Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Siyo kwa kiongozi tu bali mtu yeyote anayezaa nje ya ndoa hana akili timamu zilizosalimika.Ndio maana huwa nasema Lulu ana akili na heshima kuliko wengi. Kuzaa nje ya ndoa kwa kiongozi ni laana. Narudia ni laana. Kashindwa nini kufunga ndoa na kuweka wazi ndoa yake. Atawaambia ni iwanafunzi wetu na vijana kimaadili. Mama Samia teua mtu mwingine bana huyo NEI NEI BABHUCHE.
Hiyo unaiona kwenye kubeba mimba tu!??We kweli changudoa yaani DC ni mwakilishi wa Rais directly. Kubeba mimba bila ndoa ni image mbaya kwa Taifa taahira Wewe. Au Na wewe mlala chaliii
Wewe una hasira nae sana inaonekana kabeba mimba ya bwanakoMkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Ujumbe ni kuwa "Wahuni sio watu"Mkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Duniani hakuana jambo binafsi kila kitu chako kina maslahi na watu wengine. Sembuse mimba na afya ya kiongonzi ambaye kula, kulala, kuvaa na gari na kila kitu chake isipokuwa oxygen vinagharamiwa na mlipa kodi?Mimba yake inakuhusu nn ww fuata uchapa kazi wake basi maswala ya mahusiano ya mtu ni kuingilia mambo binafsi ya mtu...
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
We kweli changudoa yaani DC ni mwakilishi wa Rais directly. Kubeba mimba bila ndoa ni image mbaya kwa Taifa taahira Wewe. Au Na wewe mlala chaliii
Kama hajapatikana wa kumhitaji kumwoa afanyeje na muda unaenda na anahitaji kupata watoto watakao msaidia baadae ?Mkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Wajinga nyie, wanaoiba mabilioni sio wachafu ila binti alieamua kubeba mimba kwa ridhaa yake na uwezo wa kutunza anao mnamuona fala?Two wrongs don’t make right . Alichifanya kinaondoa hadhi ya uongozi hakuna kama una mahaba hapa Haya apply. Hatutaki Viongozi wachafu wasio mfano wa maadili.!
Kwa taarifa yako kuna register ya ndoa zote z tanzania hii. Mpaka dakika 10 zilizopita jina lake halipo. Na kwenye orodha ya watu waliobadili majina hayupo. So hana ndoa, anazaa mtoto haramu. Kwa kiongonzi jambo hili lina defeat moral integrity na dhana mzima ya mfano kwa unaowaongoza. Kama dc anabeba mimba ya guest maisha yanaendelea inakuwaje kwa mabinti wengine?Umejuaje kama hajaolewa?. Punguza maneno ya kimbea yasiyo na uhakika.
Kama hakuna mwanaume aliyemwomba kufunga ndoa naye, wewe unataka azeeke na kufa bila mtoto hali uzazi anao ?Kwa taarifa yako kuna register ya ndoa zote z tanzania hii. Mpaka dakika 10 zilizopita jina lake halipo. Na kwenye orodha ya watu waliobadili majina hayupo. So hana ndoa, anazaa mtoto haramu. Kwa kiongonzi jambo hili lina defeat moral integrity na dhana mzima ya mfano kwa unaowaongoza. Kama dc anabeba mimba ya guest maisha yanaendelea inakuwaje kwa mabinti wengine?
Mbona nasikia Vunjabei ndio baba mtarajiwa?Kama hakuna mwanaume aliyemwomba kufunga ndoa naye, wewe unataka azeeke na kufa bila mtoto hali uzazi anao ?
Hayo mambo ya Haramu ni kwenye mila zako binafsi huko.
Ulimtogoza kutaka kumwoa akakukatalia ?
Huu ni Uzembe au uoga wa Vijana wa kiume wa Tanzania. Inakuwaje mtoto mzuri kama huyo mwenye akili, kazi na juhudi ya kazi mnamwangalia tu.
Alimpenda Alikiba akamtelekeza, Vunjabei Naye akaonesha Nia akaingia mitini.
Unataka awabake wanaume ?
Eti mtoto wa haramu, unamwambiaje Binadamu mwenzako ni mwanaharamu kama una akili timamu ?
Babu yako alifunga ndoa wapi hadi akamzaa Babu yako?
Kwahiyo wewe ni Mwanaharamu ?
Wacha kuonesha ujinga wako hapa
halaa...!
Wale wale wapenda magazeti ya udaku. Ulishawahi kuwa na rais ambaye watoto wake hawajulikani kama ni wa kwake kweli.Kwa taarifa yako kuna register ya ndoa zote z tanzania hii. Mpaka dakika 10 zilizopita jina lake halipo. Na kwenye orodha ya watu waliobadili majina hayupo. So hana ndoa, anazaa mtoto haramu. Kwa kiongonzi jambo hili lina defeat moral integrity na dhana mzima ya mfano kwa unaowaongoza. Kama dc anabeba mimba ya guest maisha yanaendelea inakuwaje kwa mabinti wengine?
Yeye jokate ana nini? Kwa hiyo alizaliwa na kitu cha pekee kinachomfanya lazima awe kiongoz hata km amekosea..akimtoa watz watakosa nini? Wangapi wanabeba mimba bila kuolewa hatusemi? ina maana hamuelewi kwa nini tunasema! Kama jamii haiwezi kukemea ujinga wa aina hii kwa viongozi, mambo gani itaweza kukemea..halafu kiburi cha kutetea kiongozi ametoka nje ya mstari kinatoka wapi? hiyo ni dharau sisi hatuitaki! Unataka uongozi fanya tunavyotaka sisi..ulevi, mimba nje ya ndoa, wizi,ufisadi..hatutaki! Na tumekosa maendeleo sabab ya ujinga wenu wa kutetea mambo ya aina hii na dharau kwamba watanifanya nini..tukiendelea kukalia kimya ujinga km huu ipo siku mtatupanda kichwani mfanye choo..Wale wale wapenda magazeti ya udaku. Ulishawahi kuwa na rais ambaye watoto wake hawajulikani kama ni wa kwake kweli.
Hakuna mkamilifu chini ya jua na huu ujinga wa kujifanya sisi ni malaika ndio unaliponza taifa hili linakosa maendeleo ya kweli.
SSH aamue kuachana na Jokaye kisa amezaa nje ya ndoa!!, mbona kuna vichaa wengi tu wana vyeti vya ndoa1.
Mbona kama DC amebarikiwa au?😂Ndoja wadadavuaji wa jf waje
Ova
Nimefurahi kuona soon naye ataingia kwenye rekodi za wazaziWabongo mna mambo, Sasa kwani yeye hana uzazi
Unaposema sisi unamaanisha mpo zaidi ya mmoja?. SSH ni mwajiri wake kama kumuondoa au kumbakiza ataamua yeye mwenyewe.Yeye jokate ana nini? Kwa hiyo alizaliwa na kitu cha pekee kinachomfanya lazima awe kiongoz hata km amekosea..akimtoa watz watakosa nini? Wangapi wanabeba mimba bila kuolewa hatusemi? ina maana hamuelewi kwa nini tunasema! Kama jamii haiwezi kukemea ujinga wa aina hii kwa viongozi, mambo gani itaweza kukemea..halafu kiburi cha kutetea kiongozi ametoka nje ya mstari kinatoka wapi? hiyo ni dharau sisi hatuitaki! Unataka uongozi fanya tunavyotaka sisi..ulevi, mimba nje ya ndoa, wizi,ufisadi..hatutaki! Na tumekosa maendeleo sabab ya ujinga wenu wa kutetea mambo ya aina hii na dharau kwamba watanifanya nini..tukiendelea kukalia kimya ujinga km huu ipo siku mtatupanda kichwani mfanye choo..
DAS wake kisarawe si alitolewa uDAS sabb ya kutongoza wafanyakazi wenzie..kwa hiyo mimba ya nje ya ndoa kwa DC ni sawa, ila kutongoza wafanyakazi si sawa..wapi mstari kuonyesha hili ni sawa kwa kiongozi na hili siyo sawa, au tunajiendea tu km kundi la nyumbu..hakuna order.