Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

We ni mshamba saaana unafikiri njia sahihi ya kulinda amani ni kwa kuwamaliza wale wote wenye mawazo tofauti
Ndiyo kwa sababu nyie hamna nia ya kuwa wapinzani wa kweli wa kisiasa. Nyie ni mchanganyiko wa malooser wa kutaka maisha ya mtelemko, watu wenye kisirani na Rais wetu na serikali yake na wazandiki wasio itakia mema nchi yetu.

Nyie sio wapinzani wa kweli. Nyie ni watu ambao ni waroho wakubwa wa madaraka ambao mko tayari kutumia njia zozote zile kinyama ili mradi mfikie malengo yenu. Na ndiyo maana kazi yenu kubwa ni kubuni uongo usio semekana zidi ya Rais wetu na serikali yake.

Kwa hali hiyo hampaswi kuwa katika jehazi moja na wazalendo wa kutaka amani a maendeleo ya nchi yao.
 
Reactions: Ole
Wale wazee waliolipwa ADVANSI ya kuzuia mvua hawakawii kuambiwa waiachie tu irindime, sherehe zife
 
Hili ni bandiko la mwanaume mwenye tabia za kike.
Nenda kwanza kapate degree ya mkopo wa Magufuli, halafu ndiyo uje JF uchangie hoja ambazo zina substance.

Ina elekea mambo ya kike ndiyo kazi yako hiyo unayo ijua vizuri. Sorry Ngumbaru!
 
Reactions: Ole
Kosa LA kamati kuu nini? Wabongo mnamatatizo sana, ni majungu fitina, vitu vidogo sana kujadiliwa na watu kwenye akili
 
Bavicha mwenzio joka kuu anasema hizo ndege ni za Magufuli. We unasema ni za wananchi. Ebu kutaneni chamber mje na msimamo mmoja.
Mbona inaeleweka! Ni za wananchi kwa vile pesa zao zimetumika kununua, lakini ni za Magufuli kuwa sababu maamuzi hayo hayakufanyiwa planning na wananchi hivyo amezihodhi
 
Ccm mnaumia chadema kwenda kwenye sherehe za uhuru
 

Naunga mkono hoja, sielewi hata ni kipi kimewafanya waende kwenye hiyo sherehe, nilisema bora wangeomba kibali polisi cha wao kusherehekea na kuongea na wananchi, bila kushiriki kwenye hiyo ya kiserikali. Hata wakinyimwa kibali poa tu kwani hata wakienda kwenye hiyo hafla ya rais ndio wataongea na hao wananchi? Hakuna kitu kibaya kama upinge jambo kwa sababu fulani, kisha ushiriki tena jambo lile huku suluhu haijapatikana. Hapa viongozi wa cdm hatuwaelewi, wanataka kurudia kosa lile lile la kumpokea Lowassa na kumpa nafasi adhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…