Siku nyingi sana. Afu angalia eeh, I hate you mke wa Ben Saanane.
ha ha haaa
mbona kama danganya toto vile
Si unajua yuko kifungoni eeh! Ukimtaja tu unakuwa umekiuka sheria za JF kwani hawezi kujitetea.
Ukiendelea kuwasikiliza watanganyika utadumisha unyumba kweli?
nilimaanisha kupigwa kule kwingine siyo kwa bakora
hongera kwa kuwa na binamu nyama ya hamu wa ukweli.
uyumba wenyewe ndo nautafuta kwa huba na uvumba
Kama nimekuelewa vizuri Mamndenyi, sasa hivi umebaki single but searching...??? pole lakini utampata tu.
Mamndenyi nadhani sitakuwa nimekosea kukushauri sasa ujaribu bahati yako kwa mwanasiasa ili uachane na kero za talaka za kila leo huko uswazi. Hii ni nafasi ya upendeleo kwa ajili yako wewe tu.:disapointed::disapointed::disapointed:Mwita Maranya ndugu yangu jifanyie siasa
sie huku uswazi ni kila leo tunapigwa talaka
hata hivyo mimi bado bado siihitaji tena hiyo kitu kwa thatha.