pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Uj3nzi upo nchi nzima na kuna halmashauri wanafanya vyema kuliko Temeke, sema kuna kitu tulitaka kuonyeshwa !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz ukitaka kufuatilia haya Mkuu sidhani kama utapata mwenye maadili, itabidi tukakodi wenye maadili nje ya Nchi 🤣Tatizo kwenye mitandao humu mtu yeyote ana uhuru wa kuchangia hata kama kichaa bora awe na bando baasi hata kama akili na uelewa hana. sasa wajinga mnaotetea huu uchafu wa Jokate msikie. Kuwa kiongozi hasa mwakilishi wa moja kwa moja wa Rais LAZIMA uwe na adabu , nidhamu ya hali ya juu na maadili (Good Morals). kuanzia mavazi, unywaji, chakula na MAHUSIANO etc. huruhusiwi kuwa mlevi, mgomvi, malaya , mbea etc. Jokate kadhihirisha UMALAYA WAKE na hiyo inamfutia maadili yote hana kama kiongozi. Angekua amezaa sio kiongozi usiogetuona waelewa humu. Hafai kuwa DC wala Kiongozi wa nafasi hiyo. hakuna justification yoyote kwenye hili kama ana busara AONDOKE period. povu ruxa.
Kwa hiyo tufute ethics and conducts za watumishi wa umma sababu Jokate kapata mimba na ni kinyume. NOOO.Tz ukitaka kufuatilia haya Mkuu sidhani kama utapata mwenye maadili, itabidi tukakodi wenye maadili nje ya Nchi 🤣
🤣
Lot of generalisation..sijui una shida gani, ila btn the lines una dependency mind na kudhani hapo ulipo una upekee kupita wengine wote..which s not true n wrong. Ninaposema sisi hata km ninaongea kwa niaba ya mtu mmoja, kosa ni kosa, haliwi kosa sabb linasemwa na watu wengi, Rais sio mwajiri wake..hata km ni mwajiri wake, km anaowaongoza hawamtaki, mwajiri wake ndio amebeba dhamana ya kosa alilofanya? kwamba tumseme yeye sabb hataki kumtoa ndio una maana hiyo? hadhi ya urais unaweza kuishusha kiasi cha kutetea kiongozi anaewakosea anaowaongoza? km ndio hivyo Tz hata mbuzi anaweza pewa uongozi aongoze watu! to hell na ubunifu wake, akambunie aliyempa mzigo na wewe km unapenda, not us! adabu, nidhamu na tabia njema ni zaidi ya ubunifu unaouona wewe anao.Unaposema sisi unamaanisha mpo zaidi ya mmoja?. SSH ni mwajiri wake kama kumuondoa au kumbakiza ataamua yeye mwenyewe.
Ubunifu wake ameona ni zaidi ya nani amempa ujauzito na yeye mwenyewe kama anachafuliwa na hali hiyo.
Sikujui lakini kwa jinsi ulivyoandika ni wale wale tu watanzania wa kujifanya mna maadil wakati pengine ni wachafu kuliko Jokate mwenyewe.
Mbona wewe wazazi wako hawakufunga ndoa? Kwa hiyo nawe ni mtoto haramu?Kwa taarifa yako kuna register ya ndoa zote z tanzania hii. Mpaka dakika 10 zilizopita jina lake halipo. Na kwenye orodha ya watu waliobadili majina hayupo. So hana ndoa, anazaa mtoto haramu. Kwa kiongonzi jambo hili lina defeat moral integrity na dhana mzima ya mfano kwa unaowaongoza. Kama dc anabeba mimba ya guest maisha yanaendelea inakuwaje kwa mabinti wengine?
Mapovu meeengi. Jokate ni mkuu wa wilaya ya Temeke, kama hutaki tafuta mabango uandamane, unatumia nguvu nyingi for nothing.Lot of generalisation..sijui una shida gani, ila btn the lines una dependency mind na kudhani hapo ulipo una upekee kupita wengine wote..which s not true n wrong. Ninaposema sisi hata km ninaongea kwa niaba ya mtu mmoja, kosa ni kosa, haliwi kosa sabb linasemwa na watu wengi, Rais sio mwajiri wake..hata km ni mwajiri wake, km anaowaongoza hawamtaki, mwajiri wake ndio amebeba dhamana ya kosa alilofanya? kwamba tumseme yeye sabb hataki kumtoa ndio una maana hiyo? hadhi ya urais unaweza kuishusha kiasi cha kutetea kiongozi anaewakosea anaowaongoza? km ndio hivyo Tz hata mbuzi anaweza pewa uongozi aongoze watu! to hell na ubunifu wake, akambunie aliyempa mzigo na wewe km unapenda, not us! adabu, nidhamu na tabia njema ni zaidi ya ubunifu unaouona wewe anao.
Ni kwamba jamaa wenye vifurushi wameshaongeza salio!Ulitaka kutuonyesha tumbo
Hata angekuwa messenger povu liko pale pale..just doing our part, mabango gani unataka zaidi ya haya, nothing fr you not me, that's the way l live..have seen so many of your type but no more today, cheo ni dhamana leo unayo kesho haipo! people's voices against pride does not vanish in the air as you think..keep watching!Mapovu meeengi. Jokate ni mkuu wa wilaya ya Temeke, kama hutaki tafuta mabango uandamane, unatumia nguvu nyingi for nothing.
Jokate ni DC wa Temeke, mnataka kuipaka matope serikali ya SSH kwa cheo alichonacho huyo dada?.Hata angekuwa messenger povu liko pale pale..just doing our part, mabango gani unataka zaidi ya haya, nothing fr you not me, that's the way l live..have seen so many of your type but no more today, cheo ni dhamana leo unayo kesho haipo! people's voices against pride does not vanish in the air as you think..keep watching!
Mnajifanya nyie ndiyo wasafi siyoUnaposhika nafasi ya kumwakikisha Rais kama DC au RC kuna maslahi ya Taifa ikiwemo mahusiano yako. So kulalwa lalwa hovyo nooooo. Ndio maana ana bendera ya Serikali. Huyu
Anatakiwa ajiuzulu mara moja.
Una usafi gani weweNNA NDOA NA WATOTO WOTE NDANI YA NDOA. NA SIO DC.
Unajifanya msafi kumbe bure tuMfungisha ndoa hana ndoa. uchafu uchafu balaa.
Vijana matatizo matupu hawa, wanawaamini sana mama zao wakati hawana uwezo wa kufahamu kilichokuwa kikiendelea kabla hawajazaliwa.Mnajifanya nyie ndiyo wasafi siyo
Ova
Kipuz kweli hicho kimtuWewe una hasira nae sana inaonekana kabeba mimba ya bwanako
Tena dada yk alipigwa dp na bodabodaWe dadaako aliezalishwa na boda boda vipi mbona humzungumzii?
Jina lenyewe fisiWajinga nyie, wanaoiba mabilioni sio wachafu ila binti alieamua kubeba mimba kwa ridhaa yake na uwezo wa kutunza anao mnamuona fala?
Duh, wanadanganyika na ule muziki wa bodaboda!!, maana baadhi yao wana tabia ya kufungulia sauti kubwa muda wote utadhani wana matatizo ya masikio.Kipuz kweli hicho kimtu
Ana komaa mimba mimba
Wakat wadgo zake wanapigw na
Watu wa bodaboda
Ova
Angekuwepo lazima Freddy Vunjabei angeandamwa na TRA na biashara kufungiwa mpaka aombe pooo.Na angekuwepe Mwendazake,lazima wabongo wangemuangushia Jumba bovu kua huo Mzigo wa Joketi ni wake!!