Tunawalisha au wanalishwa na hela zao?Eti wanajiona ndugu zao wa damu ni Waomani!! Halafu cha kushangaza, sisi Watanganyika ndiyo tunaowalisha na kuwanywesha!
Halafu Kutoka huko Oman na Saudia kwenyewe, miaka nenda huwa wanaambulia msaada wa tende tu wakati wa mfungo.
Kuhusu leseni,sio kweli sana,kama upo kwa muda mfupi,ya bara inatumika vzr tu,nimekaa huko kwa miezi SITA.Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo.
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ARDHI.
4. Bullying (kuitwa CHOGO).
5. Uhuru wa kuabudu mashakani (ref. Uchomaji Moto nyumba za ibada)
Kote,Kama huitumii shauri yakoHivyo mtu kwao ipo Zanzibar tu?
Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo.
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ARDHI.
4. Bullying (kuitwa CHOGO).
5. Uhuru wa kuabudu mashakani (ref. Uchomaji Moto nyumba za ibada)
Tanganyika ni cha wote, na Zanzibar ni ya Wazanzibar peke yao!.
Nyerere alifanya uhaini kuua uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa watu wa nchi jirani ya Zanzibar
Na tutauvunja tu, ili kila mtu aendelee na 50 zake. Kama mtahamia kwa ndugu zenu wa Oman, sawa tu.
Sahihi kabisa, bora huu muungano fake uvunjwe harakaIkiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo.
1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu).
2. Kukosa Uhuru wa kutumia kilevi hadharani,
3. Kukosa fursa ya kumiliki ARDHI.
4. Bullying (kuitwa CHOGO).
5. Uhuru wa kuabudu mashakani (ref. Uchomaji Moto nyumba za ibada)
Faida za muungano wanazijua makada pekeeHuwa sioni faida ya muungano huu wa Zanzibar na Tanganyika.
Kama ukienda kununua vitu kwa bei rahisi huku wanakucharge tena ushuru, ardhi huwezi miliki. Ni hasara tupu
Mwenye kujua faida za huu Muungano kwetu wabara azitaje nijue labda kwa chama cha CCM.
Hakuna muungano hapo ni hasara tupu kwetuHuu muungano ni wa matambiko ndio maana CCM hawako tayari uvunjike, na hawako tayari kutoka madarakani kwa amani maana wanajua siri ya uwepo wake itafahamika, na uwezekano wa kuvunjika ni mkubwa. Ndio maana wako tayari kufanya lolote ili wabaki madarakani na muungano ubaki.
Na Yale makombora ya kutungulia ndege tuliyoyaficha kwenye bahari ya Zanzibar itabidi tuyatoe
Unaugua dogoMakombora gani ya kufungulia ndege tunayo? Hayo ya mwaka 47?"
Siku tukivunja huu muungano. Wazanzibari wa kawaida(Wasio viongozi) ndio watakao umia.
Walioko kwenye siasa wataneemeka kwa kujipa ma vyeo na vitengo na ujira.
Wazanzibari walioko bara watafukuzwa na kunyang'anywa haki ya kumiliki ardhi.
Think twice.
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Kama viongozi wataacha ubinafsi na tamaa. Nchi inatakiw kua moja na serikali inatakiwa kua moja. Hata kama ni ya majimbo sawa tuuu.Kuna njia nyingi za kuzuia hayo yasitoke;
1.Zanzibar inaweza kuwa mkoa tu au wajitegemee kabisa wenyewe, watachagua.
2.Kunaweza kuwa muungano wa nchi Tatu,
3.Tunaweza kuwa na serikali za majimbo, Zanzibar nayo ikawa jimbo.
Unaugua dogo
Kwa nini watawala hawataki muungano wa serikali moja ambayo ndiyo sera yao waliyoiweka hadharani zama za G55?Huu muungano ni wa matambiko ndio maana CCM hawako tayari uvunjike, na hawako tayari kutoka madarakani kwa amani maana wanajua siri ya uwepo wake itafahamika, na uwezekano wa kuvunjika ni mkubwa. Ndio maana wako tayari kufanya lolote ili wabaki madarakani na muungano ubaki.