Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Kawe pamezidi. Vijana wamekua wa hovyo sana. Mbali na kwamba kanali alikosa busar naomba usafi ufanyike. Pasafishike. Matukio mabaya na maovu mengi sana yanatendeka usiku kwa mchana
Nimeshakuja na Taarifa za Matukio mbalimbali Kuhusiana na eneo la Kawe hapa JamiiForums ila NIKAPUUZWA sasa ndiyo mtajua kuwa GENTAMYCINE ni Nabii Mtakatifu kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambaye MNAMDHARAU tu Kutwa.
 


lini nimekupiga mbona unanifokea kama mimi ni mwanajeshi.
 
Mimi pengine nawaza vibaya lakini nahisi gentamicin ni kibaka au maswahiba zake ni vibaka wahuni wahuni inakuaje matukio mengi ya wahuni vibaka wakabaji anayaripoti yeye kuna uwezekano anakua nao kwenye matukio Ila anawahi kuchomoka kuja kuripoti humu Nilikua naomba ikiwezekana wamkamate wamuhoji vizur
 
Mkuu yaani nimecheka mpaka basi!!!
 
Hahahaa yeye mwenyewe anajiita ni Mjeda kutoka Nchi jirani na kwamba ana akili sana
 
Mkuu Wewe waponze tu yawakute sawa?
 
Nimeshakuja na Taarifa za Matukio mbalimbali Kuhusiana na eneo la Kawe hapa JamiiForums ila NIKAPUUZWA sasa ndiyo mtajua kuwa GENTAMYCINE ni Nabii Mtakatifu kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambaye MNAMDHARAU tu Kutwa.
Mimi huwa nazingatia sana umeshatoa matukio ya uharifu na wakati mwingine huwa unatabiri kulingana na mienendo( indicators) unayoona.

Kwa kumbu kumbu zangu matukio mengi ume ripoti ya
1. mikocheni
2. Kawe( mengi zaidi)
3. Tegeta
4. Mbweni
5. ununio
6. Mwenge
7. Na yale ya Simba Sc. 😆😆
 
Raia mwenye akili timamu hawezi kuwa na mentality negative namna hiyo mkuu. Unatakiwa na wewe uelewe kitu kimoja otherwise na wewe utakuwa huna tofauti na hao raia wenye negative mentality


Kuna askari wenzio hutumia vyeo vyao vibaya kunyanyasa raia, haya matukio yapo na imani hata wewe umewahi yashuhudia. Mtu aliyepokonywa haki yake akawa na kinyongo unafikiri atawazaje kuhusu nyie?

Unatakiwa uwe mfano kwamba bana waliokudhulumu haki yako sio wote mimi sipo hivi na jeshini hatufundishwi tabia hiyo , ukikutana na raia mwelewa ni haraka sana anakuelewa . Shida ni wewe NAE kuanza kuvimba watu wanajua wote wale wale tu
 
Unatakiwa uwe mfano kwamba bana waliokudhulumu haki yako sio wote mimi sipo hivi na jeshini hatufundishwi tabia hiyo , ukikutana na raia mwelewa ni haraka sana anakuelewa . Shida ni wewe NAE kuanza kuvimba watu wanajua wote wale wale tu
Shida inakuja hapa, hakuna raia anaekubari kua tayari kupokea maelezo haya kwamba km ulisumbuana na Askari fulani hainamaana Askari wote ni wa kusumbuana nao, raia hawalielewi hilo raia wanataka kuvimba na wao waonekane kwamba wao pia ni zaidi ya Askari, hio sio sahihi
 
Unatakiwa uwe mfano kwamba bana waliokudhulumu haki yako sio wote mimi sipo hivi na jeshini hatufundishwi tabia hiyo , ukikutana na raia mwelewa ni haraka sana anakuelewa . Shida ni wewe NAE kuanza kuvimba watu wanajua wote wale wale tu
Pointi
 
Shida sio hekima shida ni chuki, I'm telling you I know what I'm telling you raia punguzeni chuki na Jeshi lenu,
Nadhani hilo sio tatizo, tatizo ni personal ego ambayo askari wanayo, wanadhani wapo above the law, so mara nyingi hata wakikosea huwa wanaona hawajakosea na raia wakikosea wanakuwa wamekosea, no body would stab a cop for no reason especially kama anajua yule ni askari, me nadhani the development of this story has some missing pieces.. Wakuu tupendane tu, zaman kwa Tanzania askari tu ndio walikuwa wanatembea na bunduki lakin sikuiz watu kibao wanazo na hawaogopi kuzitumia…
 
iyo self defence lazima imponze ogopa sana mtu nikiwa nimejiandaa nikakutafuta neutral ground nitakumaliza kwa ufupi kaka poti/mjeda/soja TUHESHIMIANE
 
Hivi unadhani kanali hakua na mawazo Kama yako, kua dogo kajichanganya,ngoja nimnyooshe awe na adabu, matokeo yake yeye yupo mochwari?
Kuwa makini, mkuu.
 
madogo wadaa akili ndogo sana.
mtu unaweza kuuwa lakini kutoroka huwezi sasa kwanini unaua Kama kutoroka unashindwa?sibora uwe kondoo tuu.

hio nikesi ndogo sana Kama angekuwa naakili zakiume.

alipofanya hilotukio alitakiwa ndani ya masaa matatu ashafika njia yamkata huko.angeishi vizuri tuu mtaani.

lakini maskini yamungu dogo hana hili wala lile ameishia kukamatwa dah.
 

kama ni kweli basi Kanali anadhihirisha ujinga wa askari wengi wa kiafrika.
Nguvu nyingi kuliko akili.

Tunapaswa kuheshimiana bila kujali vyeo, kadri unavyokuwa mkubwa unapaswa kujiheshimu sana na kuepuka shari.

Mpaka hapo katika busara za kawaida Kanali hana akili amebakisha cheo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…