Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

Kuna yule jamaa mmoja ndan ya CCM na alishika nyazfa mbali mbali ndan ya serikali alisema

"Hakuna mtumish alifanikiw maisha kwakuptia mshahara"

Mtumish ni kujiongez tuu 95% ya watumish wanajimud kimaisha namaansha maisha kwamba mtu anaweza tembea na Gari la M20+ na akabalisha akajenga na kufanya mengine ana msingi wa biashara
 
Kipnd cha awam ya shetan mwenda kuzm ndo walianza kupandsha mabega.
 
kitu roho inapenda
 
Nimefanya research katika hili eneo mengi ni kwasababu ya bajet ya serikali inawekwa kwenye sekta ya elimu kwa kupunjwa au ufinyu sana ilihali ni sekta muhimu sana
 
Ukisikia kada hii ni kada ya wito Tanzania ni sahihi
 
Serikali na watu wake imepoteza umakini ni miaka sasa
 
Ni sekta muhimu sana ila imepigwa teke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…