GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #261
Nimeshakuja na Taarifa za Matukio mbalimbali Kuhusiana na eneo la Kawe hapa JamiiForums ila NIKAPUUZWA sasa ndiyo mtajua kuwa GENTAMYCINE ni Nabii Mtakatifu kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambaye MNAMDHARAU tu Kutwa.Kawe pamezidi. Vijana wamekua wa hovyo sana. Mbali na kwamba kanali alikosa busar naomba usafi ufanyike. Pasafishike. Matukio mabaya na maovu mengi sana yanatendeka usiku kwa mchana