Kwa harakaharaka huyu jamaa atakua anawakilisha watu wengi hapa mf. Waliokwisha pewega vipigo na siri zikavuja ni kama Chimbuvu ashapewaga kichapo na Li- Madame B!
Erickb52 alichezea kichapo toka Amyner!
Bishanga toka Mamndenyi (enzi-zao)
Even Mswati kuna fununu alishachezeaga mkong'oto toka Madame B (enzi-zao)
Umekosea..............!!!!!!!!!!
Mamndenyi anakujua wewe ni MTAKAVITU na siyo MTAKATIFU kama unavyotaka aamini.....Hadanganyiki!
Bado kidogo tu ntakubwaga maana umeshakuwa muflis wa sera,sasa unaanza kumsemea na kuniteta kilugha unafikiri sikielewi,subiri kidogo arudi mana kajificha baada ya kuona huu mpambano, ila keshaniambia we na Katavi anawadanganya tu...
Mie waume zangu wote wamechezea Nakosi,kasoro mmoja tu.
Huyo ambaye hajachezea kichapo ni nani?