Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 976
[emoji24][emoji24][emoji24] Changia hoja please! Usiwe illiterate namna hiyo na kuwa mnafiki katika personal matters. Haisaidii kitu kuwa na Personal hatredy na mimi. Mimi ni mtanzania ambaye naipenda nchi yangu na watanzania wenzangu ikiwemo na wewe. Sina Sababu ya kwenda deep kwenye ugomvi ambao wewe wala mimi hautatusaidia. Acha vitendo vyako vya unafiki na provocation mara moja na concetrate na maisha yako!
Mimi sio mungu wako na wala sio mtu aliyekufanya wewe usiendelee na maisha unayo yatamani, lakini hujayapati na wala hutegemei kuyapta.
Matatizo yako na familia yako usinifanye mimi nika husika kwa namna moja au nyingine. Kama wewe mwenyewe unayachezea maisha yako kwa kushinda mtandaoni usitegemee wengine nao kuwa kama wewe. Uchawi unaanza na husuda na ndiyo hapo mtu anapo anza kuzuia maendeleo yake na familia yake kwa ajili ya mafanikio ya mwenzake.
Nikutaarifu tu kijana wa Uswahilini, usilo lijua wewe sio ndiyo mwenzako halijui pia.
Kwenye nchi za wenzetu CV na References za experience ya maisha ni vitu common sana na vina-matter kuliko maneno matupu.
Nikichangia hoja na katika hoja yangu nika indicate msemo kama; "nilipokuwa ujerumani nasoma..." hiyo sio sifa bali ni reference in the context ya hoja. Ni kitu cha kawaida katika discussions, comments au uchangiaji wa hoja.
Nakupa mfano; Wazungu wakiwa kwao na kuzungumzia mambo ya Afrika au tabia za wanyama au watu Tanzania, mara nyingi utasikia kwenye context ya hoja wanaanza na maneno kama; "nilipo kuwa Serengeti... au Zanzibar ...". Hapa sio kwamba anajisifu, la hasha, bali anataka msikilizaji au msoma hoja yake aelewe kuwa hayo anayo yaeleza sio fantasy, bali ana i-refer hoja yake na experience aliyoipata aidha Serengeti au Zanzibar. Lakini kwa vile wewe mkoma huelewi hilo, tayari unawaza kuwa huko ni kujisifa, majivuno na kejeli. Ya nini hayo yote? Hii ni attitude ya kuendeleza umasikini wa akili. Ni sawa sawa na kujichimbia kaburi mwenyewe.
Makosa kama "AGP" badala "IGP" hayo ni makosa yanayo itwa syntax error au semantic error. Hai husiani chochote na kuchanganyikiwa kwa akili wala kuwa mjinga. Nafikiri utakubaliana na mimi kuwa hata wewe kwenye hoja zako unazo changia kuna makosa kama hayo. Zaidi ya hayo nafikiri uta elewa kuwa mara nyingi tuna tumia Smart phones tukiwa mtandaoni na wakati huo huo mtu anakuwa safarini kwenye gari, treni au ndege wakati anaandika, kwa hiyo ni kawaida makosa ya haina hiyo hutokea. Jitihidi kuelewa mambo in context.
Usikakamae na Behavior za watoto wa darasa la pili.
[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe jamaa ni choo sana. Ni nini hii sasa? Ndiyo, nimesoma masomo ya juu Ujerumani kwenye Faculty ya Mechanical Engineering. Subject Areas zangu ni Process Engineering (Bachellor) na Design Engineering (Masters) So what?
Zaidi ya hayo ndiyo, nina utaalam wa CAD (Computer Aided Design) katika Tools za CATIA V5 na Siemens NX. Je, unajua ni vitu gani hivi?
Na kama isitoshe, kikazi ili niweze kuwa na Access kwenye CAD Data zilizo kuwa Served kwenye Data Base kama PDM/PLM System na SAP nina tumia VPM (Virtual Processing Manegement Programs), wenyewe wanaziita "Interfaces" kama; 3D comm, ENOVIA VPM, PRISMA, SMARAGD na TEAM CENTER kutegemeana na projects na kampuni uliyoko.
Kwa maelezo yangu hayo mafupi kuhusu utaalam wangu uta make up your mind mwenyewe kutambua mtu mwenye qualifications kama hizi atafanya kazi wapi? Sitaki useme tena nanajisifu. Ningependa tu u aknowledge kuwa ninazo Qualifications na skills za vitendo na sio tu za nadharia, kama wengi wetu wanao jifanya wasomi nchini, lakini pindi wanapo pewa madaraka na mkuu wa serikali, kushindwa kuperform vizuri.
Je, cockroach hiyo sio skills za kuniwezesha mimi "sokwe" wa Afrika ku-compente na watu wa ulimwengu wa kwanza kwenye majukwaa makubwa ya kimataifa na kuniwezesha mimi na familia yangu kuishi maisha ya kula bata?
Ni elimu yangu cockroach na nimeisotea mwenyewe. Hakuna mtu ataninyang'anya cockroach. Na wewe endelea kulia tu cockroach na kuni kejeli. Mimi si ndiyo napiga maisha hivyo! Nina shida gani tena cockroach?
Aiseee! Nafikiri hapa una matatizo makubwa sana ya kiakili au wivu. Maneno ni jina langu na Meier ni jina la ukoo wa mke wangu. Sasa tatizo hapa ni nini? Sijakueleza kuwa mimi naitwa Maneno Meier. Meier siyo kibongo changu. Mtu akiandika kitu jitahidi kukisoma kwa umakini ili uelewe na usipende kuleta uzushi usio eleweka, hiyo sio tabia nzuri ya wanaume, kama wewe ni mwanaume kweli, mimi naona ni tabia ya kike! Mbona unajiabisha na kujidhalilisha mwenyewe brother?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeshinda kwa kuni provoke! Wewe kweli sikuwezi! Nakunyooshea mikono! Ila ningependa kulitoa moja tu la mwisho.
Please! Please! Please! Naomba usisome magazeti yangu kama wewe haikupendezi. Wewe haya kuhusu hayo. Nayaandika kwa ajili yangu na nafasi yangu kwa jinsi ninavyo ona ina paswa na kunipendeza mimi kuchangia hoja. Hakuna mtu ana kulazimisha kuyasoma.
JF ni Plattform huru ambalo lina mpa kila mtu dunia uhuru wa kutoa au kuchangia mawazo yake ya moyoni kwa kuzingatia taratibu za good neighborhood with each other, wenye kupendezewa na hoja watasoma na wale wasio pendezwa nayo waache. Sijajua kama kuna utaratibu mwengine wa kuchangia hoja JF. Kama kwako ni pumba au texts ni ndefu acha! Usiumize kichwa na kujipa Stress zisizo na sababu!
Mkuu hongera sana hii ndio ilikuwa mawazo ya founders wa JF pamoja na mambo mengine ya kupeana taarifa za kuivusha Tanzania, leo hii imebadilishwa kuwa kijiwe cha upotoshaji. Watanzania tubadilike maana nchi yetu tutajenga wenyewe tuache hizi propaganda ambazo haziwezi kuinua maisha ya Watanzania. Ni aibu kubwa wazungu wanakuja kuiba na kupora rasilimali zetu kwa kutumia ndugu zetu. Lets wakeup and build our country.