siku zote wanadamu timamu wanausaka uhuru.Sitachoka kuusaka na kuupigania uhuru.
Safi kabisa. Uhuru ni mojawapo ya nguzo mhimu ya maisha ya binadamu. Tuliwaondoa wakoloni waliojenga barabara, reli, njia za stima, n.k. ili tuwe huru. Nchi zingine kama Musumbiji walimwaga damu wakisaka uhuru. Nasi tuupiganie na kuulinda uhuru wetu. Tufanye kazi tukiwa huru.
 
Chuki imesababishwa na wale waliotaka kumuua. Hata ingekuwa mimi siwezi kuhubiri amani wakti nyuma mmeficha mapanga
 
Kwan hujui kuwa hawakuwa huru kwa miaka mi5 iliyopita??

Nadhan sasa ni mda wao wapinzani kuonekana, kusikika na kuongea sana??

Hacha sie tunafurahia.
Ni yeye2020
Yaani kila baada ya nusu saa, Wana Sacco's wanaleta Uzi wakujipa matumaini wakati wanajua wazi hawapati zaidi ya kura milioni mbili, yaani wanavyo weweseka hadi raha
 
Kwa kweli hata mimi nahitaji uhuru , mtu anayenizuia hata kumwombea mtu aliyepigwa risasi 16 nitampaje kura yangu? Heri nilale njaa ila niwe huru.Siku zote wanadamu timamu wanausaka uhuru.Sitachoka kuusaka na kuupigania uhuru.
Huyu ,mhutu ni muoga sana atakimbilia burundi atakapochoka kuchoma ofisi na aone bado hatoboi! tulieni hakuna uchaguzi mhutu atarudi kwao¬
 
UHURU NA KAZI ndiyo habari ya mjini kwa sasa - wataelewa tu this time.
 
Kwan hujui kuwa hawakuwa huru kwa miaka mi5 iliyopita??

Nadhan sasa ni mda wao wapinzani kuonekana, kusikika na kuongea sana??

Hacha sie tunafurahia.
Ni yeye2020
Hawakuwa huru kwani walikuwa magerezani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…