Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Duuh! Wewe jamaa ni cockroach kweli kweli. Hoja gani hii unaileta hapa? Unakusanya majeshi ili kuwa against me? Huniwezi wewe mdudu wa kuvuta hewa ya chooni. Huniwezi kwa principle sio tu ya elimu bali maisha na upeo wa mawazo ya kitalaam.
Wewe huna kitu unacho kijua zaidi ya kuchangia hoja za kikanga kanga na majungu kama haya unayo yatoa hapa?
Niambie una mchango gani wa mawazo au Idea umewahi kuchangia katika jamii ikawa na impact katika maisha ya watanzania?
Off course hujasoma. Huo ni ukweli. Na ukweli utabaki kuwa ni ukweli. Una elimu gani wewe ya kumtambia mtu? Una weza leta mawazo ambayo yanaweza leta manufaa kwa wananchi? Niambie yapi? Wewe mwenyewe hujui utakula nini sembuse kuchangia mawazo ambayo yanaweza tatua matizo ya binadam?
Wewe unafikiri kushinda mitandaoni na kutoa comments za ki local kwa kutumia device ambayo ni visio na innovation ya mtu ambaye alikuwa shoga ndiyo unajiona kuwa una akili? You know nothing brother!
Eti mimi nimechanganyikiwa. Nimechabganyikiwa mimi au wewe? Nikikuuliza nini maana ya "Material science" unaweza nipa jibu sahii? Unajua maana ya Martensitic Transfomation kwenye material science ni nini?
Nimesha kueleza mara nyingi sana kwenye mtandao kama unachangia hoja basi changia hoja na sio kudiscuss personal issues. Na vile vile nimekuambia usipende kuwazarau na kuwatukana watu usio wajua mtandaoni. Huo si ustaarabu wa kuchangia hoja. Lakini wewe inaelekea hunielewi au huwaelewi watu wengine.
Endelea kujidanganya mwenye kuwa wewe ninmwenye akili kwa kutoa comments ambazo ni too shallow na hazina substances.
Bwahaaa bwahaaaa, yaani nimecheka kwa nguvu mpaka kila mtu hapa pembeni kaniuliza nimeona nini kwenye mtandao? Kweli nimeamini jf ni stress free zone. Yeyeto atakayetaka jf ifungwe kwa sababu zozote zile, alaaniwe yeye na kizazi chake chote. Hivi huu Mkorogo hapa ningeupata wapi zaidi ya hapa jukwaani, mahali ambapo mtu ana fake ID anajisifia ana elimu na msaada sana, huku akitaja baadhi ya topic za darasani na kusema mwingine hana elimu yoyote! JF idumu milele maana ni uwanja wa burudani.